Najuwa kila mwanamke anajuwa jinsi kumwandalia mume wake maji ya kuoga bafuni, na wengine wanajuwa kuyachemsha chukuchuku na kuweka bafuni na nakuyapooza na na maji yabaridi na kumpa aoge,ni sawa sijakataa!! Basi leo nataka niwajuze jinsi ya kuyapika maji ya MUME na kumwandalia bafuni. 🏊JINSI YA KUANDAA🏊
kwanza unatakiwa uandae siku moja special ya kumwogesha mumeo au mpz wako najuwa kila Siku anaoga lakini hii inakuwa muhimu kwake.
Bandika maji jikoni kwenye sufuria safi 👌
Yakisha anza kupata moto chukuwa hiliki kidogo sana weka, chukuwa maji ya vanilla miminia kidogo sana kwajili ya kupata harufu tyamuuu
...👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽 Siku nyingine ukiweza kupata mauwa ya Jasmin/asumini ni mazuri na yanaharufu tyaamuhaya mauwa unaweka maji yakishapoa kidogo kisha unachuja usipeleke bafuni na makapi yake tunachotafuta hapo ni harufu mrembo👌🏽 Ukisha chukuwa maji yako yenye mchanganyiko mzuri peleka bafuni. yapooze kiasi cha kutomuunguza mumeo au mpz wako.
Chukuwa kigoda chako kiweke bafuni,chukuwa taulo lako kubwa na dogo weka bafuni,ukishamaliza usiwashe taa tafuta mishumaa yako miwili mikuwa iwashe ikiwaka inaleta rangi na mwanga mzuri wenye kuhamasisha hisia zenu.
Mwite mumeo aje bafuni usiwe uchi kabisa uwe kwenye chupi na brazia nzuri za kufanana hizi huongeza mvuto wako.
anza mkalishe mumeo kwenye kigoda anza kumuogesha kwa maji yaliopikwa msuguwe msuze kisha mkaushe kwa taulo dogo kisha mfunge taulo kubwa tayarimmmmmmh uone kama ilo taulo utamaliza kulifunga kama ujapewa zawadi ya hatarii toka bafuni mpaka chumbani.
Masi mrembo siku moja moja mpikie mumeo maji ya kuoga, mwogeshe uone utakavyo enjoy ndoa yako.......
No comments:
Post a Comment