KOVU LA MOYO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, February 6, 2020

KOVU LA MOYO




"Pesa ni Sabuni ya roho" ... Wahenga walinena. Wasomi wengi Duniani walijaribu kuiongelea pesa kila mtu anavyojua na mimi leo nasema Kinachoweza kumbadilisha mtu tabia ni pesa na majukumu. Kuna watu wengi sana ambao wanabadilika baada ya kupata pesa au majukumu. Wengine upata akili zaidi na wengine zinapungua zaidi.
Ulikuwa ni usiku wa Jumamosi moja uliochangamka. Kumbi nyingi za starehe zilikuwa zimefurika watu. Kwakuwa vijana wengi wa sikuizi wanapenda sana starehe kuliko kazi ...
Pembezoni mwa bahari ya hindi kulikuwa na jumba moja la kifahari, ambalo alikuwa anaishi Papaa Prince mtu mwenye kufuru ktk matanuzi. Alikuwa ni kijana mdogo sana, lakini alipata bahati pesa ziliangukia ktk mikono yake na yeye hakuwa na la kuzifanyia zaidi ya kuzitumia. Ilikuwa ni sherehe ya nguvu nyumbani kwa Papaa Prince huku akiwa ktk beseni wasichana wazuri wakimuogesha pesa kama ndio maji huku wakiwa uchi wa mnyama .. Wanawake wengi wenye tamaa, Prince aliwafanya kama anavyotaka yeye kwa sababu tu alikuwa na pesa.
Wakati anafanya kufuru zake ghafla akaingia Shakira mpenzi wa Prince, alistuka kumkuta mpenziwake akifanya mambo hayo ya ajabu ... Shakira alipita moja kwa moja mpaka Chumbani huku akiwa analia alifika na kujibwaga kitandani ...
Papaa aliagiza mziki uzimwe kisha akawapa pesa watu wote waliokuja ktk sherehe yake na kuwataka watimke nyumbani kwake ndani ya dakika tano.
Baada ya kuwatimua watu Prince aliingia chumbanikwake na kumkuta mpenzi wake akiwa analia ... Papaa Prince hakuwa na mapenzi hata kidogo alijua pesa inaweza kufanya kila kitu. Alipofika ndani alimkuta mpenzi wake analia lakini yeye hakujali na badala yake alianza kumshika shika Shakira na kutaka kufanya nae mapenzi ... "Prince mpenzi wangu hivi kwanini wewe umekuwa hivi? Yani siamini kama ungeweza kuwazalilisha wale wasichana kiasi kile na kwa nini unafanya sherehe za kufuru kila siku" .. Shakira alimwambia Prince huku akimtizama kwa uchungu ... Papaa Prince alinyanyuka na kucheka kwa zarau kisha akachukua glass iliyokuwa na mvinyo na kunywa ... "Jibu lako halipo mbali Shakira. Nafanya sherehe kwa sababu nina pesa, kama ningekuwa sina pesa basi ungeniuliza pesa nimeiba wapi?".
****
Wakati Prince akifanya starehe na kuwazalilisha wasichana. Kulikuwa na Binadamu ambao walikuwa kwenye shida akiwamo Poshie.
Alikuwa ni msichana mdogo mwenye miaka 20 tu, na tayari alikuwa amezalishwa na aliyezaa nae alimtelekeza. Mtoto wa Poshie anayeitwa Henry alikuwa na umri wa miezi 8 ambaye alizaa na mwanaume ambaye anaitwa Angelo na kumfukuza nyumbani kwake ... Ktk kuangaika kwake alikutana na mwanaume ambaye alikuwa anaitwa Omega ambaye walikuwa wanasoma wote kijijini.Omega alimsaidia Poshie na kuishi nae kwake. Omega hakuwa mtu mzuri hata kidogo, hakujali kama Poshie alikuwa na mtoto mdogo wala nini. Alitumia mwili wake mkubwa na kumuingilia Poshie kimabavu ... Roho ilikuwa ikimuuma sana na kulia kila wakati, lakini hakuwa na jinsi kwa sababu alikuwa hana pa kuishi ili mbidi akubali ... "Wewe mbona unalia" ... Omega alimwambia Poshie baada ya kumkuta akilia ... "Mtoto anaumwa Omega yani ana joto kali sana kama una pesa naomba tumpeleke Hospital" ... "Mimi sina hata sh 5 hapa nilipo. Baba yake yupo kwanini unisumbue mimi" ..."Nimekuelewa Omega, basi naomba simu nimpigie Baba yake" ... Omega alikataa kumpa simu yake Poshie kwa sababu ambazo anazijua mwenyewe ... Poshie alilia sana na kumpigia magoti ndipo Omega akampa simu kwa shart la kumbipu tu.
Poshie alichukua simu na kumbipu sana Angelo mpaka akapiga ... "Baba Henry mimi Mama Henry"... "Nikusaidie nini usiku huu" .. "Mtoto anaumwa sana" .. "Wewe chizi nini sasa unaniambia ili iweje? Kwani mimi ndio Dokta?" .. "Angelo usiseme hivyo, unajua kila kitu kama mimi sina pesa, sasa nitampelekaje Hospital bila pesa?" .. "Kama unatakapesa nenda kaiombe ATM itakupa Malaya mkubwa wewe" .. Angelo aliongea na kukata simu. Poshie alilia sana kwa majibu ambayo Angelo amemjibu ... "Mimi nataka kufanya mapenzi na wewe" ... Omega alimwambia Poshie na kumfanya astuke na kumtizama ... "Kwanini Omega hauna uruma hata kidogo? Yani mwanangu anaumwa wewe bado tu unataka kufanya mapenzi na mimi?"... Omega hakujali maneno ya Poshie wala kelele za Henry aliyekuwa akilia kitandani mpaka sauti ikamkauka ...
Alimkamata Poshie na kuanza kufanya nae mapenzi kwa nguvu ... Poshie alijaribu kujinasua kutoka ktk mikono ya Omega lakini wapi Mwanaume ni mwanaume tu. Alifanikiwa kumchania nguo na kupata alichokuwa anakitaka ...Poshie alipata maumivu makali sana baada ya kubakwa na Omega .. Akanyanyuka huku akilia na kumkuta mwanae akiwa amekauka sauti .. Aliogopakumshika na haraka akachukua maji na kwenda kuoga kwanza.
Wakati anatoka bafuni kuoga, Poshie alimkuta Henry akiwa amewekwa nje pamoja na mizigo yake huku mvua ikinyesha kwa wingi .. Poshie akastuka na kutupa ndoo, na kumkimbilia mwanawe. Kwa bahati mbaya akajikwaa na kuanguka chini


NINI KITAENDELEA? ...



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa