SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:EP 8 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:EP 8






NDOA YA LAZMA EP:EP 8


Wakati nipo na yule Mtoto Sarah mke wangu akaja akiwa na jazba akaninyang'anya ufunguo wa Dukan akaniambia na nyumban kwake asnione aliniambia ashafaham kila kitu 

Kilichonisaidia ni kias cha pesa nlichokieka kwenye cm kwahyo Sarah aliponifukuza nilimtafuta Dalali nikapatana nae anitaftie chumba

Baada ya kupatana na Dalali bei na chumba kiweje akaniambia chumba cha namna hiyo kipo hivyo akanipeleka 

Tulipofka tukamuona mwenye nyumba nikampa kodi nae akanikabidh funguo

Baada ya pale nikaanza kuangaikia vitu vya ndan nilipokamilisha mambo yote nikajua kutokana na mlolongo wote mtoto lazma atakua ana njaa nikamchukua tukaenda kwenye mgahawa nikamnunulia chakula akala baada ya hapo tukarejea nyumban

Kutoka skuile nilianza kuish na yule mtoto na katka kumdadis nikaja kujua ana tatzo 

Baada ya kugundua Binti yangu hayupo sawa nilmpeleka Hospital ambapo tulipofka Dkt aliniambia mtoto wangu ni Bubu hivyo tatzo lake ni la kawaida tuu tena n la kuzaliwa nalo

Nilipogundua Binti yangu haongei nilikua nae karibu mda wote ili asijione tofauti na watu wengne hivyo nilionesha kumjali kwakila hali

Skumoja tukiwa njian tunaelekea nyumban Binti yangu akawa anamnyooshea mtu kidole huku akiwa ananung'unika "mmmmmh mmmh"Ikabd tumfate yule mtu 

Tulipomkaribia akatugeukia alipotugeukia akasema"Miriam upo na nan?Alimuuliza Binti yangu lakin hakuweza kujibiwa ikabd nimuulize "Samahan Dada unamfahamu huyu mtoto?akanijbu"Namfaham sana tu mimi ni mfanyakazi wao"Aliposema vle nikamuuliza"Inamana wewe ni mfanyakazi wa Sonia?akanijibu ndio alafu akaniambia"Kaka afadhali umemchukua Miriam unaish nae maana amekua akinyanyaswa na kutengwa yeye mara nyngi huachwa nyumbani lakin mwenzie alipendelewa kwa kila kitu"Mwenzie?..Ndyo huyu Miriam ana pacha wake anaitwa Maria ambae huyo Maria anauwezo wa kuongea ila uyu Miriam hapendwi kwakua ni Bubu" dah baada ya yule Dada kusema vle nilishtuka mana skua nikifaham kama Sonia alizaa watoto mapacha na kilichoniumiza zaid ni  kitendo cha unyanyapaaji wa Sonia

Ehee Dadaang unaweza kunikutanisha na Maria namy nimuone?Nilimuuliza yule Dada mara baada ya kugundua nina watoto mapacha

aah naweza kukutanisha nae lakin kwa gharama ndogo tu"Aliposema vle nikamuuliza"Unataka kias gan cha pesa nikupatie ili tu nimuone Binti yangu?Yule Dada alposkia vle alicheka kabla ya kunijibu swali langu

Hahahaha aaah mimi sihitaj pesa nahitaj unipe kama ulichompatia Sonia mpaka akapata watoto mapacha"Una maanisha nn?Eh bwana weee acha kujifanya mtoto nahitaji kulala na wewe"Mh yule Dada aliponiambia vle skutaka kumskiliza tena nikambeba Miriam wangu tukaondoka

Lakin wakati tunaondoka yule Dada akawa anatufuata nyuma nyuma mpaka tulipofka nyumban bado alikua anatufuata

Tulipofka nyumban nae akawa amefka ikabid nimuulize kwa ukali "Unataka nn?akaniambia "Nataka kukusaidia"Nikamwambia staki msaada wako"Nilipomuambia vle akakasirika akatoa cm akampigia Sonia kisha akaweka loudspeaker "Eh hlw Madam"Eh haloo"Mmeshampata Miriam?Bado hatujampata na mganga kasema tuharakishe tupate kafara kabla mambo hayaja haribika...

Itaendelea




  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa