SIMULIZI: NDOA YA LAZIMA EP:9 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

SIMULIZI: NDOA YA LAZIMA EP:9





NDOA YA LAZIMA EP:9


Alipomaliza kuongea na cm akaniambia "Umeskia sasa endelea na ubish wako utamkosa Miriam na Maria hutompata"Baada ya kuniambia vle nikamuuliza "Ni mapenzi tu unataka kutoka kwangu"Akaniambia "Ndyo tena nataka sasa hivi vingenvyo nampigia cm Sonia namwambia Mtoto nimempata alafu akatolewe kafara"Sasa nitakupaje mapenzi mbele ya Mtoto?Baada ya kuuliza swali kama hilo akaniambia muombee Mtoto kwa jiran alafu urudi hapa unipe nachokitaka

Daah baada ya kuambiwa vle nilifkiria meeengi sana lakin hofu yangu kubwa ilikua nikuwakosa mabinti zangu hivyo nilitoka nikaenda kumuombea Miriam kwa jiran alafu nikarudi chumban kwangu

Niliporud skupewa ata mda wakuvua nguo nilirukiwa nakuanza kupapaswa na yule Mwanamke ambae hata skua na hisia nae

Mbona umesimama kama Gogo au umebadilisha mawazo nimpgie Sonia?Alihoji yule mwanamke baada ya kuona sionesh ushirikiano

Baada ya kuniuliza vle nakunitishia atamwita Sonia ikabd nimpe anachokitaka tulipomaliza akaniambia "Daaah asante sana yani umenishughulikia kama Punda sasa lipo sharti moja tu ukiweza kulimudu snto mwambia Sonia kuhusu Mtoto"Nikamuuliza Sharti gan hlo?akaniambia nataka tena

Aaah hapana me siwez bwana hicho hicho kimoja kinatosha kwa leo"Nilipomwambia vle akaniambia "Unaleta kiburi eh sasa naondoka naenda kumleta Sonia"Aaaah usfanye hivyo ntafanya nimekubali tufanye tena"Nilipomwambia hivyo akaniambia

Tulivyoanza mara ya kwanza ulikua unaniparamia tu hukunishka maungo yangu sasa nahitaji saivi uchangamke sawa?Nikamuambia sawa 

Baada ya kumuambia vle akajilaza chali ili nimshughulikie lakn mimi nilimuitikia tu ila skua nimeridhia hivyo baada yeye kujilaza nikachukua kisu nikataka kumshindilia tumboni

Alipoona vle akaniuliza "unataka kufanya nn?Nikamuambia nakiahamisha kisu nikiweke kabatini akaniambia "Unaleta ujanja ujanja eeh sasa leo siend mahali utanipa mapenz mpaka Asubuhi"Nikamwambia sasa Miriam hajala alfu atalala wapi na jiran yangu anachumba kimoja analala yeye na mke wake na watoto?Akaniambia "Me hayo hayanihusu naomba upande kitandan tulale sawa au niondoke?Aliponiambia vle nikamwambia"Nenda mwanakwenda"Maneno yangu yalimfanya acheke sana"Hahahaha haya Baba naenda"Nikamwambia neeenda nimechoka kutishiwa"Baada ya kumwambia vle akavaa akaondoka

Alipoondoka namy nikavaa nikatoka nikaenda kwa jiran ili nimchukue Miriam wangu lakin nilishtuka baada ya jiran alipotoka nakuniambia"Unamuulizia Miriam ..Miriam mbona amekuja kuchukuliwa na Mama yake mda huu huu"Baada ya kuambiwa vle nikamuuliza jirani yangu kwa jazba"Mama ake yupi huyo na wakati me ndo nimekukabidhi Mtoto?Ahaaaa eh sasa naona tunashndwa kuheshimiana we si umemtuma mwanamke wako ulieingia nae chumbani aje kumchukua Mtoto?Eh baada ya jiran yangu kuniambia vle nikashtuka sana nikajua Miriam wangu atakua kachukuliwa kwaajili ya kafara 

Nikatoka mkuku mkuku mpaka nje nikaangalia kushoto na kulia kwangu lakin skuweza kumuona Miriam wala yule Dada ambae alinitaka kimapenz 

Baada ya hapo niliamua kuendelea na safari ya kumtafta binti yangu na kila niliemuuliza aliniambia"Watoto n wengi unamtaftaje Mtoto huna ata picha yake? Hakika ilikua ni Mtihan mgumu kwangu na nikajilaumu sana na mawazo yaliponizd niliamua kukaachini nikalia sana nakuanza kulaum 'kwann mimi kwann lakin inakua hivi?Nililia sana lakin mwishowe nikaona ni bora niende nyumban kwa Sonia japo kulikua na walinzi nikajipa moyo kua nitapambana nakuhakikisha nawapata watoto wangu

Bhass baada yakudhamiria kwenda kwa Sonia nikaamka nilipokua nimekaa nikaanza Safari mpaka nje ya geti la nyumba ya Sonia

Nilipofka nikagonga Geti kwa nguvu mara akatoka Mlinzi alipotoka akaniuliza "Wewe ni nan?

             ~Itaendelea~




  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa