SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:7 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:7






NDOA YA LAZMA EP:7



Baada ya Zuberi kusema vle alitoa bahasha akanikabidhi bahasha ambayo nilipoifungua ndan nilkuta picha ya Sonia akiwa amembeba mtoto

Baada ya kuona vle hisia zlienda mbali sana lakin kabla ya kusema chochote Zuberi aliniambia "Binti yako huyo kwenye picha anataka kutoroshwa kwasababu Sonia anajua wazi utakuja kumtaka Binti yako hivyo mimi kama Kaka ako nimeona ulijue hili mapema"Maneno ya Zuberi yalinifanya nijhs mwenye maumivu makali sana moyo wangu na skua tayari kumkosa Binti yangu kwa gharama yoyote hivyo nilimuuliza Zuberi "Sonia anapatkana wap kwasasa?Lakin alinichonijibu Zuberi kilinichekesha nakunihuzunisha

Tulia Kijana mdogo ipo njia ya kumpata Binti yako kiulaini kabisa lakin ni kwa sharti moja tu"Zuberi alipogusia maswala ya masharti ili niweze kumpata Binti yangu kiurahis ilibid nimuulize"Ni sharti gani hlo?Enheee sasa niskilize kwa makin Martin...ili umpate mtoto wako Sonia anahitaj umpe penzi kwa muda wa mwezi mmoja mpaka atakapo beba mimba"Mhhh lilikua n sharti lililozua utata ndani ya moyo wangu

Zuberi baada ya kunipatia sharti la namna ile aliondoka lakin ghafla kabla ya Zuberi kupotea kwenye upeo wa macho yangu alikuja Sonia huku akiwa ameongozana na mabodigadi wake licha ya kuongozana na mabodigadi wake alikua ameongozana na Binti mdogo ambae nilihs tu atakua n mwanangu

Habari za miaka mume wangu halali?Sonia alinisalimu kwakunikebehi ikaniladhimu ninyamaze kimya na nimskilize vzuri ili nijue namnasuaje Binti yangu kwenye mikono ya Mtu mbaya asye na utu

Hahahaha aaaah naona unamtizama sana huyu mtoto ambae syo wako kwasababu hukumbeba wewe nilimbeba mimi kwenye tumbo langu"Sonia aliendelea kuongea kwakujitapa nakunifanya nipandshe jazba nakuta kumvamia lakin niliambulia kipigo kutoka kwa mabodigadi wake ambao baada ya kuhakikisha wamenidhibiti wakaondoka lakin chakusahangaza na chakustaajabisha hawakuondoka na yule Mtoto 

Nilijiuliza Sonia amerudi na plan gan kwenye maisha yangu? na kwann amuache mtoto? Nikajiuliza tena kama yule mtoto ni damu yangu kwann Sonia aniachie kiurahis vle?Maswali yote hayo skua na majibu yake lakin kulikua na siri nzito ilijificha ambayo skuweza kuing'amua kwa muda ule

Bhass kwakua niliachiwa mtoto na sikua na hulka yakuwachukia watoto ilibd nimfuate yule Binti mdogo alietelekezwa na Sonia

Nilimpomkaribia nilimuuliza unaitwa nan?lakin hakuweza kunijbu zaid ya kuvitizama vidole vyake vidogo huku akiwa anabubujikwa na machozi hali ile ilinifanya namy nilie baada ya kuona mtoto mdogo kama yule analia kama mtu aliyekua anatambua baya na jema kwenye ulimwengu uliojaa wema na wabaya

Usilie sawa eeh uslie Mama angu"Nilimuambia yule Binti vle huku me mwenyewe nikiwa nalia na nilipokuja kuamini damu n nzto kuliko maji ni pale katoto kale kaliponisogelea na kunifuta machozi kisha kakanikumbatia

Aaaaah hakika kwangu yalikua ni maumivu mazito mara baada ya kuona mtoto yule akinionesha upendo mzito kana kwamba alikua ameshafaham me ni Baba yake Mzazi

  Itaendelea




  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa