SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:5 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:5






NDOA YA LAZMA EP:5

  

Baada ya watu kuondoka akajitokeza Kijana mmoja Msamaria akanichukua akanipeleka kwake na kulipokucha Asubuhi na mapema akanipeleka Hospital nikapata matibabu baada ya hapo tukarejea nyumban

Yule kijana alikua mkarimu sana kwakwel maana alinihudumia kama ndugu yake wadam kabisa kias kwamba alisitisha kwenda kwenye majukum yake wiki nzma mpaka nlipopata nafuu

Vipi leo umeamkaje?Aliuliza kijana yule skumoja Asubuhi..baada ya kuniuliza nikamjibu"Nimeamka Salama" Akaniambia "Nashukuru kuskia hivyo Martn na nikutoe hofu kua hapa utaish siku zote jione kama upo nyumbani nikamwambia sawa

Kweli baada ya Kijana aliejitambulsha kwangu kwa jina la Filex kuniambia vle nilijihs nimepata aman ndan ya moyo wangu

Sku zlienda miezi ikakatika ikafkia siku Filex akaumwa ghafla usku ikabd niamshe majiran tutafte usafiri haraka ili tumpeleke hospital lakin tulijikuta tumechelewa kwan tulipofanikisha kupata Gari Filex alikua tayari roho yake imeuacha mwili Dah skuamin macho yangu kijana ambae alijitolea kunisaidia leo hii alipoteza uhai akiwa mikonon mwangu

Niliumia sana yan badala ya kumpeleka Filex hospital kutibiwa tulijikuta tunampeleka kumuhifadhi mochwari kwaajili ya maandaliz ya mazish.Kitendo kile kilinifanya nilie kama mtoto mdogo tena nililia sana skuamin kile kilichotokea

Bhass baada ya kuupeleka Mwili wa Marehemu kuhifadhiwa tulirejea nyumban ikatubid tuslale tena tukaanza kuuomboleza huku kila mmoja wetu akionekana kuumizwa na kifo cha Filex.Tuliomboleza usku ule mpaka palipokucha 

Palipokucha tu nilitafta mawasiliano ya ndugu wa Filex ambao walipopata taarifa tu ya kifo cha Filex walikuja nakuanza kunihoji maswali mengi ambayo yalipelekea ndugu wengne kunituhum na kifo cha Filex lakin wengne walinitetea ikawa ndo salama yangu vingnevyo ningejikuta natumikia kifungo cha maisha mpaka leo hii

Bhass baada ya maswali kuisha nilijumuika na ndugu wa Filex nakuhakikisha tumemaliza taratibu za Msiba.Baada ya mambo yote kuisha ndugu walikaa kikao cha muda mfupi baada ya pale Dada ake na Filex akanifuata nakuniomba nimkabidhi kila kilichokua cha Filex

Baada ya yule Dada kusema vle nikafanya kama alivyotaka baada ya pale nikajikuta sna pakwenda kifo cha Felix kilinifanya nirejee maisha ya Mtaani

Baada ya kurejea mtaani nikiwa katika pita pita zangu nikakutana na Dada mmoja majira ya usku akiwa amelewa sana aliponiona tu akaja akaniomba nimsaidie kumpeleka nyumban lakin ghafla kabla ajajieleza vizuri akaanguka akapoteza faham kutokana na kuzdiwa na pombe baada pale nikamua kumbeba mpaka kwenye jengo moja bovu bovu nikatfta sehemu ambapo hamna mawe mawe nikamlaza kisha namy nikatfta mahali nikalala Asubuhi palipokucha ndpo palipozuka mzozo

    ~Itaendelea~


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa