SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:6 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:6






NDOA YA LAZMA EP:6


Asubuhi kulipokucha yule Dada alingua kilio nakunifanya nijiulize amepatwa na nn

Nilimsogelea karibu ili niweze kumuhoji lakin nilipotaka kumshka aliniambia"Usnishke kaa mbali na mimi"Aliposema vle ikabid nimuulize "Kuna nn Dadang?Yule Dada aliniangalia uson baada ya kumuuliza swal kama lile

Mmmmh"Alishusha pumz kisha akaniuliza"Ni kwann umenisaidia? Mh kiukwel niljkuta majibu ya swal nililoulzwa yule Dada alipoona cmjibu akatabasama huku machozi yakimdondoka kisha akanimbia"Natumai wewe n mtu mwema eti eeh pia najua unataman kufaham n nn kinaniliza"Nikamwambia "Ndyo nataka kufaham

Nilipomwambia vle akanimbia"Njo uketi kando yangu nipate kukusimulia"Baada ya kuambiwa vle nikaenda nikakaa pemben yake ili nipate kujua kilichomsibu

Alianza kunipa mkasa ambao mimi binafs ulinibubujisha machozi"Ni miaka takriban minne sasa nipo kwenye mahusiano ambayo yamekua kama mwiba moyoni mwangu.Kabla ya kuendelea na kisa chake akaniuliza swali

"Samahani Kaka hivi ushawahi kupenda?

Swali lake lilinifanya nigune kwanza kabla sjatoa jibu"Mh ndyo nimeshawahi kupenda" Ahaa bila shaka utakua unayajua maumivu ya mapenz sasa ngoja nikuelezea jins mapenz yalivyonitenda"Alisema hivyo yule Dada baada ya kuskia jibu langu

Baada ya hapo sasa akaanza kutiririka mkasa wake"Kaka me niliwahi kumpenda mwanaume tena skutaka kuficha nilitaman kila mtu  ajue hivyo nikajikuta nikiingia matatizoni kisa udhaifu wangu wa kupenda kupitilza.Skumoja kakaangu yan sntokaa nkaisahau ile sku. Nlitoka asubuhi na mapema nikaenda sokoni nilpotoka Sokoni nikasema acha niende kwa Boyfriend wangu mmmmh yan huwezi amin Kakaangu nilipofka tu nakugonga Mlango Boyfriend wangu alitoka nakunifkuza kama Mbwa nilishndwa nifanyaje nikabaki tu kuuliza kuna nn?kuna nn lakn mwishowe alitoka mwanamke kwenye chumba cha boyfriend wangu

Baada ya kutokea yule Mwanamke ikabid niondoke ili kuepusha shari kakaangu lakin huwezi kuamin jion yule mwanaume alikujakuniletea fujo nyumban kwangu hayo yote skujali kwakua nlikua nampenda lakin kilichoniumiza mpaka nikataman kufa ni Jana niliposhudia mwanaume wangu akifunga ndoa na mwanamke mwngne ndomana nkakuuliza kwann umenisaidia?

Dah swali bado lilikua gum baada ya yule mwanamke kurudia kuniuliza kwann nimemsaadia. Wakati natafakari nimjibu nn akaanza kulia huku akisema"Nioe wewe bhass kama wanaume wengne hawanitaki au mimi syo mrembo? Aliponiuliza vle nikajikuta nimemuhurumia na Binti mwenyewe alikua mrembo tu hankua na dosari hivyo nikajikuta nimemtamkia "Acha kulia futa machozi yako maana nimerdhia kukuoa"Yule Dada aliposkia vle aliinuka akaja kunikumbatia

Kuanzia hapo tulianza ukurasa mpya wa Mapenzi maisha yetu yalkua ya amani kuanzia sku ile, Nilikua sna makazi Sarah ambae ni mke wangu wa kipind icho alinipa hifadhi, Nilikua sna kazi akanifungulia Duka la Spea za magari hivyo maisha yakawa swaafi

Niliish na Sarah takriban miaka mitano na tulifanikiwa kupata mtoto wa kike ambae tulimuita Helen lakin kwakipind chote hicho skuwahi kufuatilia habari za Sonia wala skujua habari ya ujauzito wake kama alikua amejifungua au lah lakn skumoja asubuhi wakati nafungua Duka akaja Zuberi ambae mwanzoni nilimtambua kama Kaka angu ila baada ya wazazi kunikana na kunifukuza nilijihesabia ndugu

Sasa baada ya Zuberi kuja aliniambia "najua hutanipa nafasi ya kuniskiliza ila kuna kitu nataka ujue"

     ~Itaendelea~




  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa