NDOA YA LAZMA EP:4 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

NDOA YA LAZMA EP:4





NDOA YA LAZMA EP:4


Baada ya wazazi kunifukuza skua na mahali pakwenda zaid ya kulala mitaron na wakati mwngne nilala vbarazan mwa majumba ya watu ambayo ilinipelekea kupata jeraha kwenye jicho langu la kushoto ambalo lilipelekea Mimi kupata tatzo la kutokuona vizuri mara baada ya wanachi kunitilia mashaka kua mimi ni mwizi

Nakumbuka sku hiyo kabla sijapata jeraha hilo nilikua nikiangaika kwenye migahawa kujitaftia chakula bila mafanikio kwakua skua na pesa mfukoni

Baada ya kukosa kabisa nilingia majalalani kutafta angalau mabaki ya mikate lakin napo niliambulia patupu kwan tayari walikua wameshapita watu wenye mahitaji sawa na yangu

Wakati ninaendelea kutafta tafuta chakula ilikua kama bahati baada ya Mama mmoja kuja kumwaga matakataka ambayo ndani yake nilibahatika kupata kipande cha Mhogo dah ama kwa hakika nilikichukua nakutoka pale jalalan nikatafuta mahali nikakaa nimkamshukuru Mungu kwa kile nlichokipata kisha nikala

Nilipokula skua nikihitaji shbe bali nilihitaji kitu cha kuuongopea utumbo ili usjikunje.Baada ya kukimaliza kipande cha muhogo nkaanza kutembea huku nikiwa na mawazo tele juu ya kilichonitokea nilijikuta machozi yananitoka tu bila kikomo

Wakati naendelea kutembea huku nikiwa nalia kuna mwanamama mmoja aliniona akanifuata nakunihoj maswali.Nilijkuta najielezea huku nikiamin nitapata msaada lakin yule Mama alinibadlikia ghafla nakuniambia "Pole sana kijana kama ulifkiri utaweza kunitapeli kwa staili hiyo umekwama"Baada ya yule Mama kusema vle aliondoka..bhass alipoondoka nikaona hamna namna ya kumuelewesha mtu akanielewa juu ya kilichonitokea hivyo nikapiga moyo konde nkaendelea na safari yangu ambayo haikua na mwsho kwan skujua naelekea wapi

Nilitembea nakumaliza takriban mitaa minne huku nikiwaza ni wapi nitapata niwezekujisitiri pale kiza kitakapoingia

Masaa yalienda hatimae usku ukafka huku nikiwa sna jbu la kitendawili ambacho moyo wangu uliuliza "Nitalala wapi? Dah ilkua mtihan mkubwa sana kwangu

Wakati najiuliza kua nitalala wapi ghafla akipita Babu mtu mzma akiwa amebeba Box ikabid nimfuate nyuma nyuma mpaka mwisho wa safari yake

Safari ya yule Babu ilikomea mbele ya frem za maduka ambapo alipofka alikunjua lilebox lake nakulitandka vzuri kisha akalala

Baada ya yule Babu kulala nilisubiri kama lisaa limoja hivi usngiz umkolee vzuri ili na mimi nipate kwenda kujilaza kwenye Baraza ya fremu zle

Nilisubiri sana hatimae yule Babu alilala ndpo namy nikatumia nafasi ile kwenda kulala pale kibarazan lakn wakati nimefka kabla sjajilaza zikaskika kelele "Huyooooo mkamateni huyoooo"Wakati nahamaki kijana mmoja akanipita akiwa anakimbia kibaya zaid alikua amevaa shati jekundu kama nilivyokua nimevaa mimi siku hiyo

Sasa wakati yule kijana anamalizkia kwenye moja ya vichochoro wananchi wakawa wamefika nilipo nakuanza kunishambulia huku wakizan Mimi ndye muhuska wa tukio la uwizi ambalo lilikua limetokea jiran tu na frem za maduka ambayo nilikua nataka kulala kwenye baraza yake

Jamani Mimi syo mwiziiii nihurumien nihurumie jaman msiniue naombeni huruma yenu ndugu zangu"Nilkua nikilia kwa uchungu huku nikiyasema maneno hayo lakin hakuna aliyeniskia walinipiga kama vle wanavyopigwa wanyama waharibifu wa mazao

Wakati wakiwa wanaendelea kunipiga kijana mmoja alinua jiwe nakunipga jichoni kiukweli niliumia sana kias kwamba nilihs jicho limepasuka

Pamoja ya kuumizwa jichon na sehem nyngne za mwl wangu haikua sababu ya Mimi kupumzka kupokea kipgo kwa watu wale wasio na huruma

Wakati wanaendelea kunipga nikawa sana nakuendelea kuwaomba wanihurumie lakn bado hawakuniskiliza ila naweza kusema katka watu million moja hakuwez kukosekana mtetezi kwan kati ya wale watu mmoja aliropoka "Mbona kama huyu syo yule mwizi tuliekua tukimkimbiza"Baada ya kusema vle watu wakashtuka wengine wakaanza kusema "Kweli yule alikua mweusi mweusi hivi"Wengne wakasema"Eh hii ishakua kessi"Baada watu kusemezana mambo mengi mengi walitawanyika na kurejea makwao baada ya kugundua kua sna hatia

Baada ya watu kutawanyika nikabaki nikilia huku nikiikumbuka upendo waliokua wakinipa Baba na Mama kipindi cha nyuma wakati Sonia akiwa bado hajangia kati nakuyaharibu maisha yangu

      ~Itaendelea~





  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa