SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:3 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

SIMULIZI: NDOA YA LAZMA EP:3






NDOA YA LAZMA EP:3

  
Nilimuangalia Sonia kisha nikamuambia"Nimekubali"Niliposema vle tu Mama akapiga vgelegele hata Sonia,Baba na wote walionekana kufurahishwa na maamuzi yangu lakin moyoni mwangu mimi sikufurahia
                 **********
Baada ya kukubali Shekh akaendelea na taratibu za kukamilisha ndoa hatimae mambo yakakamilika

                  **********
Baada ya hapo Sonia akasema"Baba na Mama nawashukuru sana kwa msaada wenu hatmae Martn amekua Mume wangu na binafs sntoweza kuvumilia leo hii hii ntaondoka na mume wangu"Baba aliposkia vle akasema hakuna tatzo Mama huyo kwasasa n Mumeo halali"Sonia alionekana kufurahshwa sana na maneno ya Baba hivyo akotoa Bahasha mbili moja akamkabidh Baba nyngne akamkabidh Mama

                  
Mambo yote wakati yanaendelea me nilkuanimejiinamia tu kama mtu alipoteza muelekeo pamoja nakua mnyonge juu ya kilichotokea Sonia alinishka mkono nakunikokota mpaka kwenye Gari lake akanifungulia Mlango nikapanda nae akapanda baada ya hapo tukaanza safari ya kuelekea nyumbani kwake

Palikua na mwendo kidogo tulitumia kama lisaa limoja kufka nyumbani kwa Sonia.Tulipofka kabla ya kushuka kwenye Gari Madam Sonia akaniambia"Najua hunipendi pia naelewa me syo chaguo lako nimefanya hivi sio kwakukomoa nimefanya hivi kwasababu nakupenda kutokana na hilo kwenye jumba langu hili nimekuandalia chumba chako namy nitakua na chumba changu na tukiwa hum ndan tutaish kama marafik tukitoka nje n mke na mume sawa? Sonia aliongea vle akitegemea nitamjibu chochote lakin skuinua kinywa changu nilikaa kmya tu.Sonia alipoona vle hakunisemesha akashuka kwenye Gari namy nikashuka alipoona nimeshuka akaniambia"Karibu nyumban Mme wangu kisha akaangoza namy nikamfuata 

    Tulitembea hatua kadhaa tukaufkia Mlango wa Nyumba ya Sonia baada ya hapo Sonia akafungua Mlango tukaingia ndan
  
  Toka sku hiyo tuliish kama Madam Sonia alivyotaka lakn alioneshakunijali nakunipenda sana mpaka nikaingiwa na moyo wa imani nikaoa hamna shda ni bora nitoke tu chumban kwangu niwe nalala nae chumban kwake ila skuwatayari kukaribiananae

Skumoja Madam Sonia akiwa hana hili wala lile nikamfuata chumbani kwake nikiwa nimebeba mabegi yangu nikiwa na maana nahamia chumbani kwake

Sonia aliponiona akashtuka nakuniuliza"Martin mume wangu unataka kuondoka?Nikamwambia hapana "Nimejikuja kuhamia chumbani kwa mke wangu"Madam Sonia alifurahi sana akaja kunikumbatia na kunipa Mabusu moto moto namy nikambusu kwakua nilishaanza kumuamin

Baada ya hapo Madam Sonia akanivuta kitandan huku akiwa ananilzmisha mapenzi dah nilijizuia lakn mwshowe nakijikuta nimeingia mtegoni bila kupenda kiukweli na ujutia sana ule usku kwan ndo mwanzo wa matatzo mengne

Bhass baada ya me kushiriki mapenz na Madam ilipita kama wiki hivi nikaja kugundua Madam n mjazmto baada ya kujua vle nilifurahi maana kuitwa Baba ni jambo la thaman na la fahari sana Dunian lakn ghafla furaha yangu ilkatika baada ya Madam kuniambia "Nilichokua nakitaka kimeshatimia wala ile ndoa haikua ya kweli tulifanya magumashi tu ili tu skumoja uje kunipatia zawad ya mtoto kwasasa naomba uchukue kilichochako na uondoke jitazame kwanza hivi kwa akili yako unaweza kummliki mwanamke mzuri kama mm?Madam aliongea kwa madharau huku akinihimiza nitoke nyumban kwake
  
                      ***********
Skua na jns baada ya madam kunifukuza niliamua kuondoka na kurejea nyumbani ambapo pia kilinikuta kizaa zaa"Eeeeh unaingia wap simama hapo hapo Mlangoni"Ilkua ni kauli ya Mama Mara baada ya Mimi kufka tu nyumban
                    ***********

Wakati Mama anaongea maneno kama yale Baba nae alitoka ndani kisha akasema"Ama kweli we n mjinga uliona wapi mtu akaoa mtu asyempenda? Baba akaendelea kusema "Skua na presha kama ulivyodhani nilikua natengeza mazngira ya kuipata Milion 200 na nikupe pole sana kwakua ulikua hujui kama wewe s mtoto wetu wa kukuzaa ila tulichukua jukum la kukulea ungali u mtoto mchanga kwahiyo hatuna uchungu nawe hata kidogo Mbwa we tumekufuga toka ukiwa mdogo kwahyo ondoka na usirejee"

       ~Itaendelea~


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa