SIMULIZI: NDOA YA LAZIMA EP:2 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

SIMULIZI: NDOA YA LAZIMA EP:2






NDOA YA LAZIMA EP:2

         
         
Baada ya Baba kunifukuza nikaona n bora niondoke kuliko kuoa Mwanamke ambae syo chaguo langu
               ***********
Wakati nipo chumbani nakusanya kusanya vitu vyangu mara nikaskia minong'ono "Yupo eee?...Eh yupo"Skuelewa ni nn kinaendelea lakin ghafla Madam Sonia akaingia akiwa tayari yupo kwenye vazi la harusi mmmh nilishangaa sana Madam akaniambia "Usishangae nimeamua kuolewa ili nikuache huru na maisha yako"Aliposema vle nikajikuta natabasam nikamuuliza ni kweli umeolewa?akajibu n kweli bhass kwa furaha nikamfuata nikamkumbatia 
                   ***********
Nlipomkumbatia tu Madam Sonia nikashangaa ghafla tu Mlango wa chumbani kwangu umesukumwa alafu wakaingia watu wakiwa na mapanga alafu walikua wameongozana na Shekh ambae alikua amebeba Mkeka
                ***********
Mh ilikua ni tukio la kunishtukiza sana skujua nifanyeje wakati bado na hamaki nikaskia sauti ikitoka katika ya wale watu "Kaa chini"Mh Mimi kwa uwoga nikakaa nlipokaa na Madam nae akakaa ndpo yule mtu alieamuru nikae chin aliposema "Kumbe wewe ndo unaemchezeaga Binti yangu sasa bhass umetaka utamuoa hukutaka utamuoa na ukileta ubish utakiona cha mtemakuni"Baada ya yule Mzee kusema vle nikasmama kwa ujasiri nikamwambia "Nipo tayari kwa lolote lakn spo tayari kumuoa Binti yako"Yule Mzee alicheka sana kisha akasema "Vjana fanyen kazi yenu"Aliposema vle wale vijana walinishambulia kias kwamba mda wa dk 5 tu nlikua sitamaniki 
                  ************
Baada ya pale nikaulizwa vp umekubali kumuoa au adhabu iyendelee nikajibu "Spo tayari" Wale vijana waliposkia hivyo wakaendelea kunishushia kipigo lakin bado nilikataa katakata kumuoa Madam Sonia 
              **************
Baada ya kukataaa Baba na Mama wakaingia chumbani kwangu wakaanza kusema"Mwanangu kama hukutoka kwenye tumbo langu hutokubal kumuoa Sonia lakin kama ulikaa Miez 9 tumboni kwangu utamuoa Sonia"Hiyo ilikua ni kauli ya Mama baada ya Mama kumaliza Baba akaanza kuongea huku akiwa anatetemeka"Martin kama ukikataa kumuo huyu Binti ambae unasema amekuzd umri utakosa radh Akhera na Duniani"Mzee alipomaliza kuongea hali yake ikabadilika jasho likaanza kumtoka ghafla akajilaza sakafuni 
                  ************
Baada ya Baba kujilaza sakafuni Watu waliopo mle ndani wakaanza kumuita "Mzee Mapunda"Mzee Mapunda vp?Baba akasema huyu mtoto ataniua na presha Mimi
               ****************
Kauli ya Baba ilinifanya nipate uchungu na hasira ndani yangu hatimae machozi yakaanza kunitoka nikageuka kushoto kwangu nikamwangalia Sonia kisha nikamwambia........

                  ~Itaendelea~


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa