NDOA YA LAZMA EP:10
Baada ya Mlinzi kunihoji hoji tukawa kama tumepishana kauli hivi tukaanza kupigana lakin punde tu nikawa nimezdiwa hivyo nikakamatwa nakuingizwa kwenye Jumba la Sonia
Nilipofikishwa ndani nilifungwa kamba kisha nikapewa kipigo kama mwizi
Baada ya kuhakikisha wamenipiga vya kutosha wakaniacha lakin huwezi amin Sonia alikua amedhamiria kabisa kuniulia Miriam wangu
Muandaeni huyo Mtoto kabisa punde tu Mganga atakua hapa tuweze kukamilisha kafara yetu"Hiyo ilikua ni Sauti ya Sonia ambae alikua akiongea kwa ujasiri kama syo yeye aliengia leba nakuwazaa watoto mapacha
Bhass kweli baada ya Sonia kusema vle walimtoa Miriam nje huku wakiwa wamemfunga cheni kama mbwa dah nilihs maumivu sana baada ya kuona mtoto mdogo tena damu yangu anatendewa kama mnyama
Wakati bado watu wanaendelea na heka heka Mwanangu alinifuata pale nilipokua nimelala akawa ananiita "Baaa!Baaa! Maskin Binti yangu alikua akisema vle huku akilia yan kama vle mtu aliyesema "Baba nisaidie Baba nifungue twende nyumbani"Aisee nilumia sana kwakweli nilitaman utokee muujiza kamba nilizofungwa zfunguke nikamnyonge Sonia mpaka nihakikishe amekufa ndo nimuache
Hayo yalikua ni mawazo yangu tu lakin uwezo wa kufanya vle skua nao.Miriam nae hakuchoka kuniita "Baa!Baa! Amahakika binadam wengne wameumbwa tofauti kabisa badala ya Sonia kumuonea huruma Binti yetu ndo kwanza alivuta ile cheni ikawa inamnyonga Miriam wangu
Nilijikuta nahis maumiv sana kwan Miriam hakuweza kufanya lolote zaidi ya kukohoa nakuhangaika kama mtu aliekua anatokwa na rho
Kitendo kile kilinifanya nilie sana lakin haikusaidia kitu Sonia alizd kuvuta cheni kidogo angemuua Miriam wangu
Unalia eeh lia sana Baba haka kabinti kako Bubu lazma tukanywe supu"Sonia aliongea huku akitabasam kana kwamba alikua akitenda jambo la kufurahisha
Baada ya hapo wafanyakazi walileta kuni na nakuanza kukoka moto na Mda huo huo Mganga nae akawa amewasili
Baada ya Mganga kufika Miriam alikamatwa akafungwa kamba za mikono na miguu kisha kisu kikapitshwa shngoni kwake huku nikiwa nashuhudia jambo lile lilinifanya nipoteze faham pale pale na skujua kilichoendelea tena
Nilipokuja kuznduka nilijikuta porini nikiwa peke yangu na faham zliponirejea vzuri nilianza kumkumbuka Miriam wangu...nikakumbuka mpaka dakika ya mwisho alipochinjwa nikajikuta ninaweka kisasi cha mauaji moyoni mwangu nilijisemea moyoni ni lazma nimuue Sonia kwa mikono yangu mwenyewe
Wakati nipo pale kichakani mara wakapita watoto nikawasikia wakisema
~Itaendelea~
WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment