SIMULIZI : NDOA YA LAZIMA EP:1 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 6, 2020

SIMULIZI : NDOA YA LAZIMA EP:1






NDOA YA LAZIMA EP:1

Naitwa Martni kijana mwenye umri wa miaka 26 ni mtoto wa Nne kwenye familia ya Mzee Mapunda ukweli nina maumivu kila nikukumbuka mkasa ulionikutaga kiukwel naniumia sana kila nikimkumbuka mke wangu najikuta moyo unajaa vichomi na machozi kunitiririka kama Samaki nilietolewa nchi kavu.
                **********
Mwanzoni niliona kama naonewa Baba yangu alipokua akinilazmisha nimuoe mwanamke tajiri tena alienizd kila kitu  kuanzia umri elimu mpaka umbile lake alikua ameniacha mbali sana ila sababu ya pesa zake alionekana bado ni Binti mdogo 
                    *********
Nilijaribu kuwakatalia wazazi katakata kua Mimi spo tayari kumuo Madam Sonia lakin Baba alidiriki mpaka kusema ataniachia radhi kama nisipomuoa Madam Sonia
             *********
Hali ile ilinipa mawazo sana nakupelekea kutafuta ushauri kwa ndugu na jamaa ambao pia walinipa ushauri tofauti tofauti wengine walisema"Usikubali mapenzi hayalazimishwi wengine wakaniambia"Ingelikua ni Mimi ningemuoa Mara moja"Nilikaa nikawaza nikachekecha yote nilioambiwa nikaona bado nahitaji Msaada 
                ***********
Kwakua nilihitaji msaada na kwakua nilikua napenda kuskiliza kipindi cha marafiki redion niliona ingekua vyema kama nituma meseji redion kuomba ushauri
             ************
Nakumbuka ilikua Jumanne hivi kama sikosei ilikua n siku ambayo nilikua ninakisubiri kipindi cha marafiki kwa hamu..bhass ilifka muda kipindi kikaanza tena kwa Muziki laini wenye kukonga moyo daah skuweza kuvumilia niliamka kitandan nakuchukua Headphone zangu nikarudi kitandani nikazma redio nikachukua headphone nikazvaaa nikachomeka kwenye cm nikaanza kuskiliza radio kupitia kwenye cm
                *************

Mh mtangazaji alikatisha mziki akaanza kuongea maneno matamu matamu yani kiukweli nilijikuta naburudka na sauti ya Mtangazaji hadi nikapitiwa na usngzi nilipokuja kushtuka kipindi kilikua  kimekwisha daah kiukweli nilichukia sana
               ***********
Sku iliyofuata nilipoamka niliskia sauti ya Mama angu akiwaanalia niliogopa sana nikajua kuna msiba au jambo baya limetokea ikabid niamke haraka na kwenda kugonga Mlangoni kwa Baba na Mama
                **********
Mama aliposkia nagonga akauliza"Ni nan wewe? nikamuambia "Mimi Martin Mama"Bila kusita Mama akaniambia pita tu Mlango upo wazi
               ************
Niliporuhusiwa na Mama kuingia chumbani kwao nilskumlango nakuingia huku nikiwa na wasi wasi sana
                *************
Mama aliponiona akaanza kulia kwa sauti kubwa "Jamani weeee ntabaki na nani mie" dah Mama alivyosema vle nilishtuka nikajua pengne Baba amefariki
                ***************
Baada ya hapo nikamuuliza Mama "Kwani kuna nn mbona sielewi?Mama akaamka nakupiga kibao kisha akaniambia "Unataka kuniulia Mme wangu?....nakuuliza we mwanaharamu unataka roho ya mume wangu?Nilijikuta nalia tu baada ya mama kuniuliza maswali yaliyojaa lawama ndani yake
                ***********
Kabla sijamjibu mama chochote alichukua cm nakumpigia Kaka"Haloo Zuberi Mwanangu emb fanya uwahi Baba ako presha imemuamka huku"Mama alipomaliza kuongea na cm akanifukuza chumbani kwao
              ***********
Kitendo kile kiliniumiza sana nakujikuta najiuliza maswali mengi ambayo sikua na majbu yake 
              ************
Wakati nipo katka wimbi la mawazo Kaka alikuja hima hima wakamchukua Baba wakampeleka hospital. Sku zikaenda hali ya Baba ikatengemaa akaruhusiwa kurudi nyumbani
                 ***********
Nilipomuona nilismama nakumfuata ili nimsalimie lakin Baba akaniropokea "Wewe si mwanangu naomba ufungashe kila kilicho chako utoke nyumbani kwangu

               Kitaendelea.......


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa