Mpende mumeo na kumjali..muheshimu.kiasi ajuwe kweli mke wangu ananijali .
Usimfananishe mumeo na wanaume wengine.
❤usiwe msumbufu kwa mumeo hakuna mwanaume anapenda mke msumbufu.
_
_
ndoa haitaki uvivu.mtekelezee mumeo mahitaji yake wakati wowote.kupika...kumfulia kumuandaa wakati wa kwenda kazi..na mengi tu yanayohusika .👌 ❤Usimnyime mumeo starehe yake.wakati anakuitaji chumbani/ kitandani..mpe haki yake...kumbuka ukimnyima hata Malaika wa Mungu wanakukasirikia.
_
_
Muite mumeo kwa jina nzuri..Tena kiheshima..Babake Fulani naomba kitu kadha wa kadha... *mme wangu*. Laazizi wangu...hivyo ndo yaitajika.sio kumrlkurupia tu *weee mvungu*😂😂😂😂sijui ushuzi kunde maarage😳😳😳😳Nope..hairuhusu eti eee.
Upo?????? Shauriyooo
_tutaendelea na somo letu letu la ndoa polepole_.nawatakia ndoa njema kwa mlio ndoani.na ambao wako njiani in Sha Allah Mungu atawawezesha pia mupate ndoa za khery.🤲
No comments:
Post a Comment