MAMBO SABA YANAYOLETA MAHABA KTK NDOA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, January 28, 2020

MAMBO SABA YANAYOLETA MAHABA KTK NDOA




_

1-MTOLEE SALAM MUMEO/MKEO NA UMPE MKONO KILA ANAPORUDI KUTOKA KAZINI AU MATEMBEZINI KESHA UBUSU MKONO WAKE KAMA KUNA NAFASI MKUMBATIE NA UMPE POLE.
_

_2-MUULIZE MUMEO/MKEO UNAPENDA NIKUITE KWA JINA GANI?MUITE KWA JINA ALIPENDALO YAPO MAJINA MEENGI MAZURI._

_

3-JENGA TABIA YA KUMPIGA BUSU MUMEO/MKEO MARA KWA MARA HUONGEZA SAANA MAPENZI JAMBO HILO  JITAHID UTAONA FAIDA ZAKE.
_

4-KAA NA MUMEO/MKEO WAKATI WAKULA KULENI PAMOJA PIA MLISHANE NA MUME SIFIA CHAKULA ALICHOPIKA MKEO NA KAMA KAPIKA MUME BASI MKE SIFIA CHAKULA ALICHOPIKA MUMEO HILO TENDO HUMFANYA MKEO KUWA HURU NA KUJIONA NI MJUZI WA KUPIKA.

_

_5-KILAUKITOKA MATEMBEZINI MLETEE ZAWADI MKEO HATA  KAMA NI KIDOGO ITAMSABABISHA AONE WAMJALI HIVYO MAPENZI YATAONGEZEKA._

_  6-WAFANYIE WEMA WAZAZI WA MUMEO/MKEO KAMA UNAVYOWAFANYIA WAZAZI WAKO HILI LITAINGEZA FURAHA KWA MKE/MUME HIVYO NDOA ITAENDELEA KUNAWIRI.
_

_7-AKIPENDEZA MUMEO/MKEO MWAMBIE HONGERA  MASHAALLAH UMEPENDEZA MUME WANGU/MKE WANGU NA UMBUSU HATA KWENYE PAJI LA USO WAKE IN SHAA ALLAH NDOA ITADUMU_






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa