KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA TANO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, January 5, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA TANO




KITUMBUA CHA BUKU

SEHEMU YA THELATHINI NA TANO


ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHI NA NNE: Hapa wakumsaidia Rose ni matrida peke yake, ndie takae eleza ukweli au kuupindisha ukweli, aliwaza Joyce huku ana tafuta namba ya Matrida kwenye simu yake, lakini kabla ajaipiga akakumbuka kuwa aliibiwa simu kwenye tukio ilo, hivyo akaona chamsingi ni kesho kwenda kituoni akamsalimie Rose ili wapange namna ya kumshawishi Matrida amsaidie kumtoa kwenye matatizo hayo………. endelea …..
Maana aliamini kuwa Matrida anaweza kuwa upande wao, akujuwa kuwa Matrida amesha pewa ushawishi wa nguvu, na kumgeuka Rose.******
Naam saa moja na nusu, Kipanta akiwa kwenye kitanda chake, kwenye kile chumba cha wangojeao, akishuhudia pilika pilika za bwana Side alie kuwa anakamilisha malipo yake, ili aondoke zake, na ata alipomaliza mida ya saa mbili na nusu, Kipanta akamwona yule askari wa jana yani bwana Mikana, ana kuja kumchukuwa Side, “samahani kijana nakuomba mala moja” alisema bwana Kipanta akimwita Mikana, ambae alimsogelea, “mimi nicaptain Kipanta” alijitambulisha Kipanta, huku akitaja kikosi alicho fanyia kazi, kabla aja staafu, lakini akusema kama amesha staafu, “unajuwa jana nilikuwa na kutazama sana, naona mbona kama ninakufananisha” alisema Mikana akionyesha kumfahamu bwana Kipanta, “tulikuwa wote sudani mwakajana” alikumbusha Mikana, “ok! kijana sasa mimi nina tatizo kidogo” alisema Kipinta, na kuanza kumsimulia Mikana yaliyo mkuta, huku akificha baadhi ya mambo ikiwa ni kutlekeza familia, “yani yule demu amekomba kila kitu mpaka card yangu ya benk, amenikwamisha kila kitu” alilalamika Kipanta akimsukumia zambi Rose mary, “sasa nime kwama fedha ya kulipia matibabu, na uhakika nikitoka hapa ninapata fedha yangu, maana yule Malaya amesha kamatwa na polisi” alisema Kipanta akionyesha kuwa anaitaji msaada, “sasa afande mbona hiyo ni inshu ndogo sana” alisema Mikana, na kuanza kumpa msaada wa kiutaratibu, na kitu cha kufanya, ili kuondoka pale hospital, “kwahiyo inabidi niwaone polisi ili wao waende wakaniombee msaa wa mkpo wa matibabu?” aliuliza Kipanta, kwa sauti ya kuto kuamini, alicho ambiwa, “tena ata humu usinge ingia, ungekuwa umesha toka” alisema Mikana, na hapo wakaagana na Mikana akaondoka na bwana Side.***** 
Naam usiku ulikuwa mfupi sana kwa upande wa Stellah na Pross, walijikuta wana hamka, saa mbili asubuhi, wakiwa wamechoka kweli kweli, ni baada ya kuvurugana usiku kucha wakirudia tendo mala kazaa, huku wakisindikizia kwa wine,  mpaka walipopitiwa na usingizi pasipo wao kujuwa ilikuwa saangapi, bahati nzuri Stellah alisha andaa supu, ya nguvu, kwaajili yao, maana alisha juwa kuwa kuna kazi ngumu usiku ule, ni kweli baada ya kuoga, walipata supu, wakiwa nusu uchi, maana walijuwa chochote kina weza kutokea muda wowote, ni kweli baada ya kumaliza kupata supu na kuona nguvu zime warudia, wakaangusha madafu kazaa pale pale sebuleni, hakika kama Kipanta ange shuhudia, jinsi kijana alie mwajili kama mlinzi wa shamba la hawara yake Rose, yani kijana Pross, anavyo jiachia na mke wake, nazani ange lia hadharani.
Saa tatu na nusu, ndio muda ambao Pross na Stellah waliachana maeneo ya stendi pale kibamba hospital, ambapo Pross alipanda gari kuelekea mbezi, ikiwa ni safari ya kuelekea kisalawe, huku Stellah akielekea kibamba ccm, akiwa na mzigo mkubwa sana kwenye gari lake, mzigo wa mabegi, sijuwi alikuwa anaupeleka wapi.******
Nikweli mida hii tayari Polisi walisha fika kwaajili ya kumchukuwa Kipanta, ili waondoke nae, kueleka mahakamani, lakini ikabidi aombe msaada wa kuwaona ustawi wajimii, akieleza kuwa kutokana na kuibiwa fedha na kadi ya benk, asingeweza kulipia matibabu, hivyo anaomba aluhusiwe kutoka, na ataleta fedha akisha fanya utaratibu wa kuchukuwa fedha kwenye account yake, ni kweli kwa msaada wa insp likafanyika ilo, na bwana Kipanta aka achiwa, ili akashugulikie vitu vyake vilivyo potea, ikiwa card yake ya benk, na simu zake, ambazo pia alisema zime ungwa kwenye Simu benk. japo yeye mwenyewe alijuwa anacho kiongea niuongo mtu, kama accont ilikuwa na fedha na angeitoa fedha hiyo yeye asinge bakia na fedha ata kidogo.
Sasa tatizo likaja lingine, ni kwamba akuwa na nguo ya kuvaa,  ata ondokaje pale hospital na saa tano kamili anatakiwa mahakamani, ambako Rose alikuwa anasomewa shitaka lake, lakini bahati ikawa upande wao, maana wakati wanaanza kuwaza watapata wapi japo nguo yoyote, mala wakamwona askari wa suma JKT ambao wanausika na ulinzi pale hospital, akijana huyu ambae alisha pitia mafunzo JKT, aliemda moja kwa moja kwa insp, na kumpigia salut, “sahamani afande kuna inshu moja hapa inabidi uitatue, kuna mama mmoja amekuja na kuleta mabegi, sita yanguo na viatu, anasema kuwa ni ya huyu bwana Kipanta, tulimzuwia kuyaacha, lakini ukweli aliyashusha toka kwenye gari, na kuondoka zake akidai kuwa akabidhiwe kipanta mwenyewe” alisema yule askari, na hapo insp akatabasamu kidogo, na kumtazama Kipanta, “bwana Kipanta, maelewano yako na mkeo yapoje?” aliuliza insp ambae sasa alianza kuingiwa na mshaka, pengine mke wa bwana Kipanta anausika na swala lile nasiyo mschana Rose, kama ilivyo elezwa mwanzo, maana ata maelezo ya Kipanta na Matrida yalipishana kidogo, “afande ebu achana nae huyo mpuuzi nita pambana nae nikitoka mahakamani” alisema Kipanta ambae akuwa ameelewa kinachoendelea, hapo insp alicheka kidogo, maana kama anejuwa kuwa ameletewa mabegi yake pale basi asinge sema upuuzi wake, “ok! naona shemeji amekuletea nguo, twende ukabadiri, ili tuwai mahakamani” alisema insp huku akiona wazi kuwa ndoa ya bwana Kipanta ilisha yumba asa kutokana na tabia za mzee huyu.******
Naam mpaka Saa tano za asubuhi, Kinta alikuwa ajafika eneo la mahakama, hakimu aliingia mahakamani, na kusoma shitaka namba hiyo hiyo, linalohusu kesi ya kuweka dawa kwenye kinywaji, na kuiba, ambapo mshtkiwa akutakiwa kujibu kitu sababu bado uchuunguzi, ulikuwa unaendelea, kwa maana ya kwamba ushidi ulikuwa auja kamilika, hivyo kesi ika ailishwa mpaka siku saba mbele, na  Rose akaridishwa mahabusu, na mpaka watu wanatoka pale mahakamani, bado kipanta akuwa ameonekana pale mahakamani.
upande wa Joyce aliona kuwa hii ndiyo nafasi, ya kumwona Matrda, ili wazungumze jinsi ya kumsasidia Rose, na kumfanya atoke mahabusu mapema, au kumaliza kesi ile, lakini alipo jaribu kumuwai ili aongee nae juu ya swala lile, Matrida akutaka ata kumsikiliza Joyce, “Matrida unafahamu fika kuwa Rose ajafanya hivyo, kwanini unataka kumfanyia hivyo lakini” alilalamika Joyce wakati Matrida anapanda kwenye gari la mmoja wa rafiki zake walio mshawishi kujipigia fedha kwa Rose, huku baadhi ya watu wakimtazama Joyce kwa mshangao, ukweli Joyce alionekana akilitazama gari alilopanda Matrida kwa macho, yaudhuni na machungu, Joyce alilisindikiza mpaka gari lile likaoweka kabisa,  hapo watu waliokuwepo pale walimwona Joyce akifuta machozi,  nakuanza kuondoka, lakini akupiga hatua mbili, akashtuka ameshikwa bega,  “samahani dada wewe ninani yake Rose?”  alisikia sauti tulivu yakike,  Joyce kabla ajajibu, akageuka na kumtazama alie uliza, alikuwa ni mwanamke flani, ambe ukiachilia uzuri wake, ila alionekana kuwa mwanamke huyu, ni mtu mwenye maisha mazuri, yule mwana mke akuwa oeke yake alikuwa pamoja na watoto wawili ambao walishikwa mikono na mwanaume mmoja kwenue hasiri ya Filipino.******
Hivi  Kipanta alikuwa wapi na kwanini akuonekana mahakani, ebu tufwatilie, kwanza ilikung’amua, ilikuwa hivi, baada ya kufika nyumbani kwake Stellah, alisimamisha gari nje ya nyumba, na kuingia chumbani kwake, moja kwa moja akajirusha kitandani, akihisi kuitaji kupumzika, alitamanik kuchukuwa simu yake ampgie Pross amwulize kama amesha fika lakini akaona kuwa kijana huyu atakuwa bado yupo njiani, na wakati huo akaona macho yanaanza kuwa mazito, lakini ile anaanza kuisi macho mazito, mala akasikia simu ina ita, akaitazama namba ya mpigaji, akaona kuwa ni namba ngeni, akaipokea na kuweka sikioni, hallow ni mwalimu stellah hapa nani mwenzangu” aliongea mwalimu Stellah, yani demu wa Pross, “habari za kazi mwalimu” ilisikika sauti ya kiume pande wa pili, “nzuri, samahani lakini ujajitambulisha wewe ni nani” alisema Rose, ambae aliona kuwa ni sumbufu, “ya mimi insp wa polisi, nilisha kutafuta sana, lakini atukufanikiwa, na tumepishana kidogo sana, hapa hospital, namba uje mala moja utusaidie katika maelezo ya bwana Kipanta” ailiongea ile sauti ya upande wapili, “samahani we baba, maelezo ya huyo bwana nitoe mimi, wakati sikuwanae huko kwenye uzinzi wake?” aliuliza Stellah kwa sauti ya mshangao, “sawa aukuwa nae, lakini  wewe sindie mke wake?” aliuliza insp, “ebu mwulizeni kama ana mke ambae ni mwalimu” alisema Stellah, ikibakia kidogo akate simu,  lakini kabla aja kata simu akasikia asauti ya insp safari hii ikiwa tofauti kidogo, “sasa mama ni hivi, hii ni amri, unaitajika hapa hospital kwa mahojiano, maana wewe ndie ule leta nguo hapa hospital na kusababisha mshtuko kwa bwana Kipanta, na hivi tunavyo kuambia, amerudishwa wodini, kwa huduma za kwanza, ili kumrejesha fahamu, “sahamani sijuwi kaka au sijuwi mwanangu, kuna utaratibu wa kumwita mtu kuja kutoa maelezo, ya kipolisi, na na katika miito hiyo akuna wito wa simu, lakini sawa ninakuja kukueleza juu ya hizo nguo, japo nilisha mweleza toka jana kuwa ninge mletea leo asubuhi” alisema Stellah huku anainuka toka kitandani na kuelekea nje akipitia funguo mezani, “usumbufu tu angejuwa mwenzie nilivyo choka” alijinung’unisha Stellah, wakati anatoka nje.*****
Pross mala baada ya kuingia kwenye dala dala, ya kibamba mbezi, ghafla ikamjia kumbu kumbu ya mwana dada Rose, mwanadada ambe amewonyesha upendo wa ghafla, na kisha kutoweka, pasipo simu wala kuja kumtembealea tena, japo akujuwa kama kule alikotoka pengine ange tembelewa na Rose, aliamini kuwa kama angekuwa anaenda kule shambani, ange mpigia simu, “alinidang’anya kuwa anaenda kutafuta mfanyakazi alafu mimi nikakae kwake anisomeshe” aliwaza Pross, ambae ukiachilia ahadi za Rose yeye akuwa na mpango nazo, kikubwa alitokea kumpenda sana Rose kuliko Stellah, ambae aliamini kuwa penzi lao lisinge kuwa huru, na kujionyesha mbele za watu, kama vile ambavyo wange fanya na Rose, japo alitambuwa kuwa Rose ni mpenzi wa boss wake, ila aikumpa shida sababu Rose alisha jieleza kuwa alikuwa kwa Kipanta kulipiza kisasi.
PPross aliwaza mengi juu ya Rose, na ukimya wake, mpaka alipokuwa anaingia mbezi stendi, ndipo akakumbuka siku iliyopita, alimwona mtu anae fanana na baba yake pale mbezi, akapanga kuwa makini sana leo, kutazama kama ange mwona, na pengine ange jaribu kwenda kumwuliza kama anamfahamu bwana Vitus Feruz, lakini mpaka anaingia kwenye basi la gongola mboto akuweza kumwona yule mtu, na basi likaondoka kuelekea barabara ya malamba mawili, lakini wakiwa wanakatiza kwenye kile kidaraja cha kwenda malamba, ndipo Pross alipo waoana watu kadhaa wenye madumu kama yale aliyo mwona nayo yule mzee wajana, wakiwa wanachota maji ya mtoni na kupandisha nayo, barabara ya zamani, lakini alipotazama vizuri akumwona yule alie fanana na baba yake, Pros akapotezea mawazo hayo, na safari ikaendelea, huku mawazo mchanganyiko yakimjia kichwani, kwanza juu Rose pili juu ya mwanamama Stellah, ana pata ujasiri wa kuvua nguo mbele yake.********
Insp alikuwa nje ya chumba cha wagonjwa wa dharula, akionekana kutingwa na amambo yaliyokuwa yanaendelea, Insp alikumbuka kauri ya bwana Kipanta kuwa “huyo mwana mke achana nae, nitaenda kupambana nae nikitoka mahakamani” sasa basi kichekesho pale walipo enda kutazama hizo nguo alizo ambiwa ameletewa, ile kipanta kuona mabegi sita, hapo hapo akaonekana analegea, na kosa polisi mmoja kumdaka, basi ange jibwaga chini vibaya sana, akiwa amesha zimia, na wakamkimbiza kule emrgence kwenda kupata huduma ya kwanza.
Hapo ndipo insp alipoisi kilio msibu bwana Kipanta, ni kwamba alikuwa amefukuzwa nyumbani kwa mke wake, na kwamba licha ya kustaafu, huyu bwana akuwa na pakuishi, ndipo alipo alipo amua kumwita mke wa Kipanta, ili ajaribu kumshawishi amsamehe huyu bwana ambae mapaka sasa asinge weza kwenda mahakamani…. endelea …..



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa