KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA NNE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, January 5, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA NNE



KITUMBUA CHA BUKU

SEHEMU YA THELATHINI NA NNE



ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHI NA TATU: akuchukuwa ata dakika tano, akamwona Stellah, anatoka akiwa amejifunga upande wa kanga, ambayo kiukweli nikama kituko, maana unge sema aliiegesha, ilikuwa ni sawa na kuacha kuvaa kinguo hicho, ukiachia kuangaza kiasi cha kuonekana wazi kuwa akuwa amevaa chupi, pia mapaja kwa kiasi kikubwa yaikuwa nje, na msambwanda ulikuwa unatikisika, kamavile yanataka kuanguka, hapo hapo dudu ya Pross ilishtuka na kuanza kujitutumua ndani ya suruali yake ya jinsi, “aya baba inuka twende ukaoge, mwenzio natamani kama vile atujafanya mwaka mzima” alisema Stellah, huku anamshika mkono Pross na kumwinua, toka pale juu ya kochi, kisha akamwingiza chumbani……… endelea………….
Pross akifwata kama vile mbuzi wa kwenda kutolewa kafara, kama ilivyo kawaida ya mtu mgeni anapoingia sehemu, lazima macho yaangaze huko na huko, kukagua sehemu iyo ambapo akiwa amesimama kati kati ya chumba kikubwa sana, kilicho pambwa kikike, na sema sema kupambwa kikike sababu kilipambwa viulembo ulembo vingi kuanzia kitandani mezani, mpaka kwen ye kuta, japo kulikuwa na picha nyingi zilizo ashilia kuwa mama huyu, alikuwa ana jitaidi sana kwenye swala la dini, ndani akukuwa na dalili ya nguo wala viatu vya kiume, yani akukuwa na dalili ya kuwa yule mama alikuwa anaishina mume, zaidi ni mabegi kadhaa yaliyo kuwepo kwenye moja ya kona za chumba hiki, yakiwa yame pangwa vizuri, “Pross leo utalala humu, utashangaa baadaae” alisema Stellah huku ana mfungua mkanda wa suruali Pross.*******
Kwaupande wa Joyce kiukweli alikuwa katika wakati mgumu sana, akuwa mwenye furaha, alitamani sana, rafiki yake Rose atoke kule kituoni, na kuondokana na kesi ambayo akuitendea kosa, atafanye ili kumpata mtu alie fanya kosa la kuweka sawa kwenye vinywaji vya wakina Matrida, ukweli hakiri ya Joyce ikamtuma kuwa, kwa mambo ambayo Kinta amemfanyia mke wake, inaweekana kabisa mke wa bwana huyo akaamua kuwakomesha na kuwa dharirisha, kwa kuwafanyia hivyo, akaamua kujifanya mpelelezi, kwa kumchunguza yule mama, japo moyoni alikili kuwa kama angekuwa yeye angefanya hivyo kuwakomesha, Joyce akiwa kitandani kwake akachukuwa simu yake na kumpigia, Stellah, sababu namba yake alikuwa nayo toka siku ile alipo mwona benk, ni kweli simu ikaanza kuita.*******
Naam kwa kifupi usiku ule ulikuwa ni mfupi sana kwa Pross na Stellah, maana mambo yalikuwa ni mengi sana, maana ile walipo maliza kuvuwana nguo kwa zamu, ndipo Stellah aliposogea kwenye kimeza chake cha kujipambia, wenyewe wanaita dreasing table, huku Pross akiwa amesimama anamsindikiza kwa macho, nazani hapo msomaji unaweza pata picha alikuwa anangaalia nini, mgongoni kwa mama huyu, ambae alitembea taaratibu na alipo ifikia ile meza, akainama akavuta drow iliyopo kwenye ile meza, akiachia kitumbua kikionekana kwa nyuma, siunajuwa huyu mama anakitumbua ghorofa, yani kime tuna, kweli kweli, akatoa kijiwembe flani chenye mshikio,  yani maalumu kwa kunyolea ndevu nywele za kwapa na zile za kwenye kinena, “palilia shamba lako mpenzi, ili uweze kulima vizuri” alisema Stella huku ana mpatia Pross kile kiwembe, kisha akachukuwa kanga ile ambayo alijifunga mwanzo, na kuitandika kitandani, kitanda ambacho licha ya kuvuruga mitaa bwana kipanta ukiita cha kwake, sababu alikilalia kwa mika mingi ssana, ila akukinunua yeye.
Alipo tandika kile kijikanga, Stellah akajilaza na kukunja miguu, huku akiitanua, mfano wa mwanamke ambae yupo leba, anajiandaa kupokea kichanga, Pross akabakia ametuambua macho ana tazama kitumbua, huku mdomo ukijaa mate kwa uchu, “siwe na uchu baba, iki kitumbuwa ni cha kwako, wala uli na mtu mwingine, naleo utakula mpaka uchoke” alisema Stellah kwa namna ya utani, hapo Pross nikama alizinduka na kukumbuka kuwa anajukumu la unyozi, hivyo akaanza kunyoa taratibu, kama ananyoa kichwa cha mtoto mchanga, uwezi amini, licha yakwamba mama huyu alisha wai kujinyowa mala nyingi, lakini leo alihisi utofauti kati ya kujinyoa na kunyolewa, maana kila kiwembe kilipo pita kwenye maeneo ya kinena alihisi mtekenyo wa utamu, na balaha zaidi kiwembe kilipokuwa kina pita kwenye mashavu ya kitumbua chake, na kukwangua nywele fupi fupi, huku ikimlazimu Pross kulikamata shavu kwa vidole viwili, kimoja ndani kimoja nje, ili aweze kunyowa vizuri, ndipo Stellah alie kuwa amefumba cho kusikilizia utamu wa kunyolewa, alipo tamani kukata kiuno, au kusitisha zoezi la kunyolewa ili dudu ifanye kazi yake.
Lakini basi, kama aliwaza hivyo alikosea kumbe ilikuwa bado, utamu ni pale alipo kuwa ananyolewa eneo la juu, yani lile la kuzunguka kikunde, hapo ilimlazimu Pross kugusa gusa kikude, kwa kidole chake cha kati, ili asikikwangue, mala akiweke kushoto mala kulia mala juu mala chini, uwezi amini ilifikia kipindi Pross aliona vitu kama vijikamasi kwenye kidole chake, lakini akushangaa, yeye akaendeleae na kazi yake, ila sasa muda wote dudu yake ilikuwa ime simama vibaya sana, siyo mchezo mbele ya #kitumbua_chabuku , kama ni angelikuwa doctor basi siku hiyo angevunja miiko ya udoctor, maana asinge kiacha bule bule.
Wote wawili walikuwa katika hali mbaya, kuna wakati Stellah, alihisi pengine Pross akuwa katika matamanio, au labda amekinai, au ajapendezwa na kitumbuwa, hivyo alifumbuwa macho nakutazama dudu ya kijana huyu, akaiona ime simama kweli kweli , ikitazama juu, akatoa ulimi wake na kulamba midomo yake, “Pross ninyoe kwachini”
 alisema kwatabu Stellah, huku anatanua miguu kwanguvu na kuinua miguu hiyo akiishilia kwanguvu, na kussababisha, msambwanda uonekane wazi wazi, nikweli kabisa, chini ya kitumbua, karibu kabisa na kwenyemalio, kulikuwa na nywele ndefu tofauti na ilivyo kuwa kwenye kitumbua, hapo Pross akagundua kuwa, kuna sehemu wanawake wanene awawezi kujinyoa wenyewe, wanaitaji msaadawa wawanaume wao, au mtu wakaribu, hivyo basi akaanza kupitisha wembe taratibu, akifwata mstari mkuu ambao unagawanyisha makalio, na kuondoa kichaka kilicho kuwepo eneo ilo, kitendo ambacho kilimfanya Stellah atekenyeke, mtekenyo wenye utamu wake, na baada yakumaliza hapo, Stellah akutaka yapite hivi hivi, aka mashika mkono, Pross na kumvutia kwake, huku akiidaka dudu na kui;llengesha kwenye #kitumbua_chabuku na vile walisha lowa muda mrefu basi dudu iliteleza kama vile kambale kwenye tope, ata alipo sikia simu yake inaita akutaka kuangaika nayo, “simu yako inaita” alikumbusha Pross, ambae alikuwa anapiga kiuno cha nje ndani taratibu, huku mikono yake yote miliwili, ikiwa imelala juu ya matiti makubwa ya mama huyu, vidole viki chezea chuchu zilizomsinda bwana Kipanta, ambae sassa yupo hospital ameshikiliwa poni, “achana… nayo… nitapokea …tukimaliza” ilo ndilo jibu la mwana mama Stellah, mke wa bwana Kipanta, ambae alikuwa ana zungusha kiuno cha kupepeta, mala zungushe kwa juu mala azungushe kwacha, ili mladi kila mmoja wao alikuwa anaupata msuguano.*******
Adella na mume wake Mauricio Fernandez,  pamoja na watoto wao wawili, siku ya leo walikuwa njiani, wakielekea tanzania, kwa usafiri wa ndege, ya shirika la ndege la fry emirates, ambako walikuwa wanaenda kwa lengo moja tu, kwenda kumsaidia Rosemary, ambae waliamini kuwa alifanya vile kwa sababu flani nasiyo kwaajili ya mapenzi, kingine Adellah akutaka kabisa mdogo wake kutwe na matatizo zaidi maana ungekuwa kama ushindi kwa Kipanta, tena ni ushindi wa pili, ushindi ambao ungewaumiza sana wazazi wao japo kwa sasa walikuwa wanaondoka Ethiopia, lakini Adellah aliona kamavile bado safari nindefu yani kamavile wanatoka huko ufilipino, kwa jinsi alivyo tamani kuwai kabla keshi aija fikishwa mahakamani, “utakiwi kuwa na wasi wasi, naamini tuta shinda, tena ime kuwa vizuri mgonjwa anaendelea vizuri” alisema bwana Mauricio Fernandez,  akimbembeleza mke wake, ambae kiukweli maisha yao yalikuwa ni mazuri yenye upendo na amani, “lakini navyo mjuwa yule mshenzi, lazima atataka kum kandamiza Rose” alisema Adellah akionyesha ofu yake hipo wapi, maana mpaka sasa akuwa na imani na Kipanta ata kidogo, kwa yale aliyo wai kumfanyia au kumsababishia, “yani amesababisha kifo cha kaka, alafu anataka kusababisha mdogo wangu afungwe, nisinge mkubari aya yote yasinge tokea kwenye familia yetu” alijilahumu Adelah, mke wa mfilipino, wenye fedha kama zote.******
Kipanta akiwa hospital juu ya kitanda amevalia lile gauni la hospital la rangi ya blue, ambalo lilikuwa linaachasehemu kubwa wazi, aliendelea kuwaza ili na lile, huku kiasi kikubwa cha mawazo yake kikimuumiza roho, mfano alipokumbuka siku moja nyuma alivyo kuwa anatumbua fedha na Matrida, leo hii anashindwa kujilipia, billy ya hospital, “hivyo ya matumizi madogo mdogo” Kipanta aliichukia ata sauti yake iliyo kuwa ina mjia kichwani,  wakati anarusha fedha kwenye simu ya Matrida, “eti million… million ya matumizi madogo mdogo?” alinong’ona Kipanta, kwa sauti ya chini, iliyo jaa machungu, huku akishindwa kuzuwia machozi, na kugeuza uso kwenye godoro, akiishia kung’ata shuka kuzuwia machozi, “huyu jamaa ni msjukuu wa mzee mikana, kule nyumbani” ilimjia sauti ya bwana Side, wakati yule kijana Hamza Mikana, alipo enda kumpatia fedha, na hapo roho ikazidi kumchonyota, “ona kwanza askari wadogo, wanajiwekea misingi ya maisha kiasi cha kusaidia wengine wakati mimi nawekeza kwenye Kifo Ujinga Maladhi Aibu (K.U.M.A..kama ukiitumia vibaya) {samahani kwa fupisho ilo la Kifo Ujinga Maladhi Aibu} alilalamika Kipanta, huku aking’ata shuka kuzuwia kilo, “hivi nitalia mpaka saangapi?” alijiuliza kipanta huku akigeuka na kutazama wenzie waliokuwepo mle ndani, ambao mavazi yao yalikuwa tofauti kabisa na yeye, akatzama kwenye Kitanda cha Side, akalitazama begi la Side, ambalo lilikuwa nafedha alizo letewa na Hamdha Mikana, “hapa nikizubaa nitachekwa mala mbili” aliwaza Kipanta, kisha akainua uso wake kumtazama Hamza, wakakutana macho kwa macho na Side, alie kuwa amelala chali simu mkononi, akionekana kuwa alikuwa anachati, Jicho la Side lilikuwa la kutilia mashaka, hapo Kipanta akamwona Side anachukuwa begi lake na kuzitoa fedha kisha akaziweka kwenye nguo yake ya ndani, du kuna watu ujuwe ata wakiwa na elefu hamsini lazima wahesabu kwa kulamba vidole ata mala tatu, bila kujuwa fedha ilipita wapi na wapi, (ilo siyo lengo la story)”sijuwi chawi?” aliwaza Kipanta, ambae sekunde chache baadae akamsikia Side anaongea na simu, akiwa mwenye furaha tele, “kesho natoka, amekuja mjeda mmoja hivi, mjukuu wa Mikana, wa pale mikoroshoni, ame kata kibingwa ela yote, hivi navyo kuambia dogo anaenda kulala pazuri leo, nayeye ate ndoto nzuri….. unzani pana lalika hapa, yani ngoni ngoni, mpaka majogoo, nitakuwa wakwanza kwenye dirisha la malipo…” ukweli kila neno alilo ongea Side lilimkela Kipanta, ambae aligeuza uso wake na kutazama mlango, “hii ndiyo njia iliyo bakia, siwezi kubakia hapa kiboya, nimeshajifunza mbinu nyingi za kutoroka maadui” aliwaza Kipanta, huku akijipa moyo, “kwaunyama namfilisi Rose, alafu huyu shangani mzee, ata nitafuta yeye mwenyewe, alafu nitamtimua na vitoto vyake, mpaka ajute kuniletea nyodo”   aliwazsa Kipanta ambae mawazo yake ayakudumu kwa muda mrefu, yaka ondoka na kupoteza matumaini, ya kutoroka pale hospital, ni baada ya kujitazama lile gauni alilovaa.******
Ukweli mambo nitofauti sana katika dunia hii, wakati Kipanta alie myima raha mkewake kwa miaka mingi, yupo hospital, siyo kwamba anaumwa, ameshikiliwa kwa kushindwa kulipia matibabu, na huku akishindwa kutoroka kwakosa nguo, za kuvaa, na kusababisha kuona masaa ayaendi kabisa, lakini muda ulikuwa mchache sana, kwa kina Pross na Stellah, mfano walipo maliza mchezo pale kitandani na na Stellah kupokea simu ya Joyce, ndipo Stellah akamshika mkono Pross na kuingia bafuni, wakiwa wanahemea juu juu kwa mchezo uliochezeka muda mfupi uliopita, japo ulikuwa wa muda mfupi, lakini ulikuwa mzito, sasa basi, ile kuingia ndani ya bafu la kule chumbani, walishindwa kuvumilia, iliwalazimu kupitisha mchezo kule kule bafuni, mchezo ambao Stellah ulimfanya atamani kijana uyu, ahamie pale nyumbani kwake, mchezo ambao licha ya kuwa na bafu ili kwa miaka mingi, lakini ukweli akuwai kufikilia kuwa linaweza kuwa ni sehemu nzuri ya kueana dudu, naomba nisimulie kidogo kipande hiki, Mala baada ya kuingia bafuni walianza kuoga taratibu, wakiwa uchi wa mnyama, ungesema mama na mwanae wanaogeshana, wakitumia bomba la mvua, wakianza kwa kuonekana aibu, lakini aibu iliondoka ghafla baada ya Stellah kuomba kitu kwa Pross, “Pross nisugue mgongoni” alisema Stellah, akimkabidhi dodoki la wavu wavu, na kumgeuzia mgongo, hapo Pross akaanza kupitisha lile dodoki taratibu, akianzia juu kabisa kwenye shingo na kushuka naloi taratibu, akizugua mgongo wa mama huyu, mpaka usawa wa mbavu changa hapo ndipo Stellah alipoona utofauti wa kuoga mwenyewe na ule wa kuogeshwa, maana wakati dodoki linapita mbavuni, alihisi mtekenyo flani ambao ulinsababisha ainue mikono yake na kufunuwa kwapa, kama vile njiwa anataka kutuwa, hapo Pross aka juwa kinacho takiwa, hivyo aka anza kupita dodoki, akitokea nyuma ya Stellah, kwa kuzungusha mkono wake mpaka kwenye matiti, na kusuguwa suguwa kidogo, huku mwili mzima wa Pross ukiwa umeugusa mwili wa Atellah, ulio jawa na povu la sabuni, yani kifuwa chake kikiwa kime ugusa mgongo wa mwana mama huyu, huku dudu pia ikiwa ina papasa papasa makalio ya Stellah, na kuzidi kumletea shida, kwamitekenyo isiyo umiza, na uzalendo ulimshinda Stellah, pale Pross alipo leta dodoki kwenye kwapa, na kuyasugua taratibu, kabla aja shusha kiunoni, lile eneo la kuvalia shanga, hapo Stellah mwenye akapeleka mkono nyuma na kuishika dudu ya Pross, na kuanza kuichezea taratibu, “nisamehewe jamani huyu mtoto atajuta kunifahamu, yani kila anaponigusa anahamsha mashetani” aliwaza Stellah, huku anaendelea kuchezea dudu ya Pross, ikiwa ni maandalizi ya kuilengesha kwenye kitumbua chake, maana sekunde chache baadae wakiwa wamesimama chini ya bomba la maji ya mvua, (waswahili tunavyo itaga) Stellah akainama kidogo, na kubinua kiuno, akiacha kitumbua kikiwa kinaonekana kwa nyuma kisha aka ilengesha dudu ya Pross kwenye kitumbua chake, na kujirudisha nyuma kidogo, na dudu ikatelezea ndani, kweli sisimizi uwa asahau tundu lake, ata ipite miezi kadhaa, hapo kazi ikaanza upya kama vile aikufanyika hapo mwanzo. ya huko tuwaachie wenyewe.*********
Naam baada ya kupiga simu bila kupokelewa, Joyce alikaa nusu saa na kupiga tena simu kwa Stellah safari hii iliita kidogo na kupokelewa, “Hallow dada habari?” ilisikika sauti ya Stellah,iliyo jaa afya ya furaha na amani, hapo Joyce akatabasamu mwenyewe, “nzuri tu dada, zakwako” alijibu Joyce kwa uchangamfu, “mi nipo poa kabisa, karibu tule” alisikika Stellah, ambae bila kuuliza unge ujuwa utofauti uliokuwepo kwa sikumbili hizi, yani alipoongea nae mala ya mwisho na anapoongea nae leo, kitu ambacho kilimtia mashaka kidogo Joyce , maana anajuwa jinsi Stellah, anaavyo mpenda mume wake licha ya yote anayo fanyiwa, lakini leo inakuwaje mume wake yupo kwenye matatizo na yeye awe mwenye furaha vile,  “asante wangu,  naona leo umejawa na fauraha au mzee karudi nyumbani?” aliuliza Joyce ikiwa kama kutafuta habari, “arudi amesahau nini, yupo hoapital huko” alisema Stellah na hapo Joyce akajifanya kushangaa, “hospital, kwani anaumwa?” aliuliza kwa mshangao, na kusubiri jibu, “auwe wapi ni mambo ya kujitakia, na sikia yule rafiki yako amemwekea daawa kwenye kinywaji, kisa alimfumania na mwanamke mwingine” alisema Stellah, akionyesha kuto kujari, “sasa dada mbona uonyeshi kushtuka?” aliuliza Joyce kwa mshangao, wakweli, maana alichokijuwa ni kwamba siku zote mama huyu alikuwa anampigania mumewe, “wewe ungweza ata hao watoto watanionaje sasa, ni kiunae sana au, tena naona kama unanisanifu, maana habari zimetapakaa koooteeeee” alisema Stellah, na hapo Joyce akajuwa ni kweli mama huyu alisha mchoka mwanaume huyu, ambae kiukweli ata kama angekuwa yeye asinge kuwa na hamu na mwanaume kama huyu, hapo wakaagana na kukata simu.
Hapa wakumsasidia Rose ni matrida peke yake, ndie takae eleza ukweli au kuupindisha ukweli, aliwaza Joyce huku ana tafuta namba ya Matrida kwenye simu yake, lakini kabla ajaipiga akakumbuka kuwa aliibiwa simu kwenye tukio ilo, hivyo akaona chamsingi ni kesho kwenda kituoni akamsalimie Rose ili wapange namna ya kumshawishi Matrida amsaidie kumtoa kwenye matatizo hayo………. endelea …
..



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa