KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA SITA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, January 5, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA SITA




ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHI NA TANO: Hapo ndipo insp alipoisi kilio msibu bwana Kipanta, ni kwamba alikuwa amefukuzwa nyumbani kwa mke wake, na kwamba licha ya kustaafu, huyu bwana akuwa na pakuishi, ndipo alipo alipo amua kumwita mke wa Kipanta, ili ajaribu kumshawishi amsamehe huyu bwana, ambae mapaka sasa asinge weza kwenda mahakamani…. endelea …..
Kutokana na kupoteza fahamu, na Stellah akuwa mkaidi, maana muda mfupi, baadae alikutana na insp, ambae kwanza alipo mwona ana shuka toka kwenye gari, macho yaka mtoka, “ebu chek mzigo huo” alisema insp akimweleza askari mmoja aliekuwa jirani yake, bila kujuwa kuwa huyo ndie mwanamke ambae Kipanta alimkimbia, “kweli hicho ni kitu, yani kime kamilika kila idara” alijibu yule askari, huku wote wakimtazama Stellah, ambae alikuwa anaelekea kwenye kibanda cha walinzi wa suma JKT, “yani kuanzia sura mpaka mwili” alisema Insp ambae kwa mtazamo wa haraka, unge juwa kuwa ni kweli huyu jamaa amekolea kwa matamanio, juu ya mwana mama Stellah, “unajuwa nini afande, yani hapa hospital kuna muzigo ya maana , unaweza kusahau kama umekuja kutibiwa” walizidi kuongea askari awa wawili, huku wakimtazama yule mwana dada mwenye umbo la ahajbu, na kuvutia, akiongea na wale askari walinzi wa kampuni ya suma JKT.
Lakini kadili maongezi yalivyo kuwa yana endelea, ndipo walipoona mlinzi mmoja anawaonyeshea kidole, nikama alikuwa anamwambia yule mwanamke kuwa, aende pale walipo kuwepo wao, “oya nimekumbuka” alisema insp, huku akipunguza sauti, na kukwepesha macho, kumtazama yule mwana mke, ambae sasa alikuwa anakuja upande wao, “vipi tena afande unamfahamu ?” aliuliza yule askari, huku na yeye akikwepesha macho, na kumtazama yule mwanamke kwa macho ya kuibia, “atakuwa ndie mke wa huyu jamaa, anaitwa mwalimu Stellah wowo” alisema insp, kwa sauti ya chini kabisa, kisha wakatulia na kumtazama mama huyu, ambae sasa alikuwa amesha wakaribia.
“habari, za leo kaka yangu” alisalimia Stellah, akimtazama insp, “salama kabisa dada yangu, nikusaidie” alisema insp kama vile amjuwi wala kumhisi mama yule, “labda nikusaidie wewe kaka yangu, maana ndie ulie niita” alijibu Stellah lakini kwa namna flani ya utani, insp akajifanya kushangaa kwa kuwatazama wenzake, “ok! kaka yangu kwakifupi mimi ndie mzazi mwenzie wa Kipanta, ambae ulinipigia simu muda mfupi ulio pita” alisema Stellah, na hapo insp na wenzake ndio wakajifanya kumwelewa mama huyu, “hooo! kumbe shemeji, afadhari umefika, maana wewe pekee ndie mwenye uwezo wakumkumsaidia mume wako” alisema insp kwa sauti iliyo jaa urafiki, “sahamani kaka mimi siyo mke wa Kipanta, nazani mme weza kujionea wenyewe, aina ya maisha yake, alisha kimbia yumbani kwangu siku nyingi, na mpaka aya yanamkuta, akuwa nyumbani kwangu” alisema Stellah, kwa sauti ambayo aikuwa na na dalili ya utani ata kidogo, “lakini Shemeji, kuna wakati wa kukwaluzana, na kuna wakati wa kusameheana ili maisha yaendeelee, ukuchukulia umesha sema yeye ni mzazi mwenzio” alisema insp kwa sauti ya kushawishi, “kaka naomba nikushauri kitu kimoja, usije ukayafanya ya kuyafanya ukitegemea kusamehewa kisa ume zaa na mwanamke flani, ebu ona toka darasa la kwanza, mimi nime kuwa nikiwalea wanangu, mpaka sasa wapo secondary, nime kaa na mwanamke zaidi ya miaka ishilini, aja nisaidia kwa lolote nime jenga mwenyewe nime somesha mwenyewe, pengine kuna wakati mimi ndie nililazimika kumnunulia nguo, ambazo zilimpendezesha, na kumfanya azidi kutongoza wanamwake” alisema Stellah, lakini bado insp alionyesha kuwa na nia ya kumshawishi Stellah, amsamehe bwana Kipanta, “lakini Shemeji, mmekoseana mala ngapi na mkasameheana, ishindikane leo, ebu rudisha moyo nyuma shemeji, mwenzio yupo katika wakati mgumu” alisema Insp, huku yeye na wenzie, wakitumia macho ya wizi, kuutazama mwili wa mwana dada huyu, ambae kila alipoongea maziwa yake yali tikisika kifuani pake, na kuleta picha moja nzuri sana, yakupendeza machoni pao, “kaka labda nikusimulie habari za huyu bwana, ambae na uhakika, ndie angekuwa shemeji yako, usinge ruhusu dada yako arudiane nae” alisema Stellah na kuanza kumsimulia insp kila kitu, toka maisha ya o yalipo anza huko Tabora, baada ya kumpatia ujauzito, na jinsi aliyo safiri kwenda Sudan kwenye ulinzi wa amani, na kurudi na fedha nyingi, ambazo alizimalizia kwa kumjengea hawara nyumba, huku akimfumania kila leo, pia alivyo toweka nyumbani baada ya  kupata fedha zake za kustaafia, akidai anakwenda kutafuta biashara ya kufanya, na jinsi alivyopata habari kuwa yupo mbezi, na yeye kumwata kisha kumfukuza kama mbwa, na ata alipo kamatwa na polisi na yeye kwenda kumtoa, kisha akaondoka na mwanamke mwingine, huku yeye akionekana siyo lolote, “sasa leo amekutwa na ayo yaliyo mkuta mimi ndio niwe wa kuokota mizoga, hapana kwailo aende ata kwenye vyombo ya sheria, kwangu akanyagi, akaishi aliko jenga” alisema Stellah ambae akuonyesha dalili ya kurudisha moyo wake nyuma.
Naam kwa simulizi hiyo, hakika ata insp na askari wake walishusha pumzi ndefu, zilizo ashilia kuwa ile ni ngoma nzito, na awakuwa na ushwishi mwingine kwa mwana mama huyu, ambae walimluhusu, aondoke zake, wakiwa awana la kufanya.*******
Baada ya Joyce kujitambulisha kuwa ni rafiki wa Rose, pale alipoulizwa na Adellah dada yake Rose, basi Adellah na mume wake wakaondoka na Joyce na kwenda kukaa nae sehemu ili awaeleze jinsi mkasa mzima ulivyo kuwa, waliongozana mpaka kwenye bar moja ya jirani, na kukaa wakiagiza soda, kisha Joyce akanza kusimulia, toka alivyo ufahamu urafiki wa Rose na Kipanta ambae ni mume wa mtu, akieleza kila kitu, kuanzia kujengewa nyumba na kufunguliwa saloon na maduka, pia kununuliwa shamba, Joyce alisimulia, na kueleza jinsi, Rose alivyo kuwa anauchukulia uhusiano ule kama kumkomoa, Kipanta, kiasi cha yeye na Matrida kumshangaa, pia alieleza jinsi alivyo mweleza kuwa “yeye akuwa na wasi wasi juu ya Matrida kutembea na Kipanta, ila alitaka kwanza akamilishe mpango wake, ndipo aachane nae” alieleza Joyce, na akihisi kuwa huyu dada na huyu mzungu, (mfilipino) wanaweza kuwa msaada kwa Rose, ambae yeye kama yeye aliamini kuwa Rose akufanya kiu kama hicho, “ok! mimi ni dada yake Rose, naomba twende kwa yule Matrida tukaongee nae” alisema Adellah, na kumshangaza kidogo Joyce, ambae alichukuwa jukumu la kuwapeleka kwa Matarida.******
Baada ya kutoka hospital, na kupitia sokoni kununua baadhi ya vitu vya kupika, Stellah akaona aitokuwa vyema kama asipo pigia mwalimu mwenzie ambae mala kwa mala uwa anawasiliana nae na kumpa habari za mume wake au kushauriana juu ya maisha yake ya kila siku, huyu ni mwalimu Celine, ukweli alifanikiwa kumpata na kumpa ukweli wa tukio, na pia alimweleza kuwa uhamuzi alio uchukuwa ni kuachana na bwana Kipanta, “na kweli wangu, yani utazani kwenu uli uwa sasa uoanaogopa kurudi, watashindwa kukupokea” alisema mwalimu Celine, akikonyesha kuwa amelizishwa na maamuzi ya mwalimu mwenzie, ambae mala kwa mala alikuwa anamsimulia matatizo yake, ndio hivyo wangu nimesha mpelekea kila kitu chake, huko huko hospital, eti akajifanya kuzimia” hapo wakacheka sana, “sasa mimi nipo kwa mwalimu suzie tuna kuja kukupa hongera yako, siutakuwa nyumbani?” alisema mwalimu Celine, akioyesha kuwa mwenye furaha kubwa, “niende wapi tena, wangu, nitakuwa nyumbani naandaa chakula maana jioni natarajia ugeni” alisema Stellah, akimalizia kwa kicheko flani cha kujishtukia, “mh! huo ugeni jamani, au tayari umeshaziba pengo?” ilo swali Stellah aklijibu, zaidi ya wote kucheka, kabla awajaagana, na kukakata simu.
Nikweli Stellah alikuwa amesha ziba pengo, na chakula alicho anza kupika ni kwaajili ya kijana Pross, kijana ambae amemfanya aione radha ya mapenzi, yani radha harisi ya dudu.******
Naam baada ya kugonga kisiki kwa Stellah, insp aliacha bwana Kipanta anaendelea kupata matibabu, yeye akaelekea Luguruni bar, ambako alikutana na Manager, alie mkaribisha kwenye ofisi yake kisha akaitwa mwana dada Sinder, ambae baada yakuingia ofisini tu! na kumwona insp alishtuka vibaya sana, “mh! wamekuja tena, au wamesha nishtukia?” alijiuliza Sinder kimoyo moyo, lakini alijitaidi kujikaza ili wasi wasi wake usionekane machoni pa insp, “habari yako, dada dada” alisalimia insp, huku ana mkazia macho Sinder ambae hapa kazini kwake walikuwa wana mtambua kama Janeth, “salama tu kaka yangu” alijibu Sinder akijikaza asionyeshe wasi wasi wake, juu ya ujio wa insp, pale kazini kwao, “unaitwa nani?” aliuliza insp ambae alikuwa ameshikilia kalamu na kile kinote book chake kikiwa mezani, tayari kuandika mahojiano yake na Sinder, “naitwa Sin…. naitwa Janeth Martin” alijibu Sinder ambae ilibakia kidogo ataje jina harisi, na insp aliona ubabaikaji wa mschana huyu, akaachakuandika jina na kumtazama usoni, kwa macho makali, “binti, siitaji ubabaishaji, naitaji majina yako harisi, na siyo majina uliyo jibatiza hapa mjini” alisema insp kwa sauti ya ukari, uku amemtolea macho, hapoSinder akajuwa kuwa tayari mambo yamekuwa makubwa, “sawa naitwa Sinder  Naiso” alijibu Sinder kwa sauti ya uoga, hapo insp akaandika kwenye note book, alafu akamtazama tena Sinder, “wewe ndie mhudumu pekee ulie wahudumia, wale wateja waliowekewa dawa kwenye kinywaji, mpaka wanaingia chumbani, ambako asubuhi walikutwa wame poteza fahamu, nikweli au siyo kweli?” aliuliza insp kwa sauti kavu, uku akimkazia macho Sinder alie onekana wazi kuingiwa na uoga wa hali ya juu, “ndyo ni mimi, ila sijuwi kama waliendelea kuagiza vinywaji vingine mimi nilipoondoka” alijibu Sinder, kwa sauti iliyo jaa wasi wasi, “sikia dada yangu, ubabaishaji unaweza kukuingiza kwenye matatizo, hivyo naomba unieleze jinsi ilivyo kuwa siku ya tukio” alisema insp na kutulia kusubiri simulizi.
Naam hapo ndipo Sinder alipokuwa anapasubiri, maana alitumia uwezo wake wote kuitengeneza simulizi yake, ili kujiodoa kwenye msala huu, ambapo alieleza kuwa yeye aliwapokea saa tano asubuhi na kuanza kuwahudumia mpaka saa mbili usiku, maana walikuwa wanakunywa kwa billy, na walipo mlipa yeye akaondoka zake, huku akipishana na mschana falani akiingia kwenye chumba kile akizania kuwa wanafahamiana nae, “unakumbuka yupoje huyo na alivaaje huyo mschana?” aliuliza insp, huku akimtazama Sinder usoni, hapo sinder haraka akavuta kumbukumbu za picha alio ziona mtandaoni zinazo mwonyesha mwana mke mrembo, mfanyakazi wa benk, alie wawekea dawa za kulevya wakina Kipanta, “ndiyo nakumbuka yupoje, ni mzuri mzuri hivi, alivaa shai jeupe, na suruali nyeusi, alashingoni, alikuwa amevaa kama kitambaa hivi cha rangi rangi” ilibakia kidogo insp acheke, maana maelezo ya Sinder, ni kwamba Rose alikuwa amevaa sale za benk, na siku hiyo ilikuwa ni siku ya chrissmas, “una uhakika Sinder?” aliuliza insp akiwa amezuwia kicheko chake, “ndiyo” alijibu Sinder kwa sauti ya uoga, hapo insp alitulia kidogo kama vile anatafakari jambo kisha aka mtazama Sinder, “ok! mtuhumiwa amesha kamatwa, tuna kupongeza sana kwa kuwa wewe ndie wakwanza kutoa taharifa juu ya uonekanaji wa mwanamke huyu” alisema insp kabla ajaaga na kuondoka zake, hapo Sinder alishushapumzi ndefu na kuachia tabasamu, “yani liliogopa, nilijuwa tayari wamesha nishukia” aliwaza Sinder huku anaelekea sehemu yake ya kazi.*******
Saa tisa ndio muda ambao Adellah alikutana na mdogo wake Rose, kwanza walipokeana kwa kilio, na ata maongezi yao yali ambatana na kilio, cha chini chini, licha ya kutawaliwa na lawama nyingi sana, toka kwa Adellah, kwenda kwa Rose, na Rose kujitaidi kujieleza, lakini mwisho wa siku Adellah akatulia, na kumsikiliza mdogo wake, ambae alimsimulia kila kitu, na mpango wake wa kulipiza kisasi ulio feli mwishoni, “usijari mdogo wangu, nitapambana kwa hali na mali mpaka ushinde hii kesi” alisema Adellah ambae alifikia kwenye hotel moja kubwa sana pamoja na familia yake, na alipomaliza kuongea na na mdogo wake ambae kiukweli ali yake ilimuumiza sana, sababu alishaanza kudhoofika kutokana na kuka kule mahabusu, alianza kufanya mipango ya kumtoa mdogo wake kwa dhamana, mpango ambao mpaka saa kumi za jioni ulikuwa auja fanikiwa, maana aliambiwa kuwa swala la dhamana lina usiana na mahakama, sababu tayari kesi yake ilitinga mahakamani, hapo ukabakia mpango wakuongea mschan Matrida.*****
Mida hiyo ndiyo mida ambayo Kipanta alikuwa amesha luhusiwa kuondoka pale hospital, ni baada ya kurejewa na fahamu zake, ukweli akuwa na uwezo ata wakubeba mabegi yake, kutokana na kuwa mengi alafu mengine makubwa, hivyo alichoamua nikuomba kwa wale walinzi wa suma JKT, wamuifadhie mabegi yake matano, huku yeye akichagua moja dogo, ambalo aliweka nguo na vitu muhimu, kama vile miswaki, hapo ndipo unapo patapicha kuwa Stellah alimpelekea kila kitu ambacho Kipanta alisahau kwake, na bahati ilikuwa upande wa Kipanta, ambae alikuta fungo moja kati ya mbili za gari, aliyo iacha nyumbani kwa mke wake, huku moja ikiwa nyumbani kwa Rose mwanamke alie pania kumfilisi, kila alicho mpatia.
Kipanta angeenda wapi unazania, moja kwa moja Kipanta alikaiza kwenye eneo la stendi ya daladala ya hapa muhimbili ya mloga nzila, na kuelekea mtaa wa kaza moyo, akitumia njia za mkato, ambapo alitembea kilomita kama nne, huku njiani akipishana na watu, ambao ata walipo msalimia, aliona kama wana msanifu, kutokana na kujishuku kwa yale aliyo yafanya, hivyo aliendelea kutembea huku akijishiku,  mpaka kutokea mbele ya nyumba ambayo hapo mwanzo alikuwa anajuwa kuwa ni nyumba yake, lakini baada ya kumkuta yaliyo mkuta, ndio ametambua kuwa ile nyumba alijenga mke wake, pasipo yeye kuchangia ata shilingi mia mbovu, Kipanta aalipofika alikuta gari la mke wake ambalo nalo licha ya yeye kulitumia kwa miaka kazaa kabla ajanunua la kwake, pia lilikuwa ni la mke wake na akuchangia ata shilingi, zaidi ya kuliaribu, na kumwachia likiwa hoi hae, lakini Gari ilo lilimaanisha kuwa mke wake huyo yupo ndani, na kingine kilicho mfanya aamini kuwa mke wake alikuwa ndani ni mlango wa nyumba kuwa wazi,  hapo kwa hesabu za haraka haraka, Kipanta akaona bola azame ndani, haraka, ili akamalizane na mke wake, huko huko, akutaka chochote kitokee huku amajirani wakishuhudia.
Haraka Kipanta aliingia ndani ambapo alikaribishwa na harufu nzuri ya vyakula, ambayo ilikuwa inatokea jikoni, na ata alipotazama mle ndani asa kwenye meza ya chakula, Kipanta aliweza kuona hot port kadhaa za vyakula zikiwa zime andaliwa, kwahiyo ukiachia chakula kinacho andaliwa jikoni, pia kingine kilikuwa mezani, hiyo ilionyesha kuwa kama siyo ugeni flani ulikuwa unatarajiwa, basi sikukuu ilikuwa inaendelea, ukiachilia mambo ya chakula pia sebule ilikuwa imetulia safi kabisa, yani ime wekwa katika mkao wa usafi wa maana, ikionyesha wazi pale nyumba kuna mambo mawili, kwanza akukuwa na watoto, ambao sasa wamesha funga shule, pia kuna mgeni lazima alikuwa anatarajiwa kuja pale nyumbani, “samahani umeingiaje bila hodi?” alishtuliwa Kipanta naswali toka kwa mke mke wake, hapo Kipanta aligeuka na kumtazama mke wake, alie shikilia hot port ya chakula mkononi, “acha utani basin a wewe nipige hodi ata nyumbani kwangu?” aliongea Kipanta huku akijichekesha, lakini ndio kwanza mke wake alikunja sura, akionyesha ataki mazowea, “we!we!we! ishia hapo, nyumbani kwako wapi?” aliuliza Stellah, kwa sauti ya juu ambayo ungesema ina mshangao ndani yake, huku anaweka hot port mezani, “lakini mke mke wang…” alitaka kubembeleza Kipanta, lakini akadakwa juu kwa juu, “hivi we mwanaume ume kwama wapi kukumbuka mke wako, mpaka unaniita mimi mke wako, ok! labda nikusikilize shida yako, pengine kuna kitu umekisahau humu ndani, ila nacho kijuwa mimi, kila kitu nime lu;etea kule hospital mpaka funguo ya gari lako” alisema Stellah, huku wote wakiwa wamsimama kwa kuachiana mita chache, kipanta akiwa na begi lake dogo, hapoKipanta akaona kuwa akizubaa, anaweza kuzalilika, hivyo akaaamua kujikaza kiume, “hivi, unajuwa mimi sikuelewi, we mwanamke, kwanza umenizalilisha pale hospital, alafu una jaribu kunifukuza nyumbani kwangu, unazani mimi mpumbavu kiasi hicho?, kwanza ngoja nikaweke begi chumbani” aliongea Kipanta akijaribu kuweka sauti ya kiume ili asijilegeze mbele ya mke wake, huku anataka kupiga hatua kuelekea chumbani, lakini aka dakwa mkono, “subiri kwanza, Kipanta, unaenda kwenye chumba cha nani?, kufanya nini?, kama kuzalilika ulisha jizalilisha mwenyewe kweye mitandao” alisema Stellah, kwasauti kavu ambayo aikuwa na chembe ya utani wala kubebembeleza, “ebu acha upuuzi, we mwanamke, huu siyo muda wa utani, unajuwa kama hali yangu siyo nzuri?” aliuliza Kipanta huku akijipapatua mkono toka kwenye mkoni wa Stellah, na kutaka kuelekea chumbani akadakwa tena, “kumbe unajuwa kuwa huu siyo muda wautani, basi nakuomba utoke nje, uende uliko jenga na kufungua maduka” alisema Stellah, namaneno ayo yakaonyesha wakati huo huo, Kipanta akaliachia begin a kumkwida stellah, ile anaandaa ngumu, ili amtandike Stellah usoni, kama alivyo zowea, mala akasikia, “jamani mnatukaribisha na ugomvi tena” ilisikika sauti ya ukari ya kike,  toka mlangoni, na walipo tazamana walimwona mwalimu Celine akiingia mle ndani, akiongozana na mwalinu Suzie, wote wame kunja sura zao kwa hasira na mshangao hapo ndipo mwalimu Stellah alipo bahatika kuchomoka mikononi mwa Kipanta, na kusogea pembeni, “bahati yako mshanzi wewe, uwezi kunikosea adabu kiasi hicho” alisema Kipanta kwa sauti iliyo jaa ghazab, “nime kukosea adabu, au ume jikosea mwenyewe, mimi nime kuambia uende uliko jenga, kwani ndio kukukosea” alisema Stellah, kwa sauti ya kupayuka, hapo Kipanta akachomoka tena kumfwata Stellah, “ebulia kidogo baba nani, kwani anacho sema mwalimu Stellah, ni uongo, wewe si ume mkimbia na kwenda kukajengea kale kabinti nyumba sasa una kasirika nini?” alisema mwalimu Suzie, kwa sauti ya kupayuka pia, akionyesha kuchukizwa na kukasirishwa kama mwalimu Celine, “kwani huyu amefwata nini kwako, yani upuuzi wote huo alioufanya bado una mruhusu aingie kwako, hakika mimininge mng’oa pumb..” alisema Celine kwa hasira, “kusikia hivyo mwana jeshi mstaafu akasitisha zoezi la kumfwata Stellah, na kuwatazama wanawake awa walio ingia humu ndani, kwamacho ya hasira, “kwa hiyo, ndiyo kusema nini, kewani  mmefwata nini hapa?” aliuliza Kipanta kwa sauti iliyo jaa hasira, “unatuuliza kamanani, kwani hapa ni kwako, muulize mwenye nyumba, wewe si uliona bora kuwajengea malaya” alisema mwalimu Suzie, ambae alionekana kuwa akuwa na subira ata kidogo, kutokana na ujinga alio ufanya Kipanta, maneno hayo yalimchukiza Kipanta, ambae alipiga hatua za haraka kuwa fwata wanawake awa wawili, ambao walipoona vile walikimbilia upande wajikoni, wakiongozana na Stellah, mwenyeji wao, Kipanta akiwa amejaa hasira, aliamua kuwafwata kula kule jikoni.
Lakini kabla ajaufikia mlango wa jikoni, akajikuta anasimama mlango ghafla……….…. endelea …
.. 


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa