KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA TATU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, January 5, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA TATU





KITUMBUA CHA BUKU
SEHEMU YA THELATHINI NA TATU

ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHI NA MBILI: Nikama Pross akuweza kusikia maneno ya mwisho ya Stellah, wala kusikia simu ikikatwa, akabakia ameweka simu sikioni, huku anamtazama yule mzee, na kilicho mvuta siyo yale madumu, wala uzee wa yule mzee, au nguo chakavu za yule mzee, kilicho mshangaza na kumduwaza, ni sura ya yule mzee, “mbona amefanana,kama baba, au ndugu yake?” alijiuliza Pross, huku gari likishika kasi na kutokomea zake, upande wa kibamba……….. endelea …..
Huku Pross akiendelea kujiuliza juu ya yule alie mwona ni nani, maana licha ya kufanana na baba yake lakini pia alikuwa amezeeka sana na kuchoka vibaya, Pross alivuta picha ya baba yake, miaka mitatu iliyopita, siku anaachan nae kule kingamboni, aikumjia hakirini kuwa yule alie mwona pale mbezi stendi ni baba yake, “lakini mbona akutumbiaga kama ana ndugu yake hapa dar es salaam?” awaza Pross kabla ajashtuka na kutazama simu yake, ambayo mala ya mwisho alikuwa anaongea na mwana mama Stellah, wakati huo gari lilisha pita kwa yusuph, na sasa lilikuwa lina simama kituo cha chuo, akibakiza vituo viwili kufika kibamba hospital.*******
Kipanta akiwa amejilaza juu ya kitanda cha hospital, alijawa na wazo mengi sana, asa akiona jinsi wenzake ambao alikuwa nao kwenye kile chumba wakija kutolewa na ndugu zao, baada ya kulipiwa fedha walizo kuwa wanadaiwa, “inamaana mimi nita kaa humu mpaka lini” aliwaza Kipanta, baada yakuona daliliza wazi kabisa, kuwa mke wake akuwa na mpango wa kumlipia fedha alizo kuwa anadaiwa, pale hospital, “alafu huyu mwanamke mbona amebadirika hivi, au kuna mtu amemshika masikio, maana mke wangu hayupo hivi, ebu fikilia, amenifumania mala ngapi, nab ado nipo nae, mala ya mwisho amenikuta pale mbezi, nika mtimua siku ya pili amekuja kunitoa polisi, alafu leo nipo kwenye matatizo aniache hivi, siyo siri, lazima kuna kitu” aliwaza Kipanta, alie valia lile guo, la hospital, ndani akuwa na kitu chochote, inamaana aliibiwa mpaka boxer.
Wakati ana waza hayo mala akatokea kijana mmoja mwenye kati ya miaka therasini na nne ay tano, alie valia track suit chini, na tishert juu, alafu miguuni alikuwa amevalia sendo, kiongozana na mwanamke, ambae isinge kuwa vigumu kutambua kuwa ni mke wake, alie valia gauni la mpira, refu mpaka kwenye nyayo, wawili awa walisalimia kila mgonjwa alie kuwepo mle ndani, pamoja na yeye,  “habari mzee pole sana” alisalimia yule kijana, kwa sauti ya upole uku akiachia tabasamu, “asante” aliitikia Kipanta kwa sauti kavu, huku moyoni akiingiwa na chuki juu ya kijana yule ambayo ata yeye mwenyewe, akujuwa ni kwanini, “mpuuzi nini, mnamjifanya mnapendana, uwajuwi tu wanawake, ngoja yakukute” alijisemea Kipanta, huku akiwakata jicho wale wanandoa ambao waliendelea kusalimia wengine kisha waka ishia kwenye kitanda cha tatu toka kwa Kipanta, na kuanza kuongea na mgonjwa alie lazwa kwenye kitanda kile, ambae alikuwa ni kijana kama yeye, ila kutokana na kuumwa au mazingira aliyo ishi mgonjwa kabla ya kuumwa alionekana wazi kuchakaa kidogo, “pole bwana Side, taarifa yako nime ipata mapema kwenye saa nne hivi, ila ratiba za kazi zinabana sana, siunajuwa kazi zetu za majeshi, alafu shemeji yako anashinda mbezi kusimaia biashara, hivyo nika shiondwa kumtoa aje malize swala hili” alisema yule kijana alie kuja na mke wake, na kauri ya kazi za majeshi, ndiyo iliyo mstua Kipanta, na kujiuliza majeshi gani, maana na yeye aliwai kuwa mwanajeshi wa jeshi la ulinzi, akazidi kumkazia macho yule kijana, ambae kiukweli toka ameingia mle ndani alikuwa ana mtazama mala kwa Kipanta, lakini kwa macho ya wizi, “kwanza kabisa ime nisikikitisha sana, sie tupo hapa karibu, atujuwi lolote, inafikia hatua mnaomba fedha huko kijijini” alisema yule kijana, akimweleza yule mngonjwa alie mwita kwa jina la Side, “kaka kwakweli  sijuwi nisemeje, maana tumeangaika sana kwa ndugu wa hapa mjini, lakini kila tulie mweza ndio kwanza amekata mguu ata kuja kutuona, nikaamua nitulie tu, hapa nimeshikiliwa poni” alisema yule Side kwa rafudhi ya kimakonde, “kwa hiyo mtwara ulitoka mwenyewe” aliuliza yule kijana, huku mke wake anasikiliza tu! “nimekuja na mdogo wangu mmoja anaitwa Abdu, yeye ameenda Kibamba, kushangaa shangaa, siunajuwa ndio mala yake ya kwanza kuja Dar, hivyo badae anakuja kulala hapo nje, alisema yule Side na kutokana na rafudhi yake kila alicho sema watu karibu wote mlendani wakacheka, “sasa nime jaribu kuongea na hao jamaa wa malipo, wamesema kwa sasa wamefunga awawezi kupokea fedha” alisema yule kijana ambae kwamwonekano unge tambua kuwa ni askari ila nivigumu kujuwa kama wajeshi la ulinzi au la polisi, Kipnta alimwona yule mke wa yule kijana akitoa fedha kwenye mkoba wake, na kumpa yule kijana askari, “sasa kesho mapema fanya malipo, na akija huyo Abdi, umpatie namba yangu, anipigie nimwelekeze aje nyumbani alale, ilikesho aje msaidiane kukamilisha malipo, na mkikamilisha mnipigie simu, nije niwachukuwe, niwapeleke  nyumbani, mpumzike kwa siku kadhaa, kabla ya kuanza kurudi mtwara” alisema yule jamaa, huku akitoa bunda la fedha na kumpatia Side, ambae alishukuru wazi wazi, kiasi cha kuwa shangaza ata watu wengine, waliokuwepo mle ndani, ata bwana Kipanta alitamani kama ifanyike miujiza, zile fedha apewe yeye.
Ata wakati yule jamaa anaondoka Kipanta alitamani kumsimamisha na kujieleza pengine ange saidiwa, kutoka pale hospital, lakini ilikuwa vigumu kidogo, kwa ghafla na mna ile, “duh! hivi uyujamaa ametukopesha ili laki nne au ametupatia bule bule?” aliuliza Side kwa sauti ya juu, mala baada ya mtu na mke wake kuondoka, huku anatoa simu mfukoni, na kumpigia mdogo wake, ambae alisimulia kila kitu, huku akidai ni miujiza, na ata wenzie walipo mwuliza, kwanini anasema ni miujiza, akasimulia kuwa, yeye baada ya kuja hapa mwzi mmoja uliopita, akiwa na mdogo wake, alitibiwa na kuruhusiwa lakini music ukawa kwenye malipo ambayo yame mweka hapa kwa week tatu, akijaribu kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki, wamtumie fedha ambazo ata warudishia akianza kazi zake za kilimo, lakini ndio kwanza alikuwa kama anawafukuza, maana walikata mguu kwenda kumwona pale hospital ata simu awakupokea tena, “sasa tuka sikia kuwa kuna kijana mmoja anaishi hapa jirani, ni mjukuu wa mzee mikana wa kule kijijini kwetu Malatu” alieleza Side, ndio tuka pewa namba za simu, tukisema kuwa tumpigie atusaidie ata ela ya kula kidogo, kwa siku mbili tatu wakati tunafanya mipango ya fedha ya kutoka huku” alisimulia Side, yani uwezi amini, huyu bwana ata wazazi wake wakai huko Malatu, zaidi ya kuwa ni chimbuko lao, leo tume mpigia simu na kumweleza matatizo yetu, ndio ameleta hiifedha, yote, yakulipia, siyofedha ya chakulate, na Abdi leo anaenda kulala pazuri” alisema kwa furaha Side, “kwani huyu jamaa anafanya kazi gani?” aliuliza mmoja wa wagonjwa walio shindwa kulipia fedha za matibabu, “kwajinsi tulivyo simuliwa ni kwamba, huyu jamaa ni mwanajeshi, na mwaka jana alikuwa huko sudani analinda amaini, alirudi na fedha nyingi sana, akamfungulia mke wake maduka huko mbezi, pia alinunua na gari zuri, ukichukulia alisha jenga hapa hapa Kibamba, hivyo maisha yake mazuri tu!” alisifia Side, na kauri hii ilimfanya Kipanta afiche uso wake na kufuta machozi kwenye shuka za hospital, machozi yaliyotolewa kwa msukumo wa machungu makubwa sana, maana hiyo safari iliyo zungumzwa ndiyo safari ambayo walienda wote, na yeye kumalizia fedha kwa mschana Rosemary.****** 
Yap nyumbani kwa Stellah, ni baada ya Stellah kumpokea Pross na kumpeleka kwa wazazi ake akimpatia na fedha kidogo, kiasi cha elfu alobaini, ambacho aliwakabidhi nyumbani kwao, na wao kuondoka zao, huku mama na ndugu zake wakijuwa kuwa anarudi Kisalawe, waliekea moja kwa moja nyumbani kwa Stellah, yani kwa mke wa bwana Kipanta, “karibu baba, jisikie kama hupo kule shambani kwako, tena ujione kuwa baba mwenyenyumba” alisema Stellah huku akimkumbatia Pross na kumpa busu la mdomoni, Pross akakaribishwa ndani, akatulia sebuleni, akiwa amesha sahau kuwa, alimwona mtu anae fanana na baba yake bwana Feruz, yeye aliachwa pale sebuleni, na stellah alie ingia chumbani kwake, ambako akuchukuwa ata dakika tano, akamwona Stellah, anatoka akiwa amejifunga upande wa kanga, ambayo kiukweli nikama kituko, maana unge sema aliiegesha, ilikuwa ni sawa na kuacha kuvaa kinguo hicho, ukiachia kuangaza kiasi cha kuonekana wazi kuwa akuwa amevaa chupi, pia mapaja kwa kiasi kikubwa yaikuwa nje, na msambwanda ulikuwa unatikisika, kamavile yanataka kuanguka, hapo hapo dudu ya Pross ilishtuka na kuanza kujitutumua ndani ya suruali yake ya jinsi, “aya baba inuka twende ukaoge, mwenzio natamani kama vile atujafanya mwaka mzima” alisema Stellah, huku anamsika mkono Pross na kumwinua, toka pale juu ya kochi, kisha akamwingiza chumbani……… endelea …..


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa