KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA SABA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, January 5, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA THELATHINI NA SABA




ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHI NA SITA: “unatuuliza kamanani, kwani hapa ni kwako, muulize mwenye nyumba, wewe si uliona bora kuwajengea malaya” alisema mwalimu Suzie, ambae alionekana kuwa akuwa na subira ata kidogo, kutokana na ujinga alio ufanya Kipanta, maneno hayo yalimchukiza Kipanta, ambae alipiga hatua za haraka kuwa fwata wanawake awa wawili, ambao walipoona vile walikimbilia upande wajikoni, wakiongozana na Stellah, mwenyeji wao, Kipanta akiwa amejaa hasira, aliamua kuwafwata kula kule jikoni.Lakini kabla ajaufikia mlango wa jikoni, akajikuta anasimama ghafla………endelea …..
Ni mala baada ya kusikia vurugu ya vitu vikigongana gongana huko jikoni, na ile kutazama vizuri, akawaona wanawanawake wale watatu, wakiibuka kwenye mlango wa jikoni, huku kila mmoja ameshika kitu ambacho kingeweza kutumika kama silaha, na kumjeluhi vibaya, kama siyo kumuuwa, maana wakati Stellah mwenyewe akiwa ameshika kibao cha nazi, huku Celine Suzie mwenye hasira kupita wenzie, alikuwa ameshika mwichi wakutwangia kwenye kinu, Celine yeye alikuwa ameshika kisu flani kikubwa , ungesema nusu panga, walikuwa wanamjia kwa kasi, wakionyesha kuwa awakuwa na msamaha kwake.
Hapo Kipanta akusubiri, filimbi wala ile bastora ya kuashiria mwanzo wa mbio, fupi za mita mia moja, au mia mia nne, aligeuka na kukimbia kwa speed ya mwizi, kuufwata mlango wa kutokea nje, pale sebuleni, huku bado wale wakina mama wakimwata kwa speed, ata pale nje Kipanta akusimama, alikimbia kwa umbali wa mita hamsini, ndipo alipogeuka na kutazama, “mshenzi wewe, si unajifanya kidume, njoo sasa, unakimbia nini?” yalisikika maneno ya kina Stellah, ambao walipoona ameenda mbali kidogo walisimama.
Kiapnta akabakia anathema juu juu, huku akiwatazama, wale wanawake, hofu ime mtanda, macho yame mtoka, akuamini kama kweli huyu ndie yule Stellah, mnyonge wake, sehemu yake ya dharula, mwanamke ambae, upole wake ulikuwa ni zaidi urofa, maana kuna wakati Kipanta alipo wasimulia rafiki zake, juu ya matukio aliyo kuwa anayafanya, juu ya mwanamke huyu, walimweleza kuwa ametumia dawa za jadi, kumpumbaza, mfano kuna siku walikuwa wanaongelea jinsi wanavyo maliza kesi zao na wake zao, “mimi bwana mke wangu, atakama nime mkosea vipi, nikimnunulia chupi, nyekundu au nyeupe, hapo ata mzigo atatoa, muda huo huo” alisema mmoja wao, “mh! mwanangu mimi lazima kwanza simu ipigwe kwa wazee, hapo ata kama sija semwa lolote, yeye roho yake inatulia kabisa” alisema mwingine, hapo Kipanta akacheka kidogo, kabla ya kuelezea yeye anavyo tafuta suluhu, katika kesi zake na mke wake,  “nyie mnabembeleza sana, unajuwa wife juzi alinifumania, nika mkunjia sura, alafu nikamweleza twende home tuka yaongee, hapo bado nime kunja sura” anaeleza kipanta, huku wenzie wakimsikiliza kwa umakini, “na tulipofika home nika mlia bati, huku uso wambuzi, mida ya chakula cha jioni sasa, ile anakuja, kunikaribisha chakula, akapiga magoti mbele yangu, alafu akaanza kwakuniomba msamaha” alisema Kipanta, na wenzake wakashangaa, “yani anakuomba msamaha wewe na siyo wewe uombe msamaha?” aliuliza mmoja wao, “sasaje?, tena kwa unyenyekevu mkubwa” alisema Kipanta kwa majisifu, “sasa na wewe una mwambiaje hapo?” aliuliza mwenzie, huku wote wakionyesha mshangao, “nikamweleza kuwa nimeshakusamehe, lakini usirudie tena, huku bado nime kunja sura uso wambuzi kweli kweli” alisema Kipanta kwa majisifu ya kishujaa, wenzie wakastaajabu, “kaka siyo bule, kuna kitu memfanyia” alisema mmoja wao.
Lakini Leo, Kipanta anamwona yule yule Stellah, aliekuwa anamwomba msamaha, ata kwa kosa lake yeye mwenyewe, akisaidiana na wenzake kumtimua pale nyumbani, na  watu walishaanza kujaa eneo lile, kama ujuwavyo, kelele za huyo huyo, zilisha anza kusikika, Kipanta akaofia kuonekana mbele ya watoto wake, hivyo akaamua kuondoka zake, na kabla ajaanza kuondoka, akamwona Stellah, anaingia ndani haraka na kutoka na begi lake dogo, alilotokanalo hospital, kisha akamrushia, “kawasalimie, wanao juwa mapenzi, na watoto usije kuwaona apa nyumbani, watakuja kukutembelea” alisema Stellah, wakati Kipanta anaokota begi lake, huku anashangiliwa na watu, mshangilio wa kuzomewa, Kipanta aka chukuwa begi lake na kutokomea mitaani, huku akiiona dunia ina mwelemea, lakini akuacha kujipa moyo, “we! ngoja tu! nikisha mfilisi Rose, ata jileta mwenyewe” aliwaza Kipanta huku anaendelea na safari yake.
Huku nyuma wakina Stellah, walirudi ndani na kuagiza wine kwaajili ya kujipongeza, na kumpongeza Stellah, kwa kujitoa kifungoni.*******
Naam Matrida tayari alisha pewa RB, toka kituo cha polisi, kwa upotevu wa vitamurisho vyake na simu, na akiwa na wenzake, walimpeleka kwenye ku renew line zake za simu, huku akikagua na kukuta kuna kiasi cha million mbili kwenye simu, kama alivyo tumiwa na na bwana Kipanta, ambae alimwacha hospital akiwa amekosa fedha ya kulipia matibabu.
Baada ya hapo saa kumi ndip mmuda ambao aliingia nyumbani kwake, akiwa na wenzake, wakifikia kuanza kupata wine kama kusherehekea mafanikio yajayo, ambapo walikuwa na uhakika wa kujivunia fedha toka kwa Rose, huku wenzie wakimsifia kwa kitendo chake cha kuto kumsikiliza Joyce, “na ukimsikiliza tu umekufa masikini ndugu yangu” aliongea mmoja wao, huku mwingine akiongeza, “tena Rose mwenyewe amekudhalilisha mtandaoni, nani alimwambia hawara ana mufamuniwa, yeye mwenyewe mwizi” alisema mwingine na wote wakacheka kwa pamoja, kabla awaajakatishwa kicheko kwa kusikia hodi kwenye mlango, wote wakatulia ili kusikia na kuhakikisha kama walicho sikia ni mlango ulikuwa una gongwa au wenge lao.
Nikweli wakasikia tena mlango ukigongwa huku sauti ya kike ikifwatia “hodi wenyewe” wote wakatazamana, kama vile wanaulizana ni nani alikuwa anagonga mlango, wote waliofia asije kuwa ni Joyce alie onyesha nia ya kumsaidia Rose na kuwakosesha fedha, nakabla awajapata jibu, wakasikia tena hodi, “hodi wenyewe” hapo walitambua kuwa hiyo sauti aikuwa ya Joyce, ndio mmoja wao, alipoinuka haraka na kuelekea mlangoni akafungua.
Naam ile kutazama nje akaona kuna watu kama watano hivi, na alie mtambua ni mmoja tu, yani Joyce, wengine walikuwa ni mdada mmoja alie onekana kuwa mwenye maisha mazuri, kwa uvaaji wake na ung’aavu wa ngozi ya mwili wake, pia aliweza kumwona mtu mmoja mwenye umri wa ujana unao elekea utu uzima, mwenye hasiri ya watu wa ufilipino, akiwa amewasika mikono watoto wawili, na kingine kilicho mfanya aone kuwa watu awa walio ongozana na Joyce ni mwenye maisha mazuri, gari lililo kuwepo nyuma yao, ni aina ya BMW new model, ya campuni flani ya kukodisha, japo yeye akulitambua ilo, “Joy ume fwata nini huku?” alijikuta ameuliza swali ambalo akutarajia, likiambatana na sauti ya mshangao, wa hasira na chuki, “kwani wewe ni kwako hapa, unaniuliza kama nani, awa ni wageni wa Mart ebu tupishe tuingie” alisema Joyce akionyesha kukasirika zaidi ya mwanamke huyu, wa hapa mlangoni, huku ana pita kwa nguvu pale mlangoni, na kumfanya huyu, mwana mke asigoo pembeni, kisha Adellah akafwatia na mume wake alibakia nje na watoto.
Matrida na wenzake mle ndani wakashikwa na mshangao na mshtuko kidogo, kwanza walizania pengine Joyce alileta kama siyo polisi, basi ni  mwanasheria, hivyo wakamtazama kwa macho ya hasira na Chuki, “habari zenu jamani” alisalimia Adellah, baada yakuona awawengine wanatazama kama vile wapo vitani nzuri, sijuwi tuwasaidie nini?” aliuliza mpambe mwingine, na siyo Matrida mwenyewe, mpaka hapo Joyce akajuwa kuwa ushawishi mkubwa wa Matrida kumwangamiza Rose, unatoka kwa wanawake awa ambao anawafahamu vizuri kabisa, sababu wanafanya kazi wote pale benk, “Mart huyu ni dada yake Rose amekuja kuongea na wewe kuhusu Rose, je unaweza kutoka kidogo tukaongee sehemu” alisema Joyce kwa sauti tulivu, huku yeye na Adellah, wakimkazia macho Matrida,  wakamwona anawatazama wenzake, ambao walimminyia jicho kumweleza akatae, “hapana siwezi kutoka, bado najisikia vibaya, kutembea mitaani kwa mambo yaliyo tokea” alijibu Jocyce hapo Adellah akatazama mezani, ambapo palitapakaa vyupa vya pombe, kisha akamtazama tena Matrida, “ok! siyo mbaya tukiongea hapa hapa” alisema Adellah, kwa sauti ya upole na tulivu, hapo mmoja kati ya wale waschana wakadakia, “dada mimi naona we umwache Mart apumzike, kwanza alicho fanyiwa na mdogo wako siyo kizuri kabisa,kime mhathiri kisaikolojia, alafu isitoshe kesi ipo mahakamani, ameambiwa aluhusiwi kuiongelea pembeni” alisema yule mwanamke kwa sauti flani ya kusimanga, huku akitazama pembeni na kubetua midomo, hapo Adellah aka mtazama Joyce ambae pia alikuwa anamtazama Adellah, kwa macho ya mshangao, kabla Adellah aja mtazama yule mschana mwongeaji, na kumwambia “lakini akuna mahakama inazuwia kuongea jambo kama ili pembeni, isitoshe sisi atuja fika kuingilia mambo ya kimahakama, ila tunaitaji kufahamu mambo machache juu ya kilichotokea” alisema Adellah kwa sauti ya upole, lakini Matrida akujibu kitu, zaidi ya kutulia akitazama chini, “lakini nimesha waambia Mart ajisikii kuzungumzia swala hilo, mbona amuelewi?” alsema yule mschana kwa sauti ya juu, “mbona wewe una kimbele mbele, au ndio ulio wafanyia hivyo alafu una mshawishi amtaje Rose, sisi tuna taka kujuwa kama kweli Rose aliwafwata hapo Guest, na aliwawekeaje, wekeaje hiyo dawa” alisema Joyce kwa ukali, hapo nikama alihamsha masehetani ya wale waschana, maana nao walianza kuongea kwa pamoja, “we mpuuzi nini, nani afanye ujinga kama huo, tena kwa rafiki yake” alisema wakwanza, na wapili akadakia, “eti kisa mwaume” hapo wakaangua kicheko cha kisngingi, “usikose ata wewe ulikuwa nae wakati anaweka dawa” alisema mwingine, na yule wa kwanza akaongezea,  “na ukizidi kujifanya kimbele mbele na wewe unatajwa” waschana awa waliongea kwa dakika nzima wakimshambulia Joyce, huku Adellah na Matrida, wakisikiliza bila kuongea kitu, “jamani yasiwe makubwa, tunaomba tuondoke zetu tuwaache” alisema Adellah, baada ya kuona kuwa wale waschana wanao kunywa pombe, huku anainuka na akifwatiwa na Joyce, ambae pia alisimama, tayari kwa kuondoka, “nendeni kwani tulmewaita hapa?” aliuliza mmoja wao kwa kwejeli, huku wakimtazama Adellah aliekuwa anafungua pochi yake ya mkononi, na kutoa card, “Matrida mdogo wangu, naimani kuna jambo ambalo lime fichika, chukuwa hii card ina namba zangu za simu, ukitulia nipigie” alisema Adellah, huku anampatia card Matrida, lakini mmoja wao ali kuwa karibu akawai kuchukuwa mkononi kwa Adellah, “dada nikuambie ukweli akuna cha kupigiwa la kubipiwa, tukutane mahakamani” alisema yule alie ipokonya card, hapo Adellah akaonekana wazi kujawa na hasira, akamtazama yule mwana mke alie pokonya ile card, kwa macho makali, kisha akaachia tabasamu la uchungu, alafu akamtazama Matrida, ambae muda wote alikuwa kimya, “mdogo wangu, kama kweli mdogo wangu alikuwekea dawa sheria isimame, lakini kasiyo, nakuambia hivi, vyovyote utakavyo shauriwa na rafiki zako, lakini kumbuka, namfahamu Kipanta vizuri kuliko mnavyo mfahamu, na kitu ambacho nataka kukueleza, ajawaikuwa rafiki watu na asimwachie matatizo, lakini nakuhakikishia, safari hii, awezi akafanikiwa uovu na uonevu wake, na kama kuna unachotegemea toka kwa Rose, kutokana na Kessi hii, andika maumivu, nitapambana mpaka mwisho, ukweli ujulikane, na ikibainika ni uongo, basi jiandae, maana sito kuwa na muda wakuongea na wewe, nitakuomba undelee kukaa kimya kama ulivyo kaa leo” alisema Adellah kisha akatoka nje ya nyumba ile akifwatiwa na Joyce, huku wakisindikizwa na kicheko cha kebehi, “maneno ya mfamaji” alisema mmoja wao huku wakifunga mlango, wakina Adellah awakujari wakaondoka zao, wakitumia gari aina ya BMW.
“Anaonekana anafedha yule dada alafu mume wake mzungu” alisema mmoja wao huku wote wakichungulia madirishani, nakuliona BMW likiondoka, “hizo fedha ndio tuna zitaka, siyo anakuja kuomba omba hapa” safari hii aliongea Matrida, huku akichukuwa glass ya pombe na kuinywa kwa fujo.*****
Naam bwana Kipanta  baada ya kufukuzwa kwa aibu nyumbani kwa Stellah, alienda moja kwa moja nyumbani kwa Rose, na alipofika pale nje akasimama na kuitazama nyumba ile kwadakika kadhaa, kisha akajisemea, “jasho langu alipotei” alisema Kipanta huku anaelekea kwenye gari lake, na alipo lifikia akaanza kulikagua matairi, kabla ajausogelea mlango wa gari, “kama siyo nyumba kama ilivyo, basi lazima auze ili anipatia mkwanja wangu, siwezi kudhalilika” alisema Kipanta huku anatoa funguo ya gari na kufungua mlango wa gari ilo aina ya Toyota IST, ambalo anasiku kadhaa ajalitumia.
Naam ile kuchomeka funguo na kuweka on, dash board ikasoma, kitu cha kwanza macho yakatua kwenye gage ya mafuta, mshale ulikuwa ume lala kushoto, kwenye ‘E’ hapo aka hema kwa nguvu, “dah! kweli mala ya mwisho sikuweka mafuta” alijisemea Kipanta huku akiegemea stearing, ambapo alishtuliwa na mlio mkali wa honi, na kujiinua haraka, kisha akaegemea kiti.
Alitulia hivyo kwa dakika kadhaa, huku akiwaza ili na lile, ikiwa ni sehemu ya kula na sehemu ya kulala, alikumbuka kwa Matrida, lakini kitendo cha kutoka pale hospital akimwacha yeye anashangaa shangaa pasipo msaada wowote, kiliashilia kuwa Matrida asingeweza kumsaidia kwa lolote, inamana mapenzi yao aliishia usiku watukio, la kuwekewa dawa, mala Kipanta akakumbuka shambani kwa Rose, “yess kile kibanda cha yule shamba boy” alijisema Kipanta, lakini atafikaje huko shamba, maana akuwa na ata shiringi, “dah! kweli maisha ni mzunguko” aliwaza Kipnta kabla ajakumbuka jambo, “yes nime kumbuka” alisema Kipanta, na kuanza kukagua kwenye dash board ya gari lake, haraka haraka, mpaka alipo ikuta shilingi elfu saba, ya buku buku, kwenye kimkebe cha dash board akatabasamu, na kushuka haraka, toka kwenye gari, akafunga milango na kuondoka zake akiwa na shilingi elfu saba, “hii nita itumia kama nauli, chakula nitapata kule kule shamba” aliwaza Kipanta huku anaelekea barabara kuu kwenda kupanda magari ya kwenda Kisalawe, sehemu pekee ambayo anaweza kupata sehemu ya kulala, ambayo aitokuwa na mashriti yoyote, “kesho namtafuta dalali niuze lile gari, nipate kianzio” alisema Kipanta, huku akiendelea kutembea taratibu, kulekea barabarani, huku njaa akimchamanda kweli kweli.*****
Saa kumi na mbili na robo, tayari Stellah na wakina Celine wa walikuwa wamesha agana, na kutawanyika zao, wakimwacha Stellah anaendelea na maandalizi ya kupokea mgeni, ambae wao binafsi awakuweza kumjuwa zaidi ya kumkadilia kuwa atakuwa ni mbaba flani wa maana, sababu Stellah mwenyewe siyo wa pole pole, ni zinga la mama.
Wakati akimalizia maandalizi yake huku anaendelea na wine yake, ndipo alipokumbuka kuwa abado ajamweleza mpenzi wake Pross kuwa aanze safari, akachukuwa simu haraka na kumpigia Pross.****
Nikweli Pross mida hii, alikuwa amekaa kwenye gogo chini ya mwembe, amesha ulamba tayari kwa safari ya mjini, kwa mpenzi wake mwana mama Stellah, hapo kuna wakati alikuwa anamkumbuka sana Rose, boss wake, Pross alikuwa ameweka simu yake pemmbeni yake, yani juu ya gogo, anasubiri simu toka kwa Stellah, kama alivyo ahidia, kuwa anajulishwa muda wakuanza kutoka, na wakati nasubiri simu, mala akashangaa kuona kuna mtu anae mfahamu akiwa anakuja kwa miguu na begi mkononi, “mh! kwani boss anahamia huku, au ananiletea zawadi?” alijiuliza Pross, huku anamtazama bwana Kipanta, alie kuwa anakuja tartibu akionekana amehoka kweli kweli, “unashangaa nini wewe mjinga, ebu njoo haraka, unipokee” aliwaka Kipanta, kwa sauti iliyo jaa jazba, Pross akatoka mbio, na kwenda kumpokea, “shikamoo boss” alisalimia Pross ambae licha ya kushangazwa na ujio wa boss wake, tena wa miguu, pia alishaingiwa na uoga flni, sababu alisha mega tunda la mpenzi wa boss wake huyu, “marahaba, vipi kuna chakula chochote?” aliuliza Kipanta, huku wakitembea kuelekea kwenye kibanda cha mabati, ambacho tumezowea kuisoma kama nyumba ya Pross,  “kuna ugari na kambale, niliobakiza mchana” alijibu Pross, na wakati huo walisha fika nje ya kibanda, “ok! weka ili begi ndani, leo nalala hapa hapa, alafu fanya mpango wa ugari” alisema Kipanta, huku ana kaa kwenye gogo, la chini ya mwembe, pembeni ya simu ya Pross,  huku njaa ikimtafuna vibaya sana, “dah! huyu mzee anazingua, sasa anakuja kulala huku ili iweje” aliwaza Pross ambae baada ya kuweka begi la boss wake, kisha akachukuwa ugari na kambale, akatoka navyo nje, na kwenda kuviweka karibu na boss wake ambae nusu aanze kula bila bila kunawa, kutokana na njaa aliyo kuwa nayo, “boss ngoja nikuletee maji ya kunawa” alisema Pross huku anaanza kupiga hatua kuelekea ndani, lakini basi kabla ajapiga hatua ata mbili, akasikia simu yake inaita, na wakwanza kuiona alikuwa ni Kipanta, “kumbe una simu bwana, alisema Kipanta huku ana ichukuwa simu ya Pross, iliyo kuwa bado inaita, na kuitazama mpigaji, hapo hapo macho yaka mtoka kwa mshangao……….…. endelea ….
.



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa