KITUMBUA CHA BUKU
SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI
ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHI NA MOJA: akaelekea moja kwa moja kwenye ward aliyo lazwa bwana Kipanta, “hivi kwanini umezima simu muda wote huu, yani mimi nimeazima simu ya watu nakupigia weeee, upatikani” hiyo ndiyo ilikuwa salamu ya Kipanta kwa mke wake, mala tu baada ya kuingia mle kwenye Chumba ambacho ni cha wagonjwa wa kiume walio shindwa kulipia matibabu, Stellah alitulia sekunde kadhaa akitafuta jibu la kumpa mume wake ambae alikuwa amelala kwenye kitanda cha hospital huku amevaa yale manguo, ya blue mfano wa gauni, wanayo vaa wagonjwa walio vuliwa nguo, kama wametoka kujifungua au kufanyiwa operation……… endelea …..
Ilionyesha wazi kuwa akuwa na nguo ya aina yoyote, ambayo ange weza kuivaa kwa wakati huo, maana kwa muda mchache ambao Stellah alikuwa ameingia mle ndani, aliweza kuona kuwa ni, bwana Kipanta peke yake ndie alie vaa nguo za aina ile, “na kuuliza wewe, kwanini ulizima simu muda wote, huu, ulikuwa unafanya nini?” aliuliza tena bwana Kipanta, kwa sauti ya ukari iliyo jaa hasira, sauti ambayo iliwafanya wale wagonjwa na watu waliokuwa wanawatazama wagonjwa wao, walioshindwa kulipia matibabu, wawatazame Stellah na Kipanta, “sikuwa nataka usumbufu, kwani kuna kitu ulikisahau?” aliuliza Stellah, kwa sauti kavu, ambayo aikuonyesha dalili ya upole wala utani, wala unyenyekevu, kama Kipanta alivyo zowea, “hivi una mjibu nani hivyo, una jifanya jeuri siyo?” aliuliza Kipanta huku akijaribu kujiinua kitandani, lakini akakumbuka kuwa lile gauni alilo vaa, linge mwacha wazi kwa kiasi kikubwa, hivyo akarudi tena kitandani, “mh! unataka kuni piga, kwa hiyo nime fanya kosa kuja kukutazama?” aliuliza Stellah kwa sauti tulivu, iliyo jaa ziaka, huku uso wake ukiwa umetawaliwa na tabasamu la dharau, “unabahati tupo hospital, yani ujuwi yaliyo nikuta, wewe unashinda na wanaume unazima zima simu, wakati mimi natakiwa kulipia matibabu, alafu sina nguo ata moja” alisema Kipanta kwa sauti ya juu, iliyo jaa hasira kweli kweli, hasira ambayo ilizidi kupanda kila alipo mtazama mke wake, ambae leo alionekana kuibadirika kweli kweli, siyo yule Stellah, ambae ni mpole mbele yake, akimweleza kitu, ana timiza mala moja, tena kwa haraka sana, “mh! mimi sijaja hapa kusikiliza shida zao, nime kuja kutazama kama kweli hupo hapa, ili ata watoto wako wakiniuliza kuhusu wewe ni juwe cha kuwaambia, na juwa una fedha nyingi, utajilipia matibabu, na kununua nguo nyingine” alisema Stellah, kwa sauti ile ile kavu, ambayo kwa anae mjuwa, asinge jiuliza mala mbili ili kupata jibu, la kuwa amesha choshwa na mambo ya mume wake,na sasa amehamua kuwa basi, “una kichaa we mwanamke, ume kaa toka jana mimi nime pata na matatizo, unatafutwa ujiunione na auonekani, leo una kuja kuni ambia upuuzi, hivi ni nani mwingine anapaswa kuni saidia zaidi ya wewe mke wangu?” aliuliza Kipanta kwa sauti iliyozidi kujazika hasira, huku akimkazia mke wake macho ya hasira na ghazab, lakini cha kushangaza mke wake alicheka kidogo, tena kicheko kile cha kuguna ka dharau, “mh! umeniita jina la zamani, eti mke wangu” alisema Stellah, akicheka tena kicheko kile kile cha mwanzo, huku waliokuwa wanafwatilia mazungumzo yao, wakishindwa kusikia alicho kuwa anaongea Stellah, sababu alikuwa anaongea kwa sauti ya chini, akionyesha wazi akutaka maongezi yao ya sikike na watu wengine, maana aliona jinsi habari za mume wake zilivyo samba kwenye mitandao, na kuofia kuwa na yeye asije aka sambazwa kwenye mitandao, mpaka hapo Kipanta akaanza kuona kuwa, mke wake amekuwa jeuri tena jeuri wa ghafla, maana mala ya mwisho anaachana akuwa hivyo, “siyo bule lazima kuna mtu anakutia jeuri, yani mimi nipo kwenye matatizo, alafu wewe una nifanyia ujeuri wa hivyo, tena ukizingatia kuwa ni mume wako” aliongea kipanta kwa sauti kari iliyojaa hasira, “bado unakumbuka kuwa mimi ni mke wako, mimi najuwa wewe ni zazi mwenzio” alisema Stellah, kwa sauti ile ile ya chini, hapo Kipanta akachukulia kuwa mke wake anaitaji aombe msamaha, “bwanae ayo mengine tutaongea nyumbani, ebu fanya mpango nitoke hapa, na uniletee nguo zangu, maana sina ata moja ya kuvaa” alisema Kipanta kwa kiburi na jeuri, wakati huo simu ya Stellah ilikuwa inaanza kuita, akaitazama kidogo, kisha akaacha tabasamu, alafu pasipo kuipokea akamtazama Kipanta, ambae ndie mume wake, “kwa kifupi, sito kaa nitoe fedha yangu kukulipia, najuwa una wanawake wengi ambao wanaweza kuja kukulipia, labda nikuazime simu umpigie yule alie kufwata kituo cha polisi?” aliuliza Stellah, huku simu yake inaendeleae kuita, “lakini mke wangu, unzani nita tokaje hapa, si nimekuambia kuwa tutaongea nyumbani” alisema Kipanta ambae sasa sauti yake ilianza kushuka chini, na kuwa mpole, “wala usijari, kuhusu nguo nita kuletea asubuhi, lakini nakushauri, kama aujajenga nyumba yako, kwa fedha zako ulizonazo, basi nenda kwa mmoja kati ya wanawake wako, zaidi ya hapo, ni bola ubakie hapa hapa, wakati unajipanga” aliongea Stellah na kugeuka, kuelekea mlangoni, huku anapokea simu, Kipnta akimtazama kwa macho ya mshangao, asiamini kama yule ndie stellah wake, mwanamke ambae akuwai kumletea jeuri ya aina yoyote, mwanamke ambae alimfanyia ushenzi alivyotaka, na akawa mpole, mwanamke ambae, licha ya yoye akuwai kuonyesha jeuri kama yale, wala kuonyesha dalili ya kutoka nje ndoa, “hallow niambie wangu” alisikika Stellah akiongea na simu, kwa sauti ambayo ata unge kuwa ni mtoto, ungejuwa fika kuwa alikuwa anaongea na mtu wakaribu mtu ambae ni pumbazo la moyo wake, yani mtu alie shibana nae, ilikuwa zaidi legevu, tamu, ambayo nazani upande wapili, alie isikia ilimstua dudu, ata kama alikuwa kwenye dala dala, sauti ambayo ilimstua Kipanta na kuzidi kumtia machungu, akishindwa la kufanya zaidi ya kumtazam akimsindikiza kwa macho, mpaka alipotoweka kolidoni, akitazama msambwanda wamke wake, ambao sasa ndio aliuona kuwa ni wathamani, na kumtia wivu, asa alipovuta picha kuwa kuna mtu pengine ana umiliki badala yake.
Makini Kipanta, alisahau kuhusu, chakula cha jioni hii, maana huduma ya chakula ilisha sitishwa tka alipohamishiwa kwenye chumba hiki, alitulia akitafakari “lakini nakushauri, kama aujajenga nyumba yako, kwa fedha zako ulizonazo, basi nenda kwa mmoja kati ya wanawake wako, zaidi ya hapo, ni bola ubakie hapa hapa, wakati unajipanga” maneno ayo ya mke wake ndiyo yalimkumbusha kuwa, licha ya kufanya kazi kwa miaka therasini, kwenye jeshi la ulinzi, lakini akuwa na nyumba wala kibinda, chakwake yeye, licha ya kujenga jumba kubwa la kifahali na kufungua maduka na saloon huku akinunua shamba na gari la kifahari aina ya Toyota Alphad, lakini avikuwa vya kwake, ni vya Rosemary, mschana ambae mpaka sasa yupo mahabusu kwaajili yake, Kipanta alifahamu kuwa licha ya kumiliki gari aina ya Toyota IST, ambalo akiamua kuliuza, lisinge mlipa ata million nne, pia akuwa na sehemu ya kukimbilia, iwe hapa mjini alipo kaa miaka zaidi ya ishilini na na tano, wala kijijini kwao shinyanga, mwisho Kipanta alivuta pumzi ndefu na kuishusha kwa mkupuo, “nikizubaa numkwisha, lazima nikomae na rose afungwe na kunirudishia mali zangu zote” aliwaza Kipanta.*******
Naam upande wa Rose mambo yalizidi kuwa magumu, mpaka saa akuweza kupata mwanasheria, wala kuwasiliana na watu ambao wange msaidia, ukichukulia ata wafanyakazi wenzie awakuweza kwenda kumtembelea, pale kituo cha polisi, zaidi ya rafiki yake, joyce peke yake, na kitu mbacho Rose kama ange juwa ange zimia kabisa, ni ushawishi mbaya toka kwa marafiki wa baya, waliomwendea Matrida na kumshawishi amsingizie Rose kuwa alionekana usiku ule pale bar na ppengine ndie alie wawekea dawa kwenye kilevi, “alafu singizia kuwa ume ibiwa fedha nyingi sana, si unaona masaloon yale yote unayamiliki” alishauri mshawishi mmoja, ukweli ushawishi huo ulifanya kazi, na Matrida akapanga kufanya hivyo mahakamani, akisahau kuwa alisha toa maelezo ya kuwa, akumwona Rose pale bar ya luguruni, “yani ata umbukaje yule mshenzi, anavyo nata, wanaume wote wanamtazama yeye, kutuonaje” alisema mmoja wa marafiki na wote wakacheka, “tena kesho nita enda mahakamani kuona linavyo mshuka” alisema mwingine na wote wanne wakakubariana kuwa kesho waende mahakamani.*******
Kijana Pross, akiwa ndani ya dala dala, la mbezi kibamba, ndio anatoka stendi, akatoa simu yake na kumpigia, mwana mama Stellah, ambapo simu iliita kwa muda mrefu na wakati inakaribia kukata ndipo ikapokelewa, “hallow niambie wangu” Pross aliweza kuisikia sauti iliyo ja mahaba toka kwa mana mama huyu, ambae kiukweli licha ya kukesha nae usiku kucha wakianzia jana mchana, kupeana dudu, na kumalizialeo mpaka mchana, lakini alipanga kuwa leo akila tena kitumbua ndio ataamini kuwa nikweli amekula kitumbua cha mama huyu, maana aliona kama yupo ndotoni, “ndio natoka mbezi hapa, ilanataka nipitie kwanza nyumbani nika waachie nazi kidogo nimewabebea” alisema Pross, huku akitazama kushoto na kulia, kama watu wa pembeni wanamsikia, anachoongea, “usijari baba, tukutane hapo stendi, ya kibamba hospital, alafu nikupeleke nyumbani kwenu, pia nikupe na ela kidogo ukampe mama” alisema Stellah, na kumfanya Pross aachie tabasamu la kuto kuamini, na ili abiria wengine wasione tabasamu lake, akatazama upande wa dirishani, “asante sana, yani najuwa ela yote niliyowatumia wamesha imaliza kwenye siku kuu” alisema Pross huku anatazama nje na wakati huo gari lilikuwa lime simama lina ngoja magari kadhaa yapite, ili liingie barabara kuu ya morogoro, “wala usijari kwa raha unayo nipa, nitajitaidi na mimi nikufuraishe” alisikika Stellah, akimalizia kwa kicheko cha kivivu, “ata hivyo, mbona nimefurahi sana” alijibu Pross, na hapo akasikia kicheko cha kivivu, “unasema kweli inamaana na wewe ulifurahi” aliongea stellah na kumalizia kwa kicheko kilekile, yani kicheko kile kilikuwa matata sana, kilishtua ata msisimko wamwili wa Pross, “ndiyo kwani wewe hukuona” alijibu Pross ambae akiwa bado ametazama nje ya dirisha la gari, macho yake yaka vutika kumwona mzee mmoja alie kuwa mita kadhaa toka kwenye gari anakuja taratibu, akionekana kuchoka sana, siyo kwa nguo alizo vaa au kwa utembeaji wake, akiwa amebeba madumu mawili, ni yale ya kuwekea maji, moja likiwa lime katwa juu na jingine lililokuwa zima, lilionyesha kuwa lilikuwa na maji ndani, na wakati huo gari lilikuwa lina tembea taratibu kuingia barabara kuu, “baadae basi naingia kwenye lift, atutoweza kuongea vizuri” alisema Stellah, huku akiachia kile kicheko chake, ambacho kwa aalie pembeni lazima ange juwa kuwa mama huyu, alikuwa katika furaha kubwa sana furaha yapenzi.
Nikama Pross akuweza kusikia maneno ya mwisho ya Stellah, wala kusikia simu ikikatwa, akabakia ameweka simu sikioni, huku anamtazama yule mzee, na kilicho mvuta siyo yale madumu, wala uzee wa yule mzee, au nguo chakavu za yule mzee, kilicho mshangaza na kumduwaza, ni sura ya yule mzee, “mbona amefanana,kama baba, au ndugu yake?” alijiuliza Pross, huku gari likishika kasi na kutokomea zake, upande wa kibamba……….. endelea …..
WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment