KITUMBUA CHA BUKU
SEHEMU YA ALOBAINI NA NANE
ILIPOISHIA SEHEMU YA ALOBAINI NA SABA: Naam mlango wa dereva wagari ulifunguliwa, nao waka kaza macho, wakamwona anashuka mzee mmoja wa makamo, mwenye umbo pana kidogo, na mwenye kuvalia kitanashati, “hhhhhaaaa! Feruz” kwa sauti ya mshangao na yachini, iliwatoka wote wanne, huku wakijikuta wanatazama usoni vinywa wazi, tabasamu la bumbuwazi, na macho ya mshangao……… endelea …..
kisha waka mtazama Feruz alie kuwa anaingia kwenye eneo la ile bar, akitokomea ndanikabisa ya bar upande wa counter, “inamaana ajaniona?” aliuliza Khadija huku anasimama, “asinitanie” alisema Khadija, huku na kuvaa viatu vyake vya wazi, (sendo) zilizo chakaa kiasi, ni kwavipi alionyesha amekosa ata buku za kununulia sendo za plastic, alafu akatoka mbio mbio, kueleleka kule bar, huku wenzake pia wakiinuka na kumfwata mwenzao wakijuwa leo wana kumbushia enzi zao.
Naam waliingia kwa speed mle ndani ya bar, na kusimama kati kati, wakaanza kuangaza macho huku na huku, kumtafuta bwana Feruz, ambae walimwona kuwa ni tupa tupa, wakamwona ndio kwanza anaelekea counter, na alipoifikia counter ambayo ilikuwa na watu wachache, akasimama, hapo Khadija akatoka mbio tena, kuwai counter, huku macho ameyaelekeza kwa Feruz, na kumwona akiingiza mkono mfukoni, na kutoa wallet, mpaka anaifungua ile wallet, tayari Kahdija na wenzake walisha mfikia, “jamani baby, afadhari nime kuona, yani nilikuwa na kutafuta mwenzio” alisema Khadija huku anaweka mkono kwenye bega la Feruz, macho kwenye wallet, ambayo ilikuwaimeshona fedha zikiwa ni note za elfu kumi kumi, zilizo jaa kiasi cha wallet kushindwa kufunga vizuri, Feruz akashtuka kidogo, na kuutoa mkono wa Khadija begani kwake, kisha akajifanya kumtazama kwa mshangao, “jamani baby, ni mimi, hooo pole nime kushtua” alisema Khadija kwa sauti flani ya kutokea puani, ambayo aikumkela Feruz peke yake, ata waliokuwa karibu na pale nao, walikeleka, “sasa utaha rabu gani wa kuvamia mtu ata ujasalimiana nae?” aliuliza Feruz, huku akimtazama Khadija kwa jicho kali, “basamahani baby nilijuwa umesha niona” alisema Khadija, kwa sauti ya upole, hapo nikama Feruz alipoa flani, akamgeukia mhudumu, na kumpatia note mbili za elefu kumi kumi, “naomba wine” alisema Feruz, kisha akatulia kusubiri alicho agiza, “na mimi nipatie bia ya baridi” alisema Khadija kisha akawatazama wenzake nikama alikuwa anawaeleza na wao waagize, “na mimi kama hiyo” “na mimi kama hiyo” wote wakaagiza, jumla ya bia nne, huku wanakaa, kwenye viti virefu vya pale counter “yani baby kuna watu wanaroho mbaya, eti waliniambia sijuwi hupo mbezi una fanya nini sijuwi” alisema Khadija kwa sauti ya kujibebisha, “ni kweli nipo upande huo, lakini nipo Kibamba” aijibu Feruz, kwa sauti flani hivi, ambayo utumiwa na watu wenye fedha zao, yani sauti tulivu, na yaupole, “vipi ubaridi huu?” aliuliza mhudumu wa counter, “huo huo unatosha” alijibu Khadija, huku na yeye akiwa anapanda juu ya kiti kirefu, namhudumu aka wafungulia bia zao, ambazo ile kabla ata mhudumu aja chukuwa wine na kumpatia Feruz tayari zilikuwa nusu, maana walizigugumia ungesema walikuwa na kiu ya miaka, “bado elfu nne, alisema yule mhudumu, huku anampatia bwana Feruz wine na glass, hapana sinywei hapa, naenda kunywea nyumba, alafu hii wine bei gani?” aliuliza Feruz, huku wakina Khadija wakimtazama Feruz kwa mshtuko, na mshangao, ni baada ya kusikia kuwa anywei hapa, ila anaenda kunywea nyumbani, hapo wakatazama kwa mshangao, “wine elfu kumi na sita” alijibu yule dada mhudumu huku ameshikilia zile noti mbili za elfu kumi kumi, “sasa mbona unasema bado elfu nne, wakati mimi ndiyo nadai elfu nne” aliuliza Feruz akionyesha mshangao kiasi, na kuwafanya wakina Khadija washtuke kidogo, “baby, si anadai na hizi bia?” aliuliza Khadija huku akishuka kwenye kile kiti kilefu na kumsogelea Feruz, “eti ndiyo una maanisha hivyo?” aliuliza Feruz, akimtazama yule mhudumu, “ndiyo mzee wangu, au hukunielewa?” aliuliza yule dada mhudumu, huku anajitabasamulisha, “kwani mimi nilipokuja hapa nilikuagiza nini?” aliuliza feruz, akimtazama yule mhudumu, hapo akadakia Khadija, “lakini baby…” kabla ajamaliza kuongea akakatizwa na Feruz, “weee kwanza ilo jina siliitaji, unatasababisha watu wanione wa hajabu, mimi na familia yangu, alafu unaniita majina ya ajabu ajabu” alisema Feruz, akiwa amemtazama Khadija, usoni, kwa macho makali kweli kweli, “sahamani lakini bab.. lakini Feruz jamani usikasilike, tuakae tuongee kwanza” alisema Khadija huku wenzake wakitazama zile bia mezani, ambazo mpaka sasa zilikuwa nusu chupa, na wakijuwa fika kuwa walikuwa wanaitajika kulipia wenyewe, na wakati awakuwa na ata shilingi moja, ya mkoroni, “tuongee nini, kuna maongezi gani yenye faida, kati yetu” aliuliza Feruz, kabla aja mgeukia mhudumu, huku watu waliokuwa karibu wakigeuka na kuwatazama, “dada nipatie chenji yangu, naitaji kuondoka haraka” alisema Feruz, na hapo yule dada mhudumu akachukuwa shilingi elfu nne, na kumpatia Feruz, ile anataka kuondoka Khadija akamdaka mkono, plizzzz jamani Feruz, naomba basi utulipie ata hizi bia nne tu, usinifanyie hivyo jamani” alilalamika Khadija huku akiwa ameung’ang’ania mkono wa Feruz, “we mwanamke mbona sikuelewi, nikulipie bia nne kwa mkataba gani, yani yote uliyo nifanyia, na aibu uliyo nisaidia kuitafuta, bado unataka kunifanya mimi mjinga, ebu niachie mkono, ukapambane na hali yako” alisema Feruz, huku ana upapatua mkono wake na kujitoa kwa Khadija, ambae sasa nikama alianza kulenwga na machozi, “jamani baby, ni samehe, nilikukosea kweli, mwenzio nina umbuka” alisema Khadija waka kulalama, huku akimtazama Feruz, alie kuwa anatembea kuelekea nje kabisa ya eneo la bar, “kwahiyo nikusamehe ili waje, unifanye tena mjinga wako?, labda ume sahamu, mjinga ni wakati wa kwenda tu, lakini wakurudi ninakuwa mwelevu” alisema Feruzi, na kuendelea na safari yake, Khadija akaanza kumfwata, lakini kabla aja fika mbali, akamsikia yule mhudumu wa pale counter anasema, “we dada ebu njoo hapa, unaenda wapi wakati hamjalipa vinywaji.
Naam hapo ndipo Khadija alipo kuwa amepasahau, kuwa kuna kulipa vinywaji, akageuka nakuwatazama wenake wanne, ambao pia walikuwa wamekaa kwenye vile viti virefu, wanamtazama, kama vile wanamtazama boss alie filisika, “sasa dada tuna fanyaje maana mtu tulie mtegea ndiyo yule ameondoka?” lakini wakati rafiki zake Khadija wana waza ilo, Kahdija akaona sasa anaumbuka vibaya, na ukichukulia pale ni mtaani kwake, hivyo ni aibu ya mwaka, akaona ni vyema akiwai kwenye gari aka mbebeleze Feruz, ambae kiukweli matendo aliyo wai kumfanyia ni mabaya sana, lakini ilionyesha kuwa, Khadija alisha mchukulia kama huyu jamaa ni bwege, na kwa jinsi alivyo mzimia kipindi kile, na kumaliza fedha za penshen bila kukumbuka familia, lazima leo ata mwelewa, na kuendelea kula bata, hivyo Khadija akachomoka mbio, kueleka nje, kule alikoelekea Feruz, lakini ile ana piga hatua mbili, akumwona mhdumu alie beba tray lenye bia tatu, aka mvaa mzima mzima, na kumsukuma nyuma huku tray kiliponyoka mkononi kwa mhudumu na kujibwaga chini, huku ukisikika mlio kama wa bomu, bia zikizibuka na kupasuka, huku Khadija mwenye akijisogeza pembeni kukwepa vipande vya chupa, pasipo kuangalia kama kulikuwa na meza iliyo jaa vinywaji ya wateja,a mbao walipo jaribu kumzuwia walisha chelewa, tayari Khadija alisha sukuma meza nako ikasikika, “bwah!!!!” hapo Kahadija akajuwa tayari amesha zalisha deni jingine kubwa, akajishika kichwani kwa mshangao wa fadhaa, huku akizungusha macho kutazama watu waliokuwepo mle ndani ya bar, akaona wana inuka kwenye viti vyao, na kutazama pale palipotokea mtimbiliko, akawatazama wenzake pale walipokaa, akuwaona, na alipotazama upande wakutokea, akawaona ndio kwanza wapotelea barabarani kwa mwendo wa jinni, yani wakunyemelea, ikionyesha wazi walikuwa wanatoroka, “dada unalipa” ilisikika sauti ya kijana mmoja, hapo Khadija akakumbuka kuwatazama wale waliokaa kwenye ile meza, aliyo isukuma, akawaona vijana sita, wakiwa wamesimama huku watano kati yao, wakiwa wamekunja sura za hasira, ni mmoja tu alikuwa ametulia anatabasamu, Khadija akazama kule kwenye maegesho ya magari, akamwona Feruz akiwa amesimama nje ya gari akimtazama huku anacheka, hapo Khadija akajuwa kuwa Feruz siyo yule wa zamani, alie mlia fedha zake zote, na kumtimua nyumbani kwake, huku akimwingizia waume humo humo ndani, “we! mwanamke, una shangaa nini ebu toa fedha nunua bia nyingine hapa” alisema mmoja kwa hasira, huku ana mshika mkono Khadija na kumvutia kwake, ni kati ya wale watano wenye hasira, “hapana jamani mbona ni mambo madogo sana haya, bia kitu gani?” alisema yule ambae alionekana kutabasamu, huku anamtazama Khadija, wakati huo yule dada mhudumu wa counter,alikuwa amesha sogea eneo la tukio, nakumtazama Khadija kwa mshangao, “jamani we dada zile za counter ujalipa ume vunja tena bia tatu, na ume vunja bia za wateja” aliseyule dada wa couneter, kwa mshangao uliochanganyika na lawama, “kwakweli lazima alipe” alisema yule mhudumu alie sukumwa na kuangusha vinywaji, hapo Khadija akamtazama tena Feruz, ambae sasalimwona akiingia kwenye gari lake na kuondoka zake, “dada unamdai bei gani?” aliuliza yule ambae akuwa amekasirika, na kumfanya Khadija alipukwe na furaha ya kimoyo moyo, “elfu kumi na nne” alijibu dad wa counter, uwezi amini, jamaa alizama mfukoni, na kuibuka na na wekundu wawili, aka mkabidhi, ok tuleetee vinywaji vingine tunaenda kuka pale” alisema yule jamaa, huku wenzake akimshangaa, “asante sana kaka yangu, lile zee lilizania nitaumbuka” alisema Khadija kwa sauti ya juu, iliyo jaa dharau na furaha, huku anataka kuondoka zake, “dada jiunge na sisi, uoni kama ni bahati, watu tume kulipia na tuna taka tukupe offer, au hupo na mtu wako?” aliuliza yule jamaa, kwa sauti ya kirafiki huku anatabasamu, hapo khakaadija akachekelea kimoyo moyo na kujisemea, “ange kuwepo yule baradhuri, roho inge muuma, nanitakutafuta tu! nile ela zako” Khadija akajifanya kuona aibu, jamani sija wazowea alafu nitakuwa nimewaongezea bajeti msiyo ipanga” alisema Khadija kwa sauti flani ya kujifanya mwema, lakini kwa wazoefu, usinge danganyika, sababu sauti yake na vitendo avikulingana na sura yake, “usijari wangu, twende tuka pige pige story, si unaona tupo wenyewetu!” alisema yule asiye na hasira, huku wenzake wakionekana kuanza kuelewa anacho kifanya mwenza.
Ukweli Khadija alijiunga na wale vijana sita, na kuanza kunywa nao pombe, Khadija aliwacheka rafiki zake pamoja na bwana Feruz, ambae alitamani ange kuwa na namba yake ya simu, ange mpigia na kumweleza, jinsi anavyo kula bata, na vijana wale, aliyawaza hayo Khadija, huku anakunywa pom,be kwa fujo, akiofia kuichelewa ile offer, ambayo akujuwa itaishia saangapi, pasipo kujuwa kuwa kinachofwata baada ya masaa machache ni zaidi ya mateso.
Maana walikunywa pombe mpaka saa tano usiku, uku muda wote akifanyiana michezo ya kimahaba, na vijana wale, ambapo kama unge fika kwa haraka, usinge tambua kuwa nani anaenda kula kitumbua, ata Khadija mwenyewe alikuwa amesha juwa kuwa lazima mmoja wao akale kitumbua chake na yeye alisha jiweka tayari kuliwa kitumbua, na aikuwa kesi kwake, sababu amesha zowea kuliwa kitumbua kiolela.
Mida hiyo ndiyo mid ambayo, waliondoka pele bar, wakitumia gari lao, na kupotelea kusiko julikana, maana wale vijana walikuwa na gari aina ya Toyota Noah, hakuna alie juwa walikoelekea, usiku ule, na akuna alie juwa kilicho tokea, japo mimi najuwa kilicho tokea, na kama nikisema nisimulie kilichotokea basi tuta lazima kuongeza kurasa nyingine tano, na watoto wakafungiwe, japo nao wanaitaji kujifunza mambo ambayo awatakiwi kuyafanya, ata kwabahati mbaya, ila basi, watu walio pia mapema kuwai makazini na kwenye miangaiko yao, ndio walio mkuta Khadija akiwa amelala pembezoni mwa ile bar, karibu na saloon yake akiwa mtupu kama alivyo zaliwa, ajitambui kabisa, huku akionenaka kuaribiwa sehemu zake za siri, yani mbele na mgongoni, huku akitapakaliwa na hajakubwa, iliyo changanyika na damu, huku Khadija mwenyewe akiwa ajitambui, sikujuwa kama ni usingizi, au alipoteza fahamu, kama ujuwavyo wanadamu, kitu cha kwanza wakapiga picha nyingi sana, kwa aajili ya kupost mitandaoni, kisha waka piga simu polisi, ilia je achukuliwe.
Mpaka namaliza kuandika simulizi hii, Khadija bado alikuwa hospital ameshazinduka, na mesha shonwa nyuzi kadhaa kwenye nyia ya hajakubwa, ikisemekana kuwa aliingiziwa kitu kigumu, japo yeye anasema, wale vijana walimpaka kwazamu, wakiitumia njia hiyo, mpaka alipopoteza fahamu kutokana na maumivu makali, aliumia sana, ata rafiki zake walipokuja kumtazama, alihisi wanakuja kumsanifu, kuna wakati alitaka kuhisi, kuwa wale vijana walitumwa na Feruz, lakini ukweli ni kwamba vijana wale walikuwepo pale muda mrefu, na awakuwa na mausiano na Feruz, ambae Khadija akutaka ata kumtafuta tena, alimwona kama mkosi.*****
Naam mapaka sasa Feri anaishi vizuri na familia yake, huku bwana Kipanta akiwa tabora anafanya vibarua kwenye mashamba ya tumbaku, kwa ujira mdogo, Pross na Rose wanaendelea na maisha yao na biashara zao vizuri uku wana lea mtoto wao, japo anajiiba mala moja moja kwa madam Stellah, ambae licha ya kufanikiwa katika maisha na kuweza kuendesha maisha yake yeye mwenyewe, na kuishi maisha ya kifahari, lakini akutaka kuolewa tena, kwa kutegemea dudu ya Pross, ambayo sas alikuwa anaipata mala moja au mbili kwa week.
Hapo ndiyo mwisho wa simulizi yetu, ya #KITUMBUA_CHABUKU,
WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment