KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA MBILI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA MBILI





KITUMBUA CHA BUKU

SEHEMU YA KUMI NA MBILI



ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA MOJA : Hapo Stellah alimsimulia jinsi ilivyo kuwa ata maneno ya mwisho kabla awajaondoka , “nime kuwai asije kukuwai mtu wako” mpaka mwisho wa simulizi hii tayari Joyce alisha juwa kuna mchezo unaendelea baina ya Matrida na Kipanta, maana ukachia kuwa Matrida ndie aliejuwa mausiano ya Kipanta na Rose, pia alisha ona dalili za Matrida kumnyapia Kipanta, “dada usiwe na wasi wasi utasikia majibu muda siyo mrefu” alisema Joyce ambae alikuwa njiani kuelekea kwa Rose, ambae anakaa mtaa wapili toka kwake, tofauti nikwamba Rose alikuwa anakaa kwake…… endelea…….…..
 Na Joyce yeye alikuwa anaishi kwenyumba ya kupanga, “inamaana Matrida amemuwai babu, ata aibu hana?” aliwaza Joyce huku ana ana endelea kutembea haraka kuelekea kwa Rose, hapana sito kubari mpaka kieleweke, awawezi kumfanyia hivi mzee wawatu” aliwaza Joyce akiendelea kutembea.*******
 Lakini taalifa ile ukweli ilizidisha machungu kwa mwana mama Stellah, ambae alichukuwa chupa moja ya wine na kuiingia nayo chumbani kwake, kisha akapembua nguo zake zote, na kusimama mbele ya kioo chake, akajitazama kwa muda mrefu akitumia kama dakika tano nzima, huku machozi yaki mtililika, “mbona sina kasolo yoyote, au amenichoka tu!” alijiuliza Stellah, ambae loho ilikuwa ima muuma sana, “najuwa akiishiwa ata rusi, lakini kwanini ananifanyia hivi?” aliendeleea kuwaza Stellah, ambae sasa alifungua chupa yake ya wine na kuanza kuigugumia taratibu, “mwezi wa sita sasa ajanigusa, utazani mimi nidada yake” aliwaza Stellah, ambaealikumbuka mambo yote aliyo yafanya mbele ya Kipanta kumwonyesha kuwa anampenda.
 Nusu saa baadae stela akiwa bado chumbani kwake bado kama alivyo zaliwa, pombe ilicha anza kumchukuwa, nyumba aliiona chungu, akapna bola atoke kidogo akatembee, hivyo aka vaa ki tait flani chepesina kitop , alafu akajifunga kitenge, akachukuwa fedha kidogo, na chupa zake za wine, akaingia kwenye gari lake, na kutokomea kusiko julikana.******
 Kumbe wakati Stella anatoka nyumbani, mume wake alikuwa anaendelea kula bata na Matrida, rafiki wa kimada wake, akujuwa watoto wapo wapi na wanaishije, akutaka kujuwa habari za rose, alie mwacha anaozea mahabusu ya polisi, “mpenzi kula maisha, usiwe na wasi wasi, wala usimwazie mtu yoyote” aliema Kipanta alie kuwa ameanza kulewa, “yani babay mi nakushangaa, ujuwe Rose ata akupendi, maana awezi kukuacha unatesema Jela, alafu yeye ana kula laha” alisema Matrida na kwa sauti ya kudeka huku wakifanyiana michezo ya kimahaba.*******
 Wakati huo huo, wakina Joyce na Rose ndio walikuwa wanaingia nyumbani kwa Stellah, ambako awakuona dalili ya uwepo wa mtu ndani yake, ata walipo uliza kwa majilani, wakaambiwa kuwa mwenyenyumba ametoka muda mfupi uliopita, na watoto wake awapo tok siku iliyopita, “vipi kuhusu mume wake, ametoka nae” aliuliza Rose, “mume wake anamuda mrefu ajaonekana. “wengine wanasema amesafiri kibiashara, ila wengine wanasema anaonekana mtaani akiwa na waschana wa hovyo hovyo” alisema mmoja wa majilani, na kumfanya Rose apatwe na kitu kama aibu hivi, “aya asante, wacha sie tuende” alisema Joyce ambae alikuwa anafahamu kila kitu juu ya sehemu alipo bwana Kipanta.
 Wawili awa waliondoka zao na walipo fika mita kama mia moja, toka nyumbani kwa Stellah, hapo Rose akasimamisha gari, “hivi Joy, unajuwa kuna kitu sikielewi, kama babu ayupo na mke wake ata kuwa wapi, na kwanini hapokei sumu yangu?” aliuliza Rose, na hapo Joyce aka tabasamu kidogo, kiisha akamtazama Rose, “unzani ata kuwa na mwanamke mwingine?” aliuliza Joyce, “nazani atakuwa na mwanamke mwingine tena, ameamua kufanya hivyo sababu nilikataa kupokea simu yake” alisema Rose, na hapo Joyce akacheka kicheko chamguno, “ebu sikia, naomba upige simu kwa Matrida mwulize yupo wapi na umwambie kuwa na sisi tupo  karibu na hapo, tuna itaji kuungana nae, alafu msikilize anachosema” alisema Joyce, “unamaana gani, yeye ndie anae mchukuwa babu?” aliuliza Rose kwa jazba, “hapana mimi nime kuambia hivyo we fanya hivyo alafu tutajuwa, maana yeye ni mmoja wawatu ambao walinipigia simu kuwa babu anaitaji ela za kutokea jela” alisema Joyce ambae alipania kuhakikisha wawili awa wanamwachia mzee Kipanta arudi kwa mkewake, “ebu ngoja kwanza” alisema Rose huku anapiga simu, kwa Matrida akiwa ameweka loud speeker ili na Joyce asikie maongezi yao, nayo ikaita, na akikuchelewa kupokelewa, “hallow, Rose vipi, mlifanikiwa kumpata shemeji?” aliuliza Matrida, kwa sauti iliyo ashilia kuwa amelewa na wapo bar, maana kuna kasauti flani ka music kalikuwa kana sikika kwa mbali, “nimeamua ni mache tu apumzike na mke wake, sasa wewe hupo wapi?” aliuliza Rose, huku ana mtazama Joyce, “si nilikuambia kuwa naenda kigamboni, nipo hapa kwenye kivuko naelekea kigamboni” alisema Matrida, wakati Rose alikuwa anasikia sauti na kelele za watu, zikiashilia kuwa yupo bar, “hooo kumbe umechelewa sana, nipo na Joy ndio tunaingia kivukoni, tusubiri ng’ambo, tuna kukuta hapo” alisema Rose na akijaribu kuonyesha kuwa katika hali ya kawaida, “haaaa! hallow, hallow unasema?” aliuliza Matrida, kama vile akuwa anamsikia vizuri, “Hallow Matt, nasema…..” hapo hapo simu ilikatika, “unaona huyu mshnzi alivyo amekata simu, eti anasema yupo kivukoni, wakati yupo bar” alisema Rose huku anapiga tena simu kwa Matrida, ambayo sasa ilisema aipatikani, “si unaona Joy, nilweli huyu mshenzi anatoka babu, kwani ulikuwa unalijuwa hili toka lini?” aliuliza Rose kwa sauti ya mshangao na hasira, “sijasema wanatoka, ila nilisema nahisi, sababu yeye ndie alie kuwa anatafuta fedha ya kumtoababu.*******
 Naam ebu turudi shambani kwa rose, ambako kuna lindwa na kijana Prosper, ambae leo alikuwa ametulia pemmbezoni mwa barabara, anasimamia biashara ya mkaa, ambao sasa alikuwa amebakiza roba mbili tu, mala akaliona gari moja dogo, aina ya Toyota Vits lililo chakaa kweli kweli, likipita na kwenda kusimama mbele kidogo, kisha lika rudi nyuma nyuma mpaka usawa wake, yeye akajuwa kuwa ata kuwa ni mteja wa mkaa, lakini dereva wa gari ili aliliehegesha gari la kushuka toka kwenye gari, hapo ndipo Pross alipo shuhudia kitu ambacho alisha anza kukisahau, huku alikuwa ni mwana mama Stellah ambae alikuwa………………


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa