KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA TATU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA TATU







ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA MBILI : Naam ebu turudi shambani kwa rose, ambako kuna lindwa na kijana Prosper, ambae leo alikuwa ametulia pembezoni mwa barabara, anasimamia biashara ya mkaa, ambao sasa alikuwa amebakiza roba mbili tu, mala akaliona gari moja dogo, aina ya Toyota Vits lililo chakaa kweli kweli, likipita na kwenda kusimama mbele kidogo, kisha lika rudi nyuma nyuma mpaka usawa wake, yeye akajuwa kuwa ata kuwa ni mteja wa mkaa, lakini dereva wa gari ili aliliehegesha gari la kushuka toka kwenye gari, hapo ndipo Pross alipo shuhudia kitu ambacho alisha anza kukisahau, huku alikuwa ni mwana mama Stellah ambae alikuwa…… endelea …..
 Anatembea taratibu kuja pale alipokuwepo Pross, huku anamtazama, kwamacho yaliyo jaa tabasamu, “huyu mama nimzuri” aliwaza Pross, huku nae anatabasamu, “karibu mama” alisema Pross huku anatabasamu, “asante mwanangu, kumbe umenikumbuka?” alisema Stellah huku ameachia tabasamu pana usoni mwake, tabasamu ambalo lilimfanya Pross, ajihisi kama amepewa na safasi flani yapekee na yule mama, akionyesha kumchukilia kama vile kijana wake, au mtu wakaribu, “nakukumbuka mama, shikamoo” alisalimia Pross, wakati mke wa bwana Kipanta akiwa amesha mfikia, na kusimama karibu na viroba vya mkaa, “marahaba mwanangu, naona unachakalika na biashara” alisema Stella, huku anainama kidogo,  na kugusa gusa kidogo, moja ya roba la mkaa, huku msambwanda wake, akiuacha unaonekana vyema kwa nyuma, na kumfanya Prosper ashindwe kujizuwia kuyatazama makalio ya mama wa mwenzake, “ndio mama siunajuwa tena kesho siku kuu, nataka niwapelekee nyumbani ela ya mboga” alisema Pross, huku akijichekesha kidogo, “ok! aya maroba mimi nita chukuwa, utanifanyia bei gani?” aliuliza Stellah, huku ana mtazama Pross na tabasamu ameliachia, hapo kidogo ilimpa wakati mgumu Pross, ambae alianza kwa kucheka cheka, “uwa nauza elfu nane moja, lakini wewe nipe elfu kumi na mbili kwa yote miwili” kauri hiyo ya Pross, ilimfanya Stellah, acheke kwanza, “heee jamani mwanangu, sasa unapunguza hivyo, utawatumia nini nyumbani?” aliuliza stellah, kwa sauti flani ambayo wamama wengi, utumia kuongea na watoto wadogo, “itawatosha tu! si elfu kumi na mbili” alisema Pross huku anacheka cheka, “aya kwakuwa unawapelekea nyumbani basi nitawatumia moka kwa moja elfu ishilini, nawawekea ya kutolea, lakini utanitungulia na nazi” alisema Stellah, na hapo wakakubaliana hiwe hivyo.
 Hivyo mala moja wakapakiza mkaa kwenye gari, la Stellah, na kisha wakaingia kwenyegari na kuelekea shambani, ambakjo nikama mita mia mbili tu! toka barabarani, wawkienda kutungua nazi kama Stellah alivyo sema.*********
Upande wapili mambo yalikuwa ni mshike mshike, maana baada ya kukatiwa simu na kuzimiwa kabisa, Rose akamshawishi  Joyce waende nyumbani kwa Matrida, na sasa, walikuwa wanaingia, nyumbani kwa Matrida, karibu na high way ya zamani, ambako walikuta kimya kabisa, ata walipo liza kwa majilani, wakaambiwa kunwa, “huyu dada alie panga kwenye kile chumba, ametoka muda kidogo, nikama lisaa limepita, alikuja na gari la kukodi, aliongpozana na mzee mmoja hivi” alisema mmoja wa majilani wa Matrida, “huyo mzee yupoje?” aliuliza Rose, kwa sauti iliyo jaliwa na utulivu wa kulazimisha, maana aliona dalili za wazi kabisa, za kuwa Matrida yupo na bwana Kipanta, “mhhhh! ni mtu mzima hivi” alisema huyo, jilani, na kuanza kuelezea jinsi mwanaume aliekuwa na Matrida alivyo, maelezo ambayo yalimfanya Rose azidi kuamini kuwa mwanaume huyo, ni Kipanta, asa baada ya kusikia maelezo ya mwisho, “ alafu ni mzukuma yule mzee, rafudhi yake ni msikuma mtupu” alimaliza Jilani alie kuwa anaelezea jinsi mgeni wa Matrida alivyo, “unasema waliondoka na gari gani?” aliuliza Rosemary, kwa sauti ile ile ya utulivu wa kulazimisha, “walikuja na kitaxi, kwa mwonekano wao, watakuwa wameenda kamasiyo maili moja basi, watakuwa wameenda Mbezi” alisema yule jilani ambae ni kijana flani alie shindwa kujizuwia kuelekeza watu asio wajuwa, kutokana na kumkodolea macho mschana huyu, mrembo, “asante sana kaka yangu” alisema Rose kabla ya kuondoka zao, wakiwa na Toyota alphad.
“Unajuwa nini Joyce?, huyu Matrida tamaha ita mponza, kweli kabisa na kwambia, yeye ajuwi mimi nafanya hivi kwanini” alisema Ros, akonyesha kuchukizwa “lakini bado uja thibitisha, kuwa yupo na babu” alisema Joyce, kwa sauti yenye uzito mkubwa wa busara, “kwanini anatuficha, huyo mtu alie nae, alafu Joy, siyo kwamba mimi nina mzuwia kuwa na Kipanta, mwenzie nimesha sahau mala ya mwisho yeye kuugusa uchi wangu, “alisema Rose kwa hasira, na hapo Joyce akatamani kucheka kwanguvu, lakini akajizuwia, maana aliona ni kama maneno ya mkosaji, “lakini pia kama faida umesha pata, we achana nae tu! asije aka kufia” alisema Joyce, nikama alikuwa anataka kumchota hakili, rafiki yake, “kumwacha hiyo ndio aiwezekani, yani mpaka nihakikishe nime maliza el azote, sababu najuwa yule mke wake na watoto wake awato angaika, wata saidiwa na mama yao, lakini yeye ata zalilika” alisema kwa sauti iliyo jaa hasira, huku anaendesha gari, na sasa walikuwa wanaikamata barabara ya morogoro, na kuelekea upande wa maili moja,  ndiko alikoamua kuanza nako, “kwanini sasa da rose, uoni kama unafanya kitu kibaya, maana mtu amekufungulia salon, amekujengea nyumba amekununulia shamba, kwanini unataka umfilisi?” aliuliza Joyce ambae sasa alianza kuona salili za wazi kuwa anacho sema Rose ni cha kweli, na amedhamilia, “kama unataka kujuwa ni kwanini, nitakusimulia mwisho wa mchezo” alisema Rose, akionyesha kuto taka yale maongezi yaendelee, hapo kikapita kimya, huku safari hikiendelea gari likiyoyoma kuelekea kibaha maili moja.*******
Naam baada ya kufika shambani, pamoja Stellah kutuma fedha kwa mama Pross, pia walifanya mambo mengi sana kule  shambani, ikiwa na kuvuna nazi chache na mazao na matunda, kwaajili ya Stellah kuondokanayo, huku wanaongea mengi sana, muda wote Stellah alikuwa anakunywa wine yake taratibu, na mwisho wa siku wakajikuta wame kaa chini ya mwembe, Stellah amekaa kwenye mkeka, anaendelea kunywa wine yake, Pross amekaa kwenye kibenchi kidogo, pembeni chini kidogo pale chini ya mwembe,  palikuwa na jiko la kuni, ambalo lilikuwa limebandi kwa sufuria lenye kambale wakavu, “Pross ulisha wai kutumia hii” aliuliza Stellah huku anamwonyesha Pross ile chupa ya wine, “hapana sijawai kutumia” alijibu Pross, huku anacheka cheka, “lakini hii ni tamu, unaweza kujaribu kidogo, kalete kikombe nikuwekee kidogo” alisema Stellah, Pross akainuka na kwenda kuchukuwa kikombe huku anacheka cheka, “nisije kulewa mpaka nika zima kabisa” alisema Pross, na kumfanya Stellah acheke kidogo, “wanaume unaogopa kitu kidogo ambacho kipo kwenye chupa” alitania mama huyu ambae nazani alicho kifanya mida hii, ni kwa mwongozo wa pombe.
Pross aliingia ndani na kutoka na kikombe, kisha akamkabidhi stellah alie kuwa amekaa kwenye mkeka chini ya mwembe, “hivi Pross, sikuile mama yako aliniambia kuwa ni wewe ndie unae saidia familia, kwani baba yako yupo wapi?” aliuliza stellah huku anamimina wine kwenye kikombe, hapo Pross aliinamisha kichwa chini kwa uzuni kubwa, sababu ni mwaka wa tatu sasa ajamwona baba yake, wala kusikia habari zake……………… endelea …..kufwatilia mkasa huu


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa