KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA MOJA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA MOJA





KITUMBUA CHA BUKU

SEHEMU YA KUMI NA MOJA



ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI :  Baada ya kumaliza taratibu za kulipia zile fedha mume wake akaitwa na kukabidhiwa vitu vyake pamoja na simu yake, hapo ndipo mambo yalipo haribika, maana ile kutoka tu nje ya kituo cha polisi, “shikamoo mume wangu, pole kwa matatizo” alisalimia Stellah kwa heshima na tahadhima, huku akipiga nusu goti, lakini uwezi amini, bwana Kipanta alipiga kimya, zaidi ya hapo alitoa simu yake na kupiga namba flani…. endelea…..
Huku mke wake akiwa amesimama pembeni anamsubiria mume wake, amalize kuongea na simu, sekunde chache baadae, Kipanta akaanza kuongea na simu, huku mke wake akiwa asikii upande wapili, “hupo wapi….... ok! fanya hivi, chukuwa taxi, alafu nifwate hapa Kiluvya polisi” alisema Kipanta na kuwa amemaliza maongezi, na kukata simu, kisha akamyazama mke wake, kama vile anamshangaa, “weunasubiri nini hapa?” aliuliza Kipanta kwa mshangao, ungesema ndio, kwanza anamwona, kwanza Stellah akatazama kushoto na kulia, kama kulikuwa na mtu anawatazama, akaona kila mmoja yupo busy, hapo akamtazama mume wake kwa macho ya upole na huruma, “nakusubiri mume wangu nikupeleke nyumbani ukaoge” alijibu Stellah kwa sauti ya upole, hapo Stellah ikaiona sura ya mume wake ikibadirika na kukunjika kwa hasira, “we! nenda nyumbani” alisema Kipanta kisha akatulia, akitazama upande mwingine, “samahani mume wangu, naomba twende nyumbani kwanza ukapumzike, alafu baadae utaenda kuchukuwa gari” alisema Stellah kwa sauti ya upole iliyo jaa nidhamu ya hali ya juu, huku akimtazama mume wake kwa macho ya huruma, “hivi unajuwa kama aya yote ulisababisha wewe mwenyewe, umme nisababishia matatizo makubwa, mpaka nime lala mahabusu, alafu una nikorofisha tena, unataka nikutandike makofi, nirudishwe tena mahabusu” alisema Kipanta kwa hasira, hapo Stellah akuwa na lakujibu, zaidi ya kujishika mikono na kuchezea vidole vyake, akibakia ana mtazama mume wake kwa macho ya huruma, akitegemea kuwa mume wake ange badiri mawazo.
Lakini akikuwa hivyo zilipita dakika kumi, wakiwa nje ya kituo cha polisi, Stellah akitamani kumweleza mume wake kubwa ana omba waende nyumbani, lakini akuweza, maana aliona wazi kuwa mume wake amejawa na hasira, hivyo kumweleza jambo lolote ni sawa na kumchokoza, ikabidi abakie kimtazama mume wake, adi lilipo ingia gari aina ya Toyota Spacio, jeupe, lenye mistari wa kijani, lenye vioo vyagiza, vilivyo zuwia kuonekana kwa watu wandani, ambalo lilisimama karibu yao, huku Kipanta akitabasamu, ikionyesha kuwa alisha tambuwa kuwa, ni gari ambalo limembeba mtu alie toka kuongea nae na simu, kioo cha upande wa dereva kikashushwa, akaonekana dereva wa lile gari, “samahani mzee, unaitwa” alisema yule dereva, na hapo Kipanta akalisogelea gari na kuchungulia ndani, alafu akatabasamu, huku anafungua mlango, wa habiria wambele, “kummbe una mambo ya kizungu” alisikika Kipanta, huku akiingia kwenye gari, “nime wai asije kukuchukuwa mtu wako” Stellah aliweza kusikia sauti ya kike, ikitokea ndani ya gari, ikidindikizwa na vkicheko laini vya kivivu toka kwa mume wake na huyo mschana alieko ndani ya gari, ambae aikuwa lahisi kumwona kutokana na vioo hivi vya giza (tinted) ukweli moyo wa Stellah ulishtuka, na kushikwa na uchungu mkubwa, macho yake yali shindwa kuzuwia machozi, yaliyo tililika taratibu, na kulowesha mashavu yake, akasimama akilitazama gari lile aina ya spacio, likiondoka eneo lile la polisi, na kutokomea barabara kuu iendayo morogoro, lenyewe likielekea kibamba, yani upande wa Dar es salaam.
Stella alisimama kwa dakika kadhaa kama mtu alie gandishwa na barafu, mpaka alipo rudiwa na hakiri yake kuwa yupo kituo cha polisi, na alie mfwata ameshaondoka, ndipo yeye aka ingia kwenye gari lake na kuondoka kuelekea nyumbani kwake, njiani akitokwa machozi kwa uchungu mkubwa.*******
Kipanta yeye alipo toka pale kituo cha polisi, pamoja na Matrida, wakitumia lile gari la kukodi, walienda moja kwa moja mpaka Kibamba wilayani, ambako Kipanta alienda kwenye ATM machine akatoa million moja pasipo kujuwa kuwa zinapotoka azirudi tena, kisha akarudi kwenye gari na kuelekea nyumbani kwa Matrida, ambako awa kukaa sana wakaondoka na lile taxi, wakaelekea mbezi, kwenye makuti bar ynte guest house, huku wakiongea ili na lile, pamoja na kupania kuifaidi chrissmas wao wawili, pia Matrida alikuwa akimpondea sana, Rose kwa kitendo chake cha kuto kupokea simu ya Kipanta, wala kwenda kumsaidia kutoka jela.*******
Rosemary akiwa na hasira kali sana, ya kudanganywa na Kipanta juu ya malipo mazao ya kijana Pross, alienda moja kwa moja mpaka Kituo cha polisi, ambako aliambiwa kuwa mahabusu anae muulizia, amesha tolewa na mke wake, na wamesha ondoka, inamaana polisi huyu akujuwa kilicho endelea bada ya wanandoa wale kutoka nje, ukweli Rose alijikuta kama kuna kitu mfano wa wivu ukimchoma moyoni mwake, “mshnzi anajifanya kumfwata huyu kahaba wake wakiume, sasa leo hii anakuja kwangu” alisema Rose kwa hasira, Rose uku anaondoka pale kituoni, na kuelekea nyumbani kwake, akipanga kumpigia Kipanta mala atakapofika nyumbani kwake.
Nikweli alifanya hivyo, mala tu baada yakifika nyumbani kwake na kuegesha gari lake pembeni ya gari la bwana Kipanta, Toyota ist, aka akaingia ndani na kuanza kupiga simu kwa Kipanta, ukweli ni kwamba simu aikupokelewa, alirudia zaidi ya mala tano lakini aikupokelewa, na alipojaribu mala ya sita, simu ilikuwa imesha zimwa, “huyu mshenzi nikizubaa ata niponyoka wakati bado sijamaliza kazi yangu” aliwaza Rose mschana mrembo, huku ana isaka namba ya rafiki yake Joyce, alipoipata akaipiga, hii akuchelewa, ikapokelewa, “hallow Rose, niambie” alisikika Joyce mala baada ya kupokea simu, “hupo wapi Joy” aliuliza Rose, kwa sauti ambayo ilionyesha wazi kuwa anakitu kinachoitaji msaada wa haraka, “nipo nyumbani vipi kuna inshu?” aliuliza Joyce ambae kiukweli ni kwamba, alihisihisi kuwa ni swala la lile lile la mume wake, ambae yeye mwenyewe, alimstua mama huyu akamchukuwe mume wake kule kituoni, “babu anataka kuniponyoka, ebu fanya haraka njoo tupange vita” alisema Rose, na wakakubaliana na Joyce aende kwa Rose, na baada ya kukata simu Rose akapiga simu kwa Matrida, na simu iliita mpaka inakatika bila kupokelewa, “unafanya nini Mat, bwana ebu pokea simu” alijisemea Rosehuku anarudia tena kupiga simu.********
Ukweli nikwamba Matirida aliiona simu ilipokuwa ina ita, alishindwa kuipokea, siyo kwa sababu alikuwa amekaa kwenyemeza moja na Kipanta wana kunywa pombe, hapana, sababu moyo wake ulishtuka baada ya kuona ni Rose ndie anapiga simu, “baby Rose huyooo anapiga simu” alisema Matrida alie kuwa amekaa karibu kabisa na Kipanta wanafanyiana michezo ya kimahaba, “achana nae ata tuvurugia starehe zetu” alisema Kipanta, huku anaendelea kumfanyia michezo ya kimahaba mschana huyu, ambae sikunyingi alisha tamani kumla kitumbua, na keo amesha pata nafasi, hiyo hadhimu.
Matirda aliitazama simu mpaka ilipokatika “acha niizime, kuepuka usumbufu” alisema Matirida huku anaichukuwa simu mezani, na ile anataka kuitoa lock, na ndio wakati Rose anapiga kwa mala ya pili, hivyo Matrida akajikuta anaipokea simu, hapo hapo aka mwonyesha Kipanta ishara ya kuwa akae kimya, “hallow my niambie” aliongea Matrida mala baada ya kuweka loud speeker, “hupo wapi Mat, mwenzio majanga huku” Kipanta na Matrida walimsikia Rose akiongea, wakatazamana kwa mshangao, “naenda kigamboni kusherehekea Chrissmas, kwani  kuna nini tena My?” aliuliza Matirda akijifanya kushangaa, huku Kipanta akijizuwia kucheka, “mwenzangu babu si ametolewa na mke wake,hinavyo kuambia, nimeenda kituoni hayupo n anime ambiwa ametolewa na mke wake, nim mpigia amenizimia simu, hapa nataka niende nikamchomoe kwake” alisikika Rise, na hapo nusu Kipanta acheke kwa sauti, lakini aliwai kujiziba mdomo, “weeee! unasema kweli, yani ninge kuwepo tungeenda wote, yani sasa nipo manzese, naenda Kigamboni” alisema Matirda huku anang’ong’a, “namsubiri Joyce tunaenda nyumbani kwake kumchukuwa” alisema Rose, na hapo wakina Matrida wakajiziba midomo ili vicheko vya visisikike, “poa mwaya, utanipa status” alisema Matrida, na kukata simu, haraka, maana tayari Kipanta alianza kuachia kicheko cha wazi.******
Ukweli nikwamba mala baada ya kupigiwa simu na Rose, Joyce kabla ajaenda kwa Rose akampigia simu Stellah, ili ampe hongera, na kumweleza kuwa awe makini zaidi, “hallow hongera sana,” alisema Joyce mala baada ya simu kupokelewa, na Stellah, lakini Joyce sli temea kusikia sauti ya furaha akashangaa kusikia sauti ya upole na unyonge, “ndugu yangu we! najilahumu ata kwenda huko polisi, kwa mambo yaliyo nitokea” alisema Stellah, kwa sauti ya unyonge, “kwanini tena dada yangu?” aliuliza Joyce kwa mshangao, maana alichojuwa yeye nikwamba Kipanta atakuwa nyumbani kwake.
Hapo Stellah alimsimulia jinsi ilivyo kuwa ata maneno ya mwisho kabla awajaondoka , “nime kuwai asije kukuwai mtu wako” mpaka mwisho wa simulizi hii tayari Joyce alisha juwa kuna mchezo unaendelea baina ya Matrida na Kipanta, maana ukachia kuwa Matrida ndie aliejuwa mausiano ya Kipanta na Rose, pia alisha ona dalili za Matrida kumnyapia Kipanta, “dada usiwe na wasi wasi utasikia majibu muda siyo mrefu” alisema Joyce ambae alikuwa njiani kuelekea kwa Rose, ambae anakaa mtaa wapili toka kwake, tofauti nikwamba Rose alikuwa anaka kwake…… 
  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa