Wewe mwanamke wewee.... Utamtukanaje mumeoo...? Anaekupa usingizi na raha ya mwili wako..? 👌👌👌Kitu kidogo tayari ushaanika aibu nje... Neno dogo ww hulifanya kubwa... Unajitia una hasira saana... Sasa ww tibua.... Mwenzako yy anaenda kutibu... 👌👌👌👌👌Tuwache huo ujinga... Mwanamke umemshikia mumeo kiuno unamsimamia km Askari doria...unampara kwa maneno... Nyumba ya sitaa huko wanakusikia wewe... Looooh... Huo usungoo.... 💞💞 Hujui bugdha zinachoshaa...? Maneno maneno yanaumiza..? Hujui kauli taam kwa mume swadaka... Kauli taam kwa mume humpoza machofu yote...? 👌👌👌👌👌Kauli tam kwa mume humzidishia mapenzi kwako...? Kauli tam kwa mume humsahau wa nje..? 💞💞 Basi km hujui tambua.... Mume ni mtoto ahitaji kulelewa na kuongozwa... Nasisi ndio maana tukapewa cheo cha umama na Allah Subhana wataalah.. 👌👌👌👌👌Kwahiyo tuna uwezo wa kum-shape mwanamme hadi akakaa sawa... 💞💞 Midomo michafu jamani km karo za mavi.... tupunguzeee....👌👌Wanawake wengii huwachwa kwa midomo michafu... Matusi... Kitu sikitu talaka yngu... Utaolewa na wangap... Mwanamke ww na una ila hukaliki...? 👌👌👌Mmmhhhh... Nashangaa saana mume hurudi kazini kwa maana anaenda kwake kupumua... Ila akifika presha hupanda... Kwa mvua ya matusi itayoanguka huko... 👌👌Na pia kuna wanawake mnajiona wazuuri kwamba mwanamme hata umfanye vp hawez kwenda kwengine... Hahaaaaaahaaahhhh 👌👌Mnajidanganya saana... Ww bakia na mshepu wako..... Rangi yko... Sura yko.. Matako yko... Mguu wako.
nywele zako... Urembo wako... Ila km una gubu la maneno ni khulka mbaya... 👌👌👌👌Upoo... Utakimbiwa maana uzuri wa mwanamke ni tarbia njema... 💞💞 kuwa na kauli taam ya kumtoa nyoka pangoni... 👌👌👌👌Sio kaleta samaki maghribi.... Hhe usiku huu vumba unampga nao wa uso...
Au aaah.... Safisha mwenyeoo.. Nshakoga saiv... Mmmhh... Haifai.... Au mume atakwambia mke wangu nilishe... Utajibu... Umekuwa mlemavu huna mikono yakula...? 👌Au umekuwa mtoto huwez kula mwenyewe... Au mgonjwa una maradhi ya baridi weye...? Jamaniiiiii kauli mbaya hiziii..... _
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment