KUTOJUA KUJISAFISHA UKE
kwa wale wanawake wote wasiojua kujisafisha vizuri uke tatizo hili lazima likupate
kwahali hiyo basi UKE inatakiwa kuusafisha vizuri na kwa makini na inavyotakiwa pia hakikisha baada ya kuusafisha futa na kitaulo maalum kwaajili ya kufutia sio kanga ulioshindia kwenye mavumbi unaenda kujifutia baada ya kuoga.
_ 🌺🌺 UTUMIAJI MAJI MOTO
ukiwa unapenda kusafishaa Uke wako kwa majimoto tatizo hili lazima likukumbe maana maji ya moto hulegeza uke na kuufanya uwe unatoa hewa chafu wakati wa kufanya tendo la ndoa hata baada ya kufanya Uke inatakiwa usafishekwa maji baridi ni mazuri na yanasaidia kubana misuli ya uke pamoja na kuwalinda bacteria ambao ni walinzi wa uke kwa ujumla.
_ 🌺🌺 KULEGEA KWA MISULI YA UKE
Pia ikiwa imelegea inasababisha vijambo kwenye Uke kutokana na uke kuwa wazi
fanya mazoezi ya kgel kubana na kuuachia uke
_ 🌺🌺ULALAJI NA SHAHAWA UKENI
Kwa wale wanawake wasiojisafisha ukeni baada ya kufanya tendo la ndoa hali hii lazima itakukuta na pia wanawake hamtakiwi kulala na shahawa ndani ya uke unalegeza uke na kupoteza joto la asili la uke , vilevile kulala na shahawa bila kunawa unasababisha uke kutoa harufu mbaya.
_ 🌺🌺USAFI PINDI TUMALIZAPO TENDO LA NDOA
Unapomaliza kufanya jimai mfute mmeo na wewe ujifute, nendeni bafuni ikibidi muoge sio ukimaliza unageukia upande wa pili unakoroma shawaha kibao ukeni uke unapoa na kutepeta.
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment