KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA ISHIRINI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA ISHIRINI







ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA TISA “niujinga wangu wenyewe, kumpenda na kumweshimu” alisema Stellah, ambae baada ya kukata simu , akajisema, “sijuwi kwanini sikumpa yulle kijana, maana mtu nae mthamini akuthamini” alijisemea Stellah, ambae nikama alimuawa kuwa liwalo na liwe, “maisha yataenda tu, akuna nachoitaji kwake siku zote mimi ndio mama mimi ndio baba, wache abakie huko huko” alisema Stellah kwa hasira, kwamaana alisha choka na kundwa uvumilivu, akujuwa kuwa mbio za mumewe zinakaribia ukingoni, na kwamba yeye ndio msaada wa mwisho uliobakia………… endelea …..
Nakwamba Kipanta japo kwa sasa auoni umuhimu wake lakini hipo siku, ukweli ni kwamba yote aya anayo yafanya, anajuwa anapo pakukimbilia.*********
Aya sasa, tayari Rose na Pross walikuwa wamesha tulia chini ya mwembe, japo kiari flani cha mawingu kilikuwa kina zidi kutanda, lakini awakukijari sana sababu walikuwa na sehemu ya kujiifadhi endapo mvua itaanza kunyesha, wao walikuwa wana endelea kunywa wine taratibu, huku wanapasha nyama ya kuchoma,kwenye jiko la kuni, Rose alikuwa amekaa kwenye mkeka lakini tofauti na Stellah, jana yeye alikuwa ameegemea kwenye gogo, huku Pross akiwa amekaa juu ya gogo, sehemu ambayo ilimfanya aweze kuusanifu vizuri mwili wa  boss wake, “uliwai kuni ambia kuwa uliishia form six, kwanini uliamua uache kusoma na kufanya kazi kama hizi?” aliuliza Rose, ambae alishaona katabia kaPross kuutazama mwili wake, asa eneo la kifuani na mapajani, “nilifeli form six” alijibu Pross, ambae alisha anza kucha ngamka na wine, “mh! kwani uwezi kujiendeleza na ukatafuta credit za kuedelea nachuo?” aliuliza Rose huku ana mtazama Pross usoni, na ndipo alipo gundua kuwa, licha ya kijana huyu kukaa huku shambani kwake, lakini pia ni kijana mwenye sura nzuri, “wakunisomesha sina” alijibu Pross kwa sauti ambayo nikama ilianza kuingia unyonge, “kivipi, kwani ulisomaje mwanzo?” aliuliza Rose, na hapo Pross akanza kumsimulia kilicho itokea familia yake, ambacho wewe msomaji unakifahamu, na mwisho nikapata kazi huku shambani, na kuanza kulinda” alimaliza Pross kusimulia mkasa wake uliotumia karibu nusu saa, na hapo alifupisha story.
Mwisho wa simulizi hii ulimstua kidogo Rosemary, maana nikama aliwai kuisikia sehemu, “we Pross, kwani wewe nyumbani kwenu ni kibamba?” aliuliza Rose kwamshangao, “ndiyo lakini tume jenge kibanda kwenye mpaka wa muhimbili, mama na mama mdogo na wadogo zangu wanaishi pale” alisema Pross, akijitaidi kuonyesha uchangamfu, “hapana sitaki kuamini, inamaana wewe ndie una kaa na yule mama yako wakambo, ambae uwa unawatumiaga, fedha za matumizi?” aliuliza Rose kwa mshangao, uliochanganyika na uzuni kubwa, “ndio, wale ni ndugu zangu”alisema Pross akijaribu kujichekesha, jamani pole sana Pross, sikujuwa kama maisha yako ni magumu hivyo, yanihiki kibabu, kinajuwa maisiha uyako alafu kina fanya ujinga kama huu, wakunidanganya amekulipa fedha yako” alisema Rose, ambae alimwakikishia Pross kuwa leo amemletea fedha yake yote, na kwa mwonekano wa Rose leo, ulimfanya Pross aamini kuwa Rose amebadirika, na kuwa mwema kwake, maana ukiachilia kuchangamka kwake pia ame alimbebea mazaga ya kutosha, kitu ambacho Rose au kipata awakuwai kufanya hivyo mwanzo,.******
Naam starehe ziliendelea, pale Luguruni Bar, siyo Kipanta wala Matrida, wote walikuwa wamelewa kweli kweli, na kuzidisha vituko, Waghora aliekuwa amekaa mita chache pembeni, akijifanya anakunywa bia, akiwafwatilia kwa umakini sana, akisaidiana na mpenzi wake Sinder, au Janeth, kama alivyo fahamika, ambae mida hii alihakikisha anaihudumia meza ya kina Kipanta kwa ukaribu sana, unge shangaa ata ilipotimia saa kumi za jioni, akutaka kubadiri zamu yake, na kuondoka, aliendelea kuhudumia, akijidai wateja wale yani wakina Kipanta, anawahudumia kwa bill, hivyo mpaka walipe bill yake, ndio ataondoka kuelekea nyumbani kwake alikopanga, ambako akuna mfanyakazi wala mmiliki wa bar alie kuwa anapafahamu, kumbe kuna mchezo ulisha pangwa na ukapangika, mchezo ambao Kipanta na Matrida wange ujuwa, basi wasinge thubutu kuendelea kukaa maali pale.
Naam licha ya kukaa muda mrefu zaidi, lakini ukweli Sinder akuondoka kazini, na aliendelea kuwa hudumia kwa juhudi zote, huku mala kwa mala akiwasiliana na kwa ishara za macho na sms na bwana wake Waghora, ambae alimsisitiza kufanya linalowezekana ili kuwashawishi waingie chumbani kwao, mapema, na wao wamalize kazi, inayo waweka pale mjini.****** 
Naam ilisha timia saa mbili kasolo za usiku, Pross na Rose walikuwa bado wapo kule shamba  chini ya mwembe, wanaendelea kunywa wine, wakisaidiwa na mwanga wa moto uliowashwa mbele yao, wawili awa yani Pross na boss wake, walisha changaka sana kwa wine waliyo kuwa wanainywa, “boss mbona siku hizi unakuja peke yako, simuoni mzee Kipanta?” aliuliuza Pross, wakiendelea kunywa wine na kushushia na nyama ya kuchoma, kwanza Rose alishusha pumzi kidogo, “njoo ukae hapa nikusimulie kitu ambacho wanakijuwa watu watu wachache” alisema Rose, huku anamwonyesha Pross pembeni yake, yani pale kwenye mkeka, “pasipo kusita Pross aka fwata amri ya Boss wake na kukaa pembeni yake lakini nikama futi moja, toka kwa Rose, “sogea bwana unaogopa nini, kwani mimi sisawa na demu wako, au kuna kipi kinakufanya uniogope” alisema Rose akimshika mkono Pross na kumvutia karibu yake, “lakini Boss, wakati mwingine kukaa karibu hivi uwa….” alisema Pross na kusita kidogo, sasa alikuwa amesha msogelea kabisa Rose na miili yao ilikuwa ime gusana, kama wakaavyo wapenzi,”uwa nini, unatamani? lazima utamani wewe si mwanaume lijari” alisema Rose akipeleka mkono kwenye dudu ya Pross, na kuiona ime jitutuua kiasi flani, na ile kuigusa nikama alikuwa ame ihamsha zaidi, na kuzidi kututumka, “we hacha sifa, subiri baadae, alisema Rose, ungesema tayari alisha kubariana na Pross, kuwa watafanya hivyo, “boss mbona unasema badae…” alitaka kuuliza Pross na hapo hapo akakatozwa na Rose, “utaona hapo hapo, alafu kama auna jina jingine, bola unite Rose, usiniite boss” alisema Rose, na kushangaza Pross, ambae aliona mambo yana badirika kwa haraka, “aya tuyaache yabaadae, ngoja nikusimulie kitu” alisema Rose huku ana egemeza kichwa chake kwenye bega la Pross.
“Najuwa kuna kitu kina kushangaza au kukuchukiza, kwa mimi kutembea na huyu babu, ambae nikama anarudia makosa ya baba yako, na mimi utanishukia kama ulivyo mchukia Khadija, ila ukweli nikwamba kuna jambo ukilijuwa, utajuwa kwanini nimefanya hivi” aliazana kusimulia Rose, “mimi ni mtoto wa mwisho wa familia yetu, ambayo tulizaliwa watatu, lakini sasa tume baki wawili, baada ya kaka yangu kufaliki, na sababu akiwa ni huyu huyu Kipanta, kipindi hicho nilikuwa na miaka miwili, ambapo dada yangu Adellah, alikuwa na miaka 19, ana soma kidato cha nne, huku kaka akiwa na miaka kumi na mbili, akiwa daera la tatu, kipindi hicho Kipanta alikuwa tayari ameshamaliza shule na alikuwa anakaa jilani yetu kwa mjomba wake.
Ukweli sisi familia yetu ni watu wenye uwezo kifedha japo zamani aikuwa sana, kama sasa, ila ukweli nikwamba wazazi na ndugu wa Kipanta awakuwa na uwezo, wakati huo Kipanta alikuwa anatembea na dada yangu Adellah! mausiano ambayo mwanzo wazazi wetu walichukulia ni kama urafiki wa kitoto, lakini wakaona hasara yake baada ya Kipanta kumpatia ujauzito dada Adellah, na yeye akakimbia, wazazi waka msamehe dada ambae alishindwa kufanya mitihani yake ya form four, na kuanza kuitunza mimba yake mpaka alipojifungua, kipanta akuonekana, na ata mtoto alipotimiza miaka miwili, ndipo baba na mama waka mrudisha dada Adellah, form Two, nawao kubakia na mtoto, safari hii wakimpeleka bweni, lakini uwezi kuamini dada akiwa huko shuleni Kipantaakamfwata tena na kuanza kushawishi warudishe penzi lao, kwa nia moja na penzi la dhati dada aka rudisha penzi, na yakaanza upya, nay aka kolea kweli kweli, dada akujuwa kuwa kuna hatari inakuja mbele yake, juu yapenzilao hilo.
wakati huo kaka yetu ambae sasa ni marehemu alikuwa amepata na tatizo la uvimbe mkubwa sana karibu na moyo, naaliitaji upasuaji, ambao uliitaji fedha nyingi sana, japo familia yetu ilikuwa na uwezo kiasi flani, lakini kwa ili wazeeilibidi waangaike sana, na mwisho waka chukuwa mkopo kwa kuweka nyumba kama dhamana, kiindi hicho tulikuwa na nyumba moja tu, sasa basi kilicho tokea hapo ndicho ambacho kilinifanya nimtafute huyu babu na kumfanya alipie kila alicho kifanya……… endelea …..


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa