WADADA ACHENI HUU MTAZAMO HAMTOOLEWANG'OO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, May 27, 2019

WADADA ACHENI HUU MTAZAMO HAMTOOLEWANG'OO





Eti nyie wadada mnaokataa kuolewa mnafikikiri huo umri unarudi nyuma,,,eti utakuta jitu limepost mtandaoni limevaa nguo za ajabu halafu linauliza"kwa uzuri huu niolewe na muuza maji kweli"umeambiwa watu wanaoa uzuri au mke fyuuuu!!eti nataka kuolewa na mwanaume mwenye gari na nyumba,,,,kwan gari ndo linakuoa au mwanaume ndo anakuoa?
Rekebisheni kauli zenu kwani hakuna mtu aliyezaliwa na pesa bali kila mtu amezaliwa na suti tu japo hajui amenunulia na nini,,,pesa ndo atazikuta duniani,,wewe ndo wa kumpa wazo tufanyaje ili tufanikiwe,,,eti unataka aliye kuwa nazo tayari hujui hata kazipataje,,,,sasa nawapa onyo badilikeni acheni nyodo,,,ipo siku uzuri wenu utakosa thamani tuu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa