MANENO HAYA YATAHARIBU SAIKOLOJIA YYKO USIYAENDEKEZE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, May 27, 2019

MANENO HAYA YATAHARIBU SAIKOLOJIA YYKO USIYAENDEKEZE


MACHO MARA NYINGI HUDANGANYA NA MAWAZO HUPOTOSHA,,MARA NYINGI UNACHOKIONA SI JINSI KILIVYO NA UNACHOKIWAZA SI NAMNA KILIVYO,,,,
HIVYO USITAZAME KWA MACHO WALA USICHAGUE KWA MOYO WALA KWA MAWAZO YAKO BALI MWACHE ROHO MTAKATIFU ATAWALE MAAMUZI YAKO,,
Ndugu zangu katika imani kuna muda tunapenda tusipostahili na kuacha tunapopendwa,,hii ni kwasababu hatuna macho ya kiroho,,,Mwenyezi Mungu atuepushie mapenzi ya mateso na mateso na atupe watu sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa