DALILI ZA KUWA LIMBWATANI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, May 27, 2019

DALILI ZA KUWA LIMBWATANI



1.Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa kwako na mkeo unakuwa mpole kama sungura.
2.Hupendi ndugu zako waje nyumbani kwako ila wa mkeo unawalazimisha waje.
3.Ukiwa unaongea na ndugu zako unakuwa na hasira ila wa mkeo meno yote 32 nje.
4.Unasikia uvivu kwenda kusalimia kwenu ila kwa mkeo unaenda kila siku.
5.ukiombwa hela na ndugu zako unawaambia wasubiri hadi uongee na mkeo kwanza.
  1. 6.Ukipokea tu mshahara lazima umwambie mkeo hata kama hajakuuliza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa