USIRUHUSU WATU WA PEMBENI KUWA MAHAKIMU WA NDOA/MAHUSIANO YAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 21, 2019

USIRUHUSU WATU WA PEMBENI KUWA MAHAKIMU WA NDOA/MAHUSIANO YAKO





Ukiruhusu watu wa pembeni wawe ni wasemaji wa ndoa yako au mahusiano yako utakuwa umeruhusu watu wa pembeni wawe ni mahakimu wa ndoa au mahusiano yako uliyonayo,,kuwa makini na ndoa yako na kuwa makini na mahusiano yako,,ndoa na mahusiano yako yanakuhusu wewe na uliyenaye,,hao wengine acha wawe mashabiki tu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa