TUMIA UBUNIFU KATIKA KULINDA FURAHA YA MWENZA WAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 21, 2019

TUMIA UBUNIFU KATIKA KULINDA FURAHA YA MWENZA WAKO
















Tabasamu ulilonalo kwa mume,mpenzi au mke wako ni ishara ya kwamba yale matendo unayomtendea yanaufanya moyo wake uwe na amani na furaha muda wote,,,,,,NA huzuni au unyonge uonao kwa mume,,mke au mpenzi wako ni ishara mbaya ya kwamba matendo unayomtendea yanamfanya awe mnyonge na mpweke wa furaha,,,
Linda tabasamu la mume,mke au mpenzi wako,,na liwe tabasamu la kweli na sio fake smile,,,kumbuka kuwa kujali na kuthamini ni njia mojawapo ya kuonesha upendo wako kwa yule uliyenaye,,,jaribu kutumia ubunifu kuilinda furaha ya uliyenaye ili isipotee kirahisi rahisi tu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa