Hata kama unampenda mtu kiasi gani lakini matendo yake hayaendani na vile unavyotaka awe,basi ni bora umwache AENDE,,,,haitakiwi kuvumilia hata mambo yasiyofaa eti kwasababu unampenda sana na huwezi kumuacha,,kama anakushauri mambo yasiyofaa ni bora umwache aende kuliko kuingia katika matatizo ambayo hukutalajia,,,,,Usiendekeze hisia kukupa upofu wa akili yako,,kutofanya maamuzi sahihi ya kumpata mtu sahihi ambaye atasahihisha mapungufu yake,,,,kumbuka unaweza kuongozwa na hisia na ukashindwa kufanya maamuzi yaliyo sahihi lakini endapo utaongozwa na maamuzi sahihi basi hisia sahihi zitakuwa katika mapenzi yenu.
Post Top Ad
Thursday, May 30, 2019
Home
Unlabelled
USIENDEKEZE HISIA KUKUPA UPOFU WA AKILI

About neemasayi
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment