MASIKILIZANO HULETA MAELEWANO THABITI KATIKA MAHUSIANO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 30, 2019

MASIKILIZANO HULETA MAELEWANO THABITI KATIKA MAHUSIANO



Masikilizano huleta maelewano thabiti yanayopelekea kudumishwa kwa penzi,,,,mapenzi hayahitaji ujuaji uliopitiliza bali yanahitaji upeo ambao utaruhusu mawazo yenu wote yawapeleke njia ambayo ni sahihi,,,usawa kwenye mapenzi ni sahihi ili isije mmoja akaelemewa na mzigo halafu akakinai mapenzi,,,,,hebu ishini kwa kuongozwa na upendo na kila mmoja aweke tamaa pembeni ili mfikie malengo yenu mapema.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa