UMUHIMU WA KUONGEA MAMBO YA UKWELI KATIKA MAHUSIANO INASAIDIA KUISHI KWA AMANI NA UAMINIFU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

Thursday, May 30, 2019

UMUHIMU WA KUONGEA MAMBO YA UKWELI KATIKA MAHUSIANO INASAIDIA KUISHI KWA AMANI NA UAMINIFU

20190326_124716


















Ukweli utakuweka huru sehemu yoyote ile katika mahusiano yako,,usiseme una hiki au kile halafu mwisho wa siku humiliki chochote kile,,kama utakuwa na tabia hii ni rahisi kupoteza uaminifu katika mahusiano yako,,kumbuka kama hamna neno kuaminiana katika mahusiano yenu basi hata maana mapenzi  itakuwa imepotea katika mahusiano yenu.
jozy_momo-20190528-0002

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad