KWENYE MAHUSIANO UPENDO SI NGONO BALI...... - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 21, 2019

KWENYE MAHUSIANO UPENDO SI NGONO BALI......


Kwa vijana wa sasa mahusiano yamekuwa tatizo,,tena si kidogo hasa wenye uaminifu katika pande zote mbili yaani si mvulana wala msichana,,leo nahitaji binti ufahamu jambo moja la msingi sana kuhusu mahusiano yako,,mabinti wengi mmeishia kulia na kuyachukia mahusiano kwasababu ya vitu vya kipuuzi msivyovijua,,
Sasa ni hivi kuna vijana wengi wamekuwa wakiwahitaji wapenzi wao wa kike kwa ajili ya ngono,,,unakutana na binti anaambiwa na mchumba wafanye sex(uzinzi)na huyu binti akikataa basi kijana huyo ataona kama hapendwi au labda msichana huyo ana mwanaume mwingine,,,,
Leo fahamu kuwa sio kweli na ni ushetani huo,,tendo hilo ni la ndoa na si uchumba,,hata hivyo binti simama imara na muombe Mungu akutetee,,ikiwa mwanaume ameng'ang'ania sana vunja uchumba kabla haujaharibika,,unaweza kusema ngoja ukubali ili kulinda uchumba wako,,kumbe ndo unajiulia uchumba wako,,kwasababu ukishampa na akakufahamu kimwili basi thamani yako kwake inashuka,,hata hivyo usishangae kuona ndoa nyingi za makanisani zinasumbua,,shida kubwa ni laana na mabalaa wanayoyapata kwa kutenda dhambi hii kabla kuoana,,
WITO WANGU LEO
Kijana wa kiume tambua kuwa upendo sio ngono,,bali ni heshima,,adabu,,uaminifu,,na uwazi,,hivyo vijana kwa hili tubadilike ili tupate ndoa zenye kumtukuza Mungu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa