NDOA SIO MASHINDANO,KUWA MAKINI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 30, 2019

NDOA SIO MASHINDANO,KUWA MAKINI



Maumivu ya kuingia kwenye ndoa na mtu ambae si sahihi ni makubwa kuliko uoga wa kukaa bila mume au mke,,,,,ndoa sio mashindano jipe muda,,,chekecha,,epuka kufata mkumbo na kudanganyika na mapambo ya dunia,,,pendo na ujiridhishe umependwa,,,,na hakikisha unaingia kwenye ndoa na mtu sahihi maana ukikosea kwenye swala la ndoa ni sawa na kujifungia kwenye mateso ya milele,,,,,,,kuishi ndani ya mateso ya ndoa bila furaha ni hatari kwa afya,,,,,ni bora kusubiri kwa muda mrefu kuliko kuingia kwenye ndoa na mtu ambae si sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa