GHARAMA YA UPENDO WA DHATI HUJA PINDI MTU ANAPOAMUA KUKATISHA UHUSIANO WENU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 30, 2019

GHARAMA YA UPENDO WA DHATI HUJA PINDI MTU ANAPOAMUA KUKATISHA UHUSIANO WENU





Ni kweli maumivu ya pendo la dhati hayafutiki japo kuna wakati mtu anasahau kutokana na majukumu ya kimaisha ila asikwambie mtu kama ulimpenda mtu na akaamua kukatisha penzi hilo hayo maumivu huwa hayasahuliki kwa kujisahaulisha wala hayawezi kuisha kwa vuguvugu za penzi jipya,,
Ujinga ni pale unamuacha mtu aliyekupenda kwa hakika ya matendo eti kisa ana kauli mbaya,,amekusaliti,,rafiki hapa duniani hakuna mkamilifu tunaishi kwa kubebeana madhaifu yetu,unapoamua kumuacha mpenzi wako kwa mambo ambayo hata uende wapi lazima utakutana nayo tu huo ni ujinga rasmi,mimi nadhani labda uniambie hakupendi ndo maana umeamua kukatisha uhusiano hapo ntakuelewa,ila kumuacha mtu kwasababu ya usaliti sio sahihi maana yeye sio malaika,ikiwa hata Mungu alisema hakuna mwana wa adamu aliye mkamilifu,,sasa huyo mkamilifu wa kwako atakuwa amezaliwa dunia ipi.
Rafiki utatanga kiguu na njia kumtafuta malaika wala usimuone utaendelea kuongeza namba ya mahusiano tu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa