EPUKA KUISHI NA MTU PASUA KICHWA ATAKUTESA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 30, 2019

EPUKA KUISHI NA MTU PASUA KICHWA ATAKUTESA



Umempa muda wa kufanya mabadiliko,,umechukua muda wako na kuwa mshauri kwake,,,lakini bado hataki kubadilika,, nikuambie kitu ndugu yangu,,usitaka kugombana na mwanamke au mwanaume ambae hataki kuwa bora kwako,,pia hataki kuijua na kuitumia thamani unayompa,,ni heri umuache aende zake ili awe na Uhuru wa kufanya mambo yake anayoona yanamfaa,,
Kuendelea kumng'ang'ania ni kujiumiza kichwa tu,,mwache aende uupe na moyo wako pumziko huenda pia Mwenyezi Mungu akakubariki na mchumba mwingine ambae atakuwa bora zaidi na hata kama adipokupatia ni bora ukaishi pekee yako kuliko kuishi na mtu pasua kichwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa