HAKUNA MTU PERFECT KWENYE MAHUSIANO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

Thursday, May 30, 2019

HAKUNA MTU PERFECT KWENYE MAHUSIANO

20190326_124716

ivanking.rwanda-20190522-0001


Kwenye mahusiano hakuna mtu perfect,,,,,wote bado tunatumia learner driving license,,,,,,kwa maana ya kwamba wote bado tunaendelea kujifunza,,,,,,kukosea na kutoa mafunzo na kuhakikisha ndoa na mahusiano yetu yanakuwa na afya na kuendelea kudumu zaidi na zaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad