KWANINI KUOA? - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

Thursday, May 30, 2019

KWANINI KUOA?

20190326_124716

925390_1025887900806864_1663668126_n

Usioe kwasababu ya mvuto alonao utafeli!
Usioe kwasababu ya kumuonea huruma,,mbeleni utafeli!
Usioe kwasababu alikusaidia,,ukija kuamka usingizini utagundua umefeli mahala
Kuna sababu moja tu ambayo itakufanya wewe uoe bila kujalisha hali,,mazingira au wakati,,,OA KWASABABU UMEMPENDA,, Ukimpenda hata akija kubadilika maumbile,,afilisike,,asiwe kama awali,,ile roho ya pendo dhidi yake itakufanya uwe na ndoa yenye amani na furaha siku zote hata kama wengine wanajiuliza huyu amewezaje kuendelea nae.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad