DADA: MWANAUME WA AINA GANI UTAENDANA NAE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, May 27, 2019

DADA: MWANAUME WA AINA GANI UTAENDANA NAE


Wadada wengi wanaolia kisa mahaba,,,wengi wao ni wale wanaopenda wakaka/wanaume wa show off yaani wanaolelewa na wazazi wao,,,
Wewe unashoboka na mwanaume/mkaka anayelala kwa mama yake hata akikujaza mimba hana pa kukupeleka wala hawezi kukuhudumia,,,,,
Na msipojielewa mtaishia kuwa mabango ya shabaha za mapenzi mpaka kiama,,,,
Tulia weka malengo unataka aina gani ya mwanaume maishani mwako na akija angalia ana mahitaji yako.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa