Kwa dalili hizi nahisi jamaa amependwa. Na sijui kama bado hajapewa mzigo.
Dalili zenyewe ni hizi
1. Mke wangu haishi kusifu maisha ya jamaa, japo Ni ya kawaida tu.
2. Haishi kusifia michepuko / mademu anaoingiza na kubadilisha kila day.
3. Mke wangu alipoondoka jamaa alitaka kuniulizia akasita.
4. Yule mwanangu mdogo anapenda kwenda kule kwenye chumba Cha jamaa. Na mke wangu utamsikia mwa huyu kaka anapenda watoto kweli…
5. Jamaa akiniona ana Kama aibu flani hivi na anawahi kunisalimia kwa ka woga hivi
No comments:
Post a Comment