Nmeshangaa sana kwa huyu dada mrembo ambaye anakaa kwenye apartment za hapa karibu nami. Si za mwanzao tulionana tulikuwa tunafanya jogging kishkaji tu. Akanisalimia nami nikamjibu kwa pozi za ki jentroman maana alivaa track suit mwili wake tipwa tipwa ulikuwa umechoreka hasa.
Basi tukawa smetme tunaonana asub tunapoenda kazini na weekend pia mara chache sana.siku moja nkasikia alarm getini nikaenda kutaka kujua ni nani. Nikamkuta amevaa kaptula nyepes sana nlishtuka sana maana allahamdulilah mtoto ana mwili wake.
Akaniuliza eti nina mchi?anataka amejisikia hamu ya kisamvu anataka kutwanga. Nikamwambia hapana mi huwa sina vitu vya kutwanga.akashangaa akacheka nakosaje mchi wakat vya kutwanga ving tu. Basi tukabadilishana mawazo akaaga.
Siku nyingne tena akaja akanambia anataka mchi anataka kutwanga viungo anataka pika sijui chakula gani.nikamwambia sina.akasema ” na wewe sasa ununue Mchi mi nina kinu… ili tuwe tunasaidiana maana na wewe hujaoa….” Nikamwambia sawa. Akanambia “promise utanunua” nikamwambia i promise.
Leo asubuh hii kaja kunipitia twende jogging tumekimbia kimbia kishkaj tumerudi akanambia ataniandalia breakfast ila pia nikumbuke ahadi ya kumpatia mtwangio.
Wadau mi hata sijui hivyo vitu vinauzwa wapi. Sikuwah kuwaza kama ntahitaj kuwa na kitu cha kutwanga.na huyu dada why aone tu mi ndo wa kumpatia mtwangio?nikimwambia asage na blender anasema hatak anataka mchi na mimi ndo nikatwange.
Sasa jaman mjini hapa hayo mambo ya kutwanga wapi na wapi?tulishawekewa blender na wazungu kurahisisha yeye anataka tu mtwangio wangu.nawaza hapa nafanyaje nimpatie hitaj lake maana anaweza ona kama si keep promise.
Ananambia akinitizamana anapata picha kama nitatwanga vizuri mpaka vitu vyake vilainike hasa.
Wadada mnapenda kuomba vitu ambavyo ni weird sana. Mjini hapa dar haya maisha yetu unang’ang’ania mtwangio toka kwa bachelor?nawaza au ni njia tu ya kuwa anaongea ongea na mimi baada ya kuona ni mpole sana?
Nikakumbuka mimi kipindi flan nliwah mng’ang’ania dada mmoja anipatie kitumbua. Nlimkuta ameshika kitumbua anakula.basi nikawa nmependa nikamwambia anipatie kitumbua chake akanipa kidogo.nikamwambia anakitumbua kitamu sana.alicheka akaniuliza nimejuaje.nikashangaa ananiona nmekula na anauliza nmejuaje kama ana kitumbua kitamu.basi nikamwambia tu” nmeona kilivyo”
Basi akanambia siku moja ntakupa halaf unambie.basi nikawa namsumbua kila mara “Fatma ahadi yako ya kitumbua” akawa anacheka sana “we mkaka hutaniwi heeehh king’ang’anizi kama ruba” nami nikashikiria hapo hapo mpaka siku alipokuja home kuniletea kitumbua chake kilikuwa kimepikwa vizuri kina ng’aa kimevimba. Aisee…. Mi sihami Mjini. Hata nchi ihamishiwe Dodoma mi ntabak dar maeneo yangu ya Kijitonyama, kinondoni na Mwenge.siendi Mbali sana na Jiji.
No comments:
Post a Comment