ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAUME ANAEKARIBIA KUFIKA KILELENI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, February 20, 2020

ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAUME ANAEKARIBIA KUFIKA KILELENI



UTANGULIZI: Siku zote uwapo katika mapenzi fahamu kuwa unapaswa kumridhisha mpenzi wako katika tendo mfanye ajisikie raha pindi muwapo chumbani inakubidi uwe mwanamke wa kileo ujitahidi kuwa mbunifu katika mapenzi kwa kujituma pindi mnapokuwa chumbani na mpenzi wako, jaribu kushughulika tumia viungo vyako vya mwili katika kuamsha hisia za mwandani wako kabla ya kuanza nae kufanya mapenzi ili kuhakikisha mpenzi wako anapata raha na inakuwa ni njia nzuri ya wewe kumfanya mpenzi wako ahisi kuwa wewe ni muhimu kwake kutokana na mahaba unayompa.  

ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAUME ANAEKARIBIA KUFIKA KILELENI 
- Pindi mwanaume anapokuwa katika tendo la ndoa ni rahisi sana kumtambua pindi anapohitaji kumwaga wazungu/maji ya uzima au shahawa kwani dalili kubwa ya mwanaume anapotaka kumwaga mbegu zake mara nyingi hubainika katika kasi ya kusex kwa maana mwanaume anapokuwa katikati ya mapaja ya mwanamke kipindi anaanza safari huanza kwa kasi ya kawaida ila pindi anapokaribia kutaka kufika kileleni ile kasi aliyoanza nayo hubadilika na utahisi kasi ya ajabu mpaka atakapomaliza kumwaga mbegu zake. 

Hii ndio dalili kubwa kwa upande wa wanaume ingawa zipo nyingi ila hii ni kubwa ambayo inahusisha wote wenye jinsia ya kiume pindi wakiwa katika sita kwa sita na wapenzi wao tofauti na dalili zingine zinategemea ila hii haitegemei ni kwa wanaume wote. 

USHAURI KWA WANAWAKE: - Napenda kuwashauri wanawake wote ambao wapo katika mahusiano ya kimapenzi wajaribu kuwa wabunifu katika mapenzi, mpe mpenzi wako mapenzi yote toka moyoni mwako. Usidanganywe kuwa mapenzi ni mitishamba hakuna dawa ya mapenzi kwa mganga ila dawa unayo wewe mwenyewe mridhishe mpenzi wako kwa kumpa vitu vipya katika mapenzi halafu uone je, penzi lako kwa mwenza wako utachangia na wenzako?!




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa