Ukitaka Usimegewe Hakikisha Unampa Mpenzi Wako Mahaba Niue Yenye Magawati za Kutosha - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, February 4, 2020

Ukitaka Usimegewe Hakikisha Unampa Mpenzi Wako Mahaba Niue Yenye Magawati za Kutosha






Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa Mpenzi wako Mahaba-Niue Niteketeze Kabisa yenye Megawati za kumtosha kuendesha Mitambo ya Furaha kwenye Moyo wake…Ukishindwa kumpatia lazima atakutafutia Jenereta la dharura au Solar Panel just incase Umeme-Penzi wako hautabiriki.Hakuna Mtu anayependa kukaa gizani kusubiria Umeme usiotabirika wa TANESCO wakati Majenereta yanauzwa.
Ukitafutiwa Jenereta la Dharura kwenye Mapenzi usilalamike,Jilaumu mwenyewe kwa kutotabirika kwa Umeme-Penzi wako…Watu wanasikia Joto wameamua kujizatiti ili ukikatika tu kitu kinawaka AUTOMATIC.
Shkamoo wote mliowekeza mitambo ya Symbion na Aggreko kwa sababu Wapenzi wenu wapo-wapo tu hawajitambui wanatumia Mita au Unit za LUKU 
WANAUME:Msipoangalia mtajikuta LUKU haina kazi mtu yuko under Generator masaa 24 kuepuka kadhia,Utajibebaje! 




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa