Ni jukumu lako kuwa romantic kwa mumeo.mtoto wa kike Deka jitepeteshe mume apate Raha - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, February 16, 2020

Ni jukumu lako kuwa romantic kwa mumeo.mtoto wa kike Deka jitepeteshe mume apate Raha




 Aibu yako isikuzuie kuonyesha mapenzi yako kwa mume wako. Mtumie meseji mume wako anapokuwa kazini, muda mwingine hata kama yupo nyumbani mnaangalia TV chati nae katika mitandao ya kijamii (watsapp, Imo, Facebook etc) hata kama yupo mbele yako.
_

_ Hii huleta faraja na ni njia mojawapo ya kuwa romantic kwa mwanaume wako. Jadiliana nae jinsi gani anavyokuvutia. Mnunulie zawadi hata leso, boxer, tai, viatu etc. Mnapokua mezani mkila pamoja labda nyama, mpe nyama kubwa kuliko zote. Kama muda unao mtengenezee keki na juice ya matunda na msuprise nayo. Wadada, tumieni sauti yenu laini kumbembeleza na kumdekea, muimbie mnapokua pamoja chumbani, acheni userious kama mpo kwenye kikao cha bodi ya Korosho.
_

8_ Mume wako anaporudi toka kazini usimkaribishe huku umenuna, Usimkaribishe mume wako huku mwili wako ukinukia mchuzi wa samaki au pilipili hoho, kuwa msafi na unukie. Wanaume hawapendi mwanamke mchafu. Mkaribishe kwa kumkumbatia kila siku, na asubuhi anapoenda kazini Muombee dua Allah amwepushe na mabalaa na muombee mafanikio. Msupport, mshauri, muondoe uchungu, mfariji pale panapokua na matatizo, sio kazi ndogo kuwa mwanaume.
_

_ Pale unapoona anapoteza matumaini ni kazi yako kumpa moyo ni wakati ambao anakuhitaji sana uwe karibu yake na sio kumkwaza tena. Usimfananishe na wanaume wengine. Mpikie chakula akipendacho, mfulie nguo zake, osha gari lake, mvalishe nguo na  mpeti peti akiwa anaumwa. Muamshe asubuhi na mapema, na usimlalamikie kama ana tabia ya kukoroma. Acha Kiss iwe njia yenu ya kuwasiliana. Mpe kitu inaitwa (tendo la ndoa la asubuhi), hakikisha unamkamua vilivyo ili asitizame wanawake wengine pembeni! Soma vitabu kuelewa namna ya kuishi na mume,
_

_ 🍇Mwanawake ni wajib wako kuwatii mumeo, hivyo basi mheshimu na kumtii hata kama ni mdogo kuliko wewe.  Ndoa sio show off bali ni kujitoa kwa moyo wote. Hakuna jambo zuri kwa watu wawili wanaopendana kweli zaidi ya Ndoa na ukiona Mwanaume anasua sua kila ukimueleza suala la Ndoa, ujue huyo hayuko serious.






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa