UPO MWALI
MWANAMKE MAHABA HASWAA UKIYAJUA MUMEO AKIWA ANATAKA KULALA BIBI SHURTI UMLAZE......
UNAMLAZAJE TWENDE SASA.......
ZIPO NJIA NYINGI ILA LEO NITAZUNGUMZIA 2......MCHUKUE MUMEO MLAZE JUU YA KIFUA CHAKO NUSU MWILI YAANI KIFUA CHAKE NA CHAKO KIPANDE CHA CHINI KIWE KITANDANI ASILALE MWILI WOTE....AKISHALALA SASA ANZA KUMPAPASA MGONGONI NI KWA KUTUMIA NCHA ZA KUCHA TARATIIBU SANA TEMBEZA MKONO WAKO WA KULIA NJOO MPAKA KICHWANI FANYA KAMA UNAZILAZA NYWELE ZAKE HUKU MNATIA STORY KIDOGO KWA SAUTI YA MAHABA UNAOGEA SAUTI YA CHINI......TAMUUUUU. .. HUKU UKIMUITA KWA JINA ZURI ALIPENDALO HAPO SASA NDIO PAKUOMBA KAMA UNA JAMBO UNATAKA KUMWAMBIA NDIO HAPO SASA MTOTO WA KIKE UNAANZAJE KUNYIMWA....HATA RUHUSA HAPO OMBA UONE KAMA ATAKATAA. UPO NYONYO..... 2. KWANZA MKUMBATIE KWA NYUMA WOTE MKIWA MMELALA UBAVU......HALAFU MKONO WAKO KULIA UKUNJE KWA NYUMA YA KICHWA CHAKE ANZA KUMPAPASA KICHWA CHAKE TARATIIBU CHEZEA NYWELE ZAKE HUKU MKONO WAKO WA KUSHOTO UPITISHE KWENYE KIFUA CHAKE HALAFU UNAMKUMBATIA HUKU UNAUTEMBEZA TARATIIBU UNAFANYA KAMA UNATAFUTA KITU.....KAMA ANA LOVE GARDEN RAHA SANA UNAZIVUTAVUTA TARATIIBU HUKU UNAMPA MABUSU YA KWENYE SHINGO.....MGONGONI HII INAMFANYA AJIONE YUPO DUNIA NYENGINE WALLAAHI RAHA SANA MUME LAZIMA AZIDISHE MAPENZI KWAKO BIBIWEE NA MKIPITIWA NA USINGIZI MKISHTUKA UKIGEUKA UPANDE WA PILI UTAMUONA NA YEYE ANAGEUKA ANAKUKUBATIA TENANAAA...NAYEYE ANAKUBEBMBELA MWENYEWE CHEZEA RAHA WEWE....
No comments:
Post a Comment