KOVU LA MOYO 32 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, February 8, 2020

KOVU LA MOYO 32






Yule Msichana wa kazi alimwambia Dr Ally huku akitetemeka.
Baada ya kuelezewa kila kitu jinsi Poshie alivyotekwa na Kurudi kisha akaondoka, Dr Ally alizidi kuchanganyikiwa na hasijue la kufanya ... Kijasho chembamba kilimmwagika na mapigo ya moyo yalizidi kuenda kasi.
Baada ya kutafakari sana Dr Ally aliona kazi pekee anayotakiwa kuifanya ni kwenda kumtafuta Poshie ... Alitamani amfuate Aisha nyumbani kwao ili akamseme, lakini aliofia Maisha ya Poshie pamoja na yule Msichana wake wa kazi, aliona kama Aisha atazidi kuwaandama.
Aliingia ktk gari yake na kuanza kukatiza mitaa akimtafuta Poshie popote alipo ... Haikuwa kazi nyepesi kama alivyotegemea, kila Mtaaaliokuwa akipita hakuweza kumuona Poshie wala Mtoto wake Henry
****
Poshie alikaa chini na kulia sana kisha akafuta Machozi yake na kunyanyuka ... "Nashukuru kwa ukarimu wako Kaka, mimi nakwenda" ... Poshie alimwambia yule kijana kwa sauti ya majonzi huku akiwa amekata tamaa ... "Kwaiyo unaenda wapi sasa?" ... "Sina pa kwenda Kaka yangu na apa unaponiona sijatia chochote ktk kinywa changu" ... Poshie aligeuka na kumjibu yule kijana.
Tofauti na matatizo aliyokuwa nayo Poshie lakini Poshie alikuwa ni Msichana mmoja mrembo aswaa na mara nyingi anapokutana na wanaume wakwale hawakusita kumtamani ... "Nimeguswa sana na matatizo yako naitaji kukusaidia kama hautojali" ... "Nitashukuru sana Kaka yangu kama kweli umeamua kunisaidia" ... Yule kijana alinyanyuka na kumsogelea Poshie kisha akamuuliza ... "Ngoja nikakuchukulie chakula kisha tuongee zaidi" ... Yule kijana alimwambia Poshie na kuondoka haraka.
Poshie alikaa chini na kushika tamaa huku akisikitika ... Mara nyingi alikuwa akiogopa misaada ya wanaume aswa vijana, kwa sababu alijua Mtoto wa kiume anapomsaidia Mwanamke lazima ataitaji malipo ya ngono ... "Waswahili wanasema umzanie ndiye kumbe siye.. Labda anaweza kunisaidia kijana wa watu" ... Poshie alijiambia mwenyewe na kujitoa mashaka kuwa yule kijana anaweza kumsaidia kweli.
Baada ya Dakika kazaa yule kijana alirudi na mfuko uliokuwa na chakula huku akiwa na chupa ya maji baridi na kumpa Poshie ... "Unakunywa Soda gani?" ... "Hapana Kaka usijali, ila mbona umenichukulia chips kuku yanini?" ... "Kawaida Dada, kwani haupendi Kuku?" ... "Napenda ila naona umeingia hasara, ungenichukulia hata ubwabwa ungenitosha" .... Poshie alianza kuingiwa na mashaka baada ya kuona yule Kijana amemnunulia chips kuku.
*****
Hakuna kitu kibaya ktk Maisha ya sasa kama kumtafuta mtu ambaye haujui wapi alikoenda wala hujui nani utamuuliza ... Dr Ally aliangaika sana bila ya kuona angalau kivuli cha Poshie. Hasira zilimpanda na akachukua simu na kumpigia Aisha ... "Naomba uje nyumbani haraka sana" ... "Mbona hivyo kwani kuna nini?" ... "Mimi ndio nimesema na ole wako usije" .... Kwa mara ya kwanza Dr Ally aliongea kama mwanaume mbele ya Aisha, kiasi ambacho hata Aisha mwenyewe alistuka na kushangaa
****
Baada ya kugundua kuwa Prince alikuwa akiweka pesa nyumbani kwake, Walinzi wa Prince walianza kumsukia mipango boss wao ili wamuibie pesa zake.
Ujinga aliofunya Prince ni kwamba, baada ya kupata pesa ya bahati yeye akuizungushia ktk biashara yoyote zaidi ya kujikita ktk Anasa.
Pesa zake alizimwaga kwa wanawake na kuwaonga magari huku wengine akidiriki kuwafungulia biashara wakati Mwanawe na Mkewe wakiishi ktk mazingira magumu ... Muda mwingine mungu analipa hapa Duniani lakini sijui kwanini matatizo hayaangukii kwa anayeombewa mabaya ... Hivi ikitokea Henry akawa mkubwa na akafanikiwa kimaisha na akagoma kumsaidia Baba yake. Je atapata zambi?"
****
Pale palipovunjwa nyumba ya Bi Dua na kuanza kujengwa nyumba mpya, pembeni kulikuwa na kijumba kidogo ambacho kilikuwa kinatumika kuifadhi vitu lakini pia kulikuwa na chumba cha yule kijana ... "Karibu sana mimi na wewe tutalala apa" ... Yule kijana alimwambia Poshie huku akitandika ktk kigodoro chembamba kama ulimi wa nyoka huku kikiwa kimechakaa .... "Itabidi uvumilie Dada yangu mana shuka zenyewe hakuna hata mfuaji" ... Alijichekesha na kumwambia Poshie baada ya kuona shuka zake nyeupe zikiwa zimebadilika rangi kwa uchafu ... "Inamana hapo tunalala wote au wewe unaenda nje kulinda?" ... "Hapa tunalala wote we hata usijali hakuna atakayeiba kitu".
Baada ya kumaliza kutandika Poshie na Mwanawe pamoja na huyo jamaa walilala ktk icho kigodoro ... "Unajua hapa kuna mafundi, mimi nitakusaidia pesa ya msingi na utakuwa unauza chakula na itakusaidia" .... Yule Jamaa alimwambia Poshie na kumfanya amshukuru mungu kwa kuweza kukutana na mtu ambaye alikuwa anaonesha anaweza kuokoa maisha yake japokuwa alikuwa akiishi ktk mazingira magumu.
Waliongea sana huku yule kijana akiwa muongeaji zaidi na Poshie akiwa anamuitikia .... Ilipofikia majira ya saa saba usiku Poshie alipatwa na usingizi na kwakuwa alikuwa amechoka sana alikuwa amelala kama pono ... Alistuka na kusikia akipapaswa huku ulimi ukitambaa ktk mwili wake....
NINI KITAENDELEA? ... UCKOSE EP YA



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa