JINSI YA KUTIBU FANGASI UKENI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, February 15, 2020

JINSI YA KUTIBU FANGASI UKENI




CHANZO CHA TATIZO
Antibiotics, hutumiaji wa mara kwa mara wa dawa hizi husababisha mwanamke kupata tatizo hili. Vitu vingine vinavyosababisha ugonjwa huu ni ujauzito, ugonjwa wa kisukari, ulaji mbaya na baadhi wakikaribia kuingia kwenye siku zao, mawazo na kutopata usingizi.
_

TIBA ASILI
Wengi hutumia maziwa ya mgando kama tiba, kwani yana bakteria wanaosaidia kuweka sawa ukeni. Baadhi hunywa kawaida na wengine huyagandisha na kuyaingiza ukeni. Kitunguu swaumu nacho ni Antifungas.

_  Kitunguu kimoja kikubwa fresh, kimenywe kisha kifunge kwenye kitambaa kilaini sana na kukiingiza ukeni wakati wa kulala.
Asubuhi kitolewe.
_  Limao au siki hutibu kwa mgonjwa kunyunyizia maji yake yaliyochanganywa na maji ya kawaida kwa kuosha sehemu ya uke yakiwa vuguvugu. Wagonjwa wanashauriwa kutofanya mapenzi kwani wanaweza kuwaambukiza wenza wao, wapendelee kunywa maji mengi wakati wa kulala na kuvaa nguo za kotoni.






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa